Maro,
Vipi kuhusu kujua idadi ya nyumba za ibada?
Walewale.
From: erick maro <rikmaro@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, July 10, 2012 6:06 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE: KIMBEMBE CHA SENSA NA WOGA WA KANISA/2-3-4-5-6
Mimi nashangaa sana watu wanataka kipengele cha dini katika Sensa,
hivi wanaelewa maana ya Sensa, dhumuni kubwa ni kuiwezesha serikali
kujua idadi ya raia wake ili ipange shughuli za kimaendeleo na kijamii
kwa usahihi kulingana na idadi ya raia wake.
On 7/10/12, Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
>
> Mheshimiwa mtukufu Kitiluj,
> Kwa kua unafahamu Kiswahili kuliko mimi, bora nikukumbushe kua
> iwapo RAIA ni "mtu ...", MARAIA ni "watu ...", yaani MARAIA ni "plural"
> ya RAIA!
> Au vipi?
> Nitafurahi kusoma Kiswahili ziada kwa MSAADA wako, mtandaoni.
> Upo hapo?
> Bwanatosha
>
> Date: Mon, 9 Jul 2012 16:44:02 -0700
> From: kitiluj@yahoo.com
> Subject: Re: [wanabidii] RE: KIMBEMBE CHA SENSA NA WOGA WA KANISA/2-3-4-5
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Hujamjibu bwna kaaya (RAIA nm 1 mtu mwenye haki za kisheria kutokana na
> kuzaliwa au kujiandikisha katika taifa fulani na
> zinazomwezesha kushiriki katika shughuli zote za taifa hilo) Je? Maraia ni
> kitu gani hicho. usiharibu kiswahili we.
> Pili habari za udini hazina maslahi yoyote kwa taifa. kila dini ijitegeme
> kutafuta takwimu sahihi.
> Kwangu mimi dini zote ziko sawa tu kwa kuwa dini ya mtu haiwezi mfikisha
> mbinguni. bali uadirifu wake. wingi au uchache hauna lolote kwenye nguvu ya
> imani ya mtu. hata kama Takwimu zinge onyesha Waislam ni 60%, wakristo 10%
> na waliobaki 30%. haingemanisha wala kuwa sabau ya kujivunia kwa lolote.
> Dini ni miti tu/ vyama tu, ni groups za watu wenye mtazamo mmoja kimakundi.
> na wala dini zisihusishwe na serikali. Tuuiache serikali ifanye kazi ya
> takwimu za watu wote na wala si kwa misingi ya dini zao. kwani kazi ya
> viongozi wa dini ni ipi. mimi ninavyojua ni pamoja na kujua idadi ya watu
> anaowaongoza, na ikiwa hawawezi kufanya hivyo waache kazi hizo na wafunge
> makanisa/misikiti watu wajue hawana dini na viongozi. NINAKUSIHI BWANA MSOMI
> (SALIM HIMID) achana na mjadala huu hauna maslahi na nchi yetu.
> Siku njema
> JMKF
> Japan
> On Mon, 7/9/12, Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
>
>
> From: Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com>
> Date: Monday, July 9, 2012, 9:51 PM
>
>
>
>
>
>
> KAMUSI ya Kiswahili SANIFU/Toleo la Pili/Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili,
> Dar-es-Salam (Page 346),
> latuambia:
> RAIA nm 1 mtu mwenye haki za kisheria kutokana na kuzaliwa au kujiandikisha
> katika taifa fulani na
> zinazomwezesha kushiriki katika shughuli zote za taifa hilo. 2 mtu asiyekuwa
> askari.
> Natumai umetosheka.
> Kwani huna Kamusi nyumbani?
> Una Dictionary tu?
> Bwanatosha
> P. S. Tizama katika Dictionary, fasiri ya:
> 1)-CITIZEN
> 2)-CIVILIAN
> -------
>
>
>> From: kaayashilia@hotmail.com
>> Date: Mon, 9 Jul 2012 17:41:47 +0000
>>
>> Maraia maana yake nini? Wengine huenda Kiswahili kinatupiga chenga!
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>>
>> -----Original Message-----
>> From: Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com>
>> Date: Mon, 9 Jul 2012 17:07:59
>>
>>
>> Mwenzangu Mkatoliki,
>> Tatizo liliopo hapa ni kuwa TAKWIMU RASMI, za Serikali, ndizo
>> zinazosambaza
>> sura hii, ambayo inakosolewa na wahusika.
>> Dai, la taasisi husika, ni kuwa Serikali inasema UWONGO.
>> Wao, kama nyinyi, wanazo taratibu zao za kujihisabu, ndio maana wanasema
>> kuwa yanaosemwa na Serikali ni UZUUSHI wa Kanisa fulani, lenye mikakati
>> ya
>> kupotosha wananchi/maraia, pamoja na Ulimwengu kamili, kwa njama za
>> kudhibiti
>> amri za Dola na Vyombo Vinginevyo Vya Serikali, kwa
> "kuvihodhi", na "kukandamiza"
>> maraia wenzao, kwa njama za UDINI. Na haya kusemeka, wahusika wameshafanya
>>
>> hisabu zao, na wanaamini kuwa yanaochapishwa na Serikali, kwa kusalitiwa
>> na Viongozi
>> wa Kanisa hilo, ni DHULUMA kwao.
>> Ufafanuzi ni wa Serikali tu!
>> Serikali inawajibika kuwa "neutral" ndio maana ya "secular".
>> Haiwezi kutumiwa na upande mmoja dhidi ya upande mwingine wa Umma, wa
>> Taifa la pamoja!
>> Upo hapo?
>> Bwanatosha
>>
>>
>>
>>
>> ----------------
>> From: jmwanya@hotmail.com
>> Date: Mon, 9 Jul 2012 16:43:35 +0000
>>
>>
>> Mh! Kweli hz hbr za udini naona kama zinatuelekeza korongoni. Kwa nini
>> taasisi husika zisisimame zenyewe bila kuihusisha serikali?! Yaani
>> waislamu wafanye sensa yao, RC wafanye yao, EAGT wafanye yao etc, etc.
>> kama wanaona kuna issue! Mie ni mkatoliki, Jimbo kuu la Dsm, Parokia ya
>> Kilungule, Kigango
> cha Mt.Salome KANA, Jumuiya ya Mt. Salome. Kila mwaka nimeshuhudia viongozi
> wetu wakifanya sensa kuanzia ngazi ya kaya, then jumuiya, kigango, parokia
> mpaka ngazi ya Jimbo kiasi cha kuwa rahisi mno kupata idadi ya wakatoliki
> ngazi ya familia, jumuiya, kigango, parokia hadi Jimbo. Tuiache serikali
> ifanye sensa ya watu wote.
>>
>> Napata kigugumizi kwa kweli!! Mungu tuepushe na kikombe hiki UDINI!
>>
>> JM
>
>> ----------------
>> From: bwanatosha@hotmail.com
>> Date: Mon, 9 Jul 2012 01:15:53 +0000
>>
>>
>> Suala hili lilianza kwa malumbano ya madai, ya baadhi ya watu na taasisi
>> za kiraia, wenye kutaka
>> Serikali ikubali kutia kipengele cha DINI GANI, katika fomu za SENSA ijao,
>> kutokana na kile kinacho
>> onekana kuwa ni UWONGO RASMI wa J. K. Nyerere, na washiriki wake wa CHAMA
>> TAWALA, pale
>> walipoamua kutokuuliza suala hili, baada ya takwimu za 1957,
> na kuamua, baadae, kuandika katika
>> maandishi rasmi, kuwa, dini za Tanzania hugawika kwa namna ifuatavyo:
>> 33% Wakristo
>> 31% Waisilamu
>> 32% Wapagani
>> 04% "Wengine"
>> Na kwamba haya yanaosemwa kua ni UWONGO.
>> Na chanzo ni KANISA LA KIKATOLIKI, kwa nyenzo za waongozi wake, kutaka
>> "kuhodhi" Tanzania,
>> kupitia nyanja na daraja nyeti zote za Serikali na Taifa, kwa kubana na
>> "kudhulumu" Waisilamu.
>> Sasa, suala ni hili: TUFANYEJE?
>> Serikali inawajibika kubuni njia ya KUSAHIHISHA haya, au kuchanua UZUSHI
>> wa wanaoyasema!
>> Jawabu na ya Serikali, sio sisi maraia, tunao "chochea", ili tujue ya
>> KWELI na ya UWONGO!
>> Mpo hapo?
>> Bwanatosha
>> +33-6-33071051.
>>
>>
>>
>>
>> ----------------
>> Date: Sun, 8 Jul 2012 23:40:41 +0300
>> From: femk.coded@gmail.com
>>
>>
>> UDINI! UDINI! UDINI! Nimechoshwa na huu udini. Binafsi
> sijali kama kuna Waislamu wangapi, Wakristo wangapi, n.k. What matters is
> that we are all human beings. Labda nianzishe dini ya All Saints, wakiwemo
> wa mababu zangu ambao wengine humu mmewaita "Wapagani"!!!!
>>
>>
>> On Sat, Jul 7, 2012 at 10:00 PM, <flyimo@yahoo.com
>> <mailto:flyimo@yahoo.com> > wrote:
>>
>> Asante,
>>
>> Nina amini kwamba kuna maana pana zaidi ya kafir (kama ilivyo pagan)
>> ambayo inakwepwa hapa lakini sitajikita huko. Kuhusu hoja ya Amour na dini
>> ya kiswahili sielelewi anamaanisha nini! Mimi nikijua kiswahili ni lugha
>> kumbe ishakua dini? Na mimi ni mswahili kwa maana halisi ya neno lakini si
>> muumini wa dini ya kiswahili. Inakuwaje hapo?
>>
>> Kwaherini.
>>
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>> ----------------
>>
>> From: rashid martin <rashidtz@hotmail.com <mailto:rashidtz@hotmail.com> >
>>
>> Date: Sat, 7 Jul 2012
> 21:49:00 +0300
>>
>>
>>
>>
>> Lyimo naomba nikupe maana ya neno KAFIR
>> ni neno la kiarabu kiswahili-----mpingaji
>> kingereza-----protestant
>> nashangaa kunawatu wanajita madehehebu yao kuwa ni protestants yaani
>> wapingaji na pia yaani makafir
>> neno hili linatumiwa vibaya na waislamu walio wengi kwani ni Mungu pekee
>> anaejua nani kafir na nani sio
>>
>>
>>
>>
>> ----------------
>> Date: Fri, 6 Jul 2012 10:40:58 -0700
>> From: abachamani@yahoo.com <mailto:abachamani@yahoo.com>
>>
>>
>>
>> We Lyimo,
>> Kwani mfumo mbadala wa mfumo kristo ni upi katika nchi isiyokuwa na dini
>> mbona mnapenda kupotosha? Kuna sehemu Mzee Mohamed kasema hayo au anadai
> hayo?
>> Kwani Jumapili ikiwa siku ya kazi pana ubaya gani na Ijumaa ikaendele kuwa
>> siku ya kazi?
>> Kumbuka madai ya Waswahili siyo hayo mnapotosha kusudi.Waswahili kwamfano
>> wanataka japo masaa 2 tu Ijumaa wakasali basi lakini nyinyi muda huu ndiyo
>> mnapanga vikao.Kumbuka kwa imani ya Waswahili hawana Sabato kwa hiyo
>> anayesema habari ya Ijumaa ana lake.
>> Unamalizia kuwa nchi yetu haina dini nawe unaamini hivyo.
>> Nami nakukubalia kweli nchi yetu HAINA DINI YA KISWAHILI ILA INA DINI YENU
>> na huo ndiyo mfumo tunaouzungumza.MFUMO KRISTO.
>> Walewale.
>
>> ----------------
>> From: "flyimo@yahoo.com <mailto:flyimo@yahoo.com> " <flyimo@yahoo.com
>> <mailto:flyimo@yahoo.com> >
>> Sent: Thursday, July 5, 2012 7:21 AM
>
>> Nina hakika kwa ndugu Mohamed yeyote asiye muislamu ni 'kafri' kwa maana
>> halisi ya neno hilo. Kamwe
> hatakuwa na uvumilivu na watu hao ila analazimika kwenda hatua kwa hatua
> kwa kuanza na Wakatoliki. Inasikitisha sana. Unaposema nchi inaongozwa na
> mfumo kristo maana yake unataka mfumo mbadala uwekwe je ni upi huo? Maana
> yake unataka mfumo 'Islam' ambao utataka J2 iwe siku ya kazi na Ijumaa siku
> ya mapumziko na mida yote ya swala 5 ofisi na sehemu za kazi zifungwe!!
> Nadhani atataka mabadiliko ya kalenda rasmi pia. Nchi yetu inajipambanua
> kuwa haina dini na mimi naamini hivyo yet Mohamed na wenzie wanasema ni
> state 'kristo' kuna muafaka kweli utapatikana hapo? Solution pekee
> wanayotafuta ni kupoteza amani iliyopo kwa ujinga waliopandikiziwa labda
> ndio maana idadi ya Watanzana kidini inahitajika kwa matumaini kwamba huo
> utakuwa mwanzo wa kuelekea kwenye state ya kiislam! Nimechangia japo kwa
> shingo upande.
>>
>> Samahanini wote.
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>> ----------------
>>
>> From: mohamed
> said <mohamedsaid54@gmail.com <mailto:mohamedsaid54@gmail.com> >
>> Date: Mon, 2 Jul 2012 23:15:46 +0300
>>
>> Amani ni kudumisha haki na uadilifu.
>> Haiwi Kanisa likahodhi fursa zote wakatuwekea walevi katika Baraza la
>> Mitihani na kwengineko wanadhulumu na kuwahujumu Waislam sisi tukamsikiza
>> mtu anatuhubiria amani.
>> Huko ni kupoteza muda.
>> Amani ahubiriwe dhalimu.
>> M
>> On Jul 2, 2012 11:08 PM, "Bariki Mwasaga" <bmwasaga@gmail.com
>> <mailto:bmwasaga@gmail.com> > wrote:
>> Kiu yangu kila mmoja aishi kwa amani na kama kuna njia bora ya kuwafanya
>> watu wawe na Amani basi tuitumie vyema
>>
>>
>> On 2 July 2012 23:02, mohamed said <mohamedsaid54@gmail.com
>> <mailto:mohamedsaid54@gmail.com> > wrote:
>>
>> Ahsante sana ndugu yangu.
>> Ni wajibu wetu kuwafahamisha ukweli kuwa Waislam wanadhulumiwa na serikali
>> ambayo imehoodhiwa na Kanisa
> Katoliki.
>> Hili hatulifichi Waislam wote kwa sasa wanalijua na ndiyo sababu leo
>> unaona uongozi wa Waislam uko nje ya mikono ya BAKWATA na leo Waislam
>> wanaongozwa na viongozi ambao hata serikali hawawajui.
>> Imetuchukua miaka mingi kufikia hapa.
>> M
>>
>>
>> On Jul 2, 2012 10:58 PM, "Bariki Mwasaga" <bmwasaga@gmail.com
>> <mailto:bmwasaga@gmail.com> > wrote:
>> Mzee(Sheikh) Mohamed Said. you have my support. Keep on fighting for your
>> rights. Hata mimi nafikiri ningekuwa kwenye viatu vyako ningekuwa labda
>> kama wewe....Endeleza mapambano hadi kieleweke. Usikate tamaa.
>>
>>
>> On 2 July 2012 19:34, mohamed said <mohamedsaid54@gmail.com
>> <mailto:mohamedsaid54@gmail.com> > wrote:
>>
>> Haiwezekani babu yangu apiganie uhuru wa nchi hii kisha mie nije nibomoe.
>>
>> Ahsante ya babu yangu na wenzake wengi walopambana na ukoloni ilikuwa
>> kutupwa gerezani na Nyerere na
> majina yao kuondolewa katika historia.
>> M
>>
>>
>> On Jul 2, 2012 5:17 PM, "denis Matanda" <denis.matanda@gmail.com
>> <mailto:denis.matanda@gmail.com> > wrote:
>>
>> Mohamed,
>> Mimi sikulaumu, nakuonea huruma kwa namna ambayo umechagua kutumia uelewa
>> wako sio kwenye kujenga bali kubomoa!
>> Mungu wako akupe nguvu kwenye hii mission yako!
>> On 2 Jul 2012 17:01, "mohamed said" <mohamedsaid54@gmail.com
>> <mailto:mohamedsaid54@gmail.com> > wrote:
>> Indeed it is a waste of time.
>>
>> That is why we went out on a nationwide campaign to alert Muslims on
>> Mfumo Kristo.
>> If the government was deaf let us speak to the umma.
>>
>> M
>>
>> On 02/07/2012, James Malima <james.malima@gmail.com
>> <mailto:james.malima@gmail.com> > wrote:
>> > Guys, this is a waste of time. It is hard to believe till this century
>> > some
>>
> > of us do NOT want to change and think they can survive through favour
> from
>> > the Government. A lot of educational materials have been shared here, if
>> > we
>> > all opened our eyes, we could understand what went wrong in the past.
>> > Excuse driven people are very dangerous to any society.
>> >
>> > I would advice the old man Mr. Mohamed Said to let other young fellows
>> > to go
>> > to school and within time, there will be no more shameful demands as
>> > the
>> > ones posted here.
>> >
>> > Better start acting now rather than complaining everyday, we loose time
>> > and
>> > energy.
>> >
>> > GOD Bless Tanzania. Amen!
>> >
>> >
>> > On Mon, Jul 2, 2012 at 3:04 PM, method francis ngonge
>> > <mngonge@gmail.com <mailto:mngonge@gmail.com> >wrote:
>> >
>> >> Mr Mohamed Said
>> >>
>> >>
> Please note that I am not after protecting any kind of evils being done
>> >> by
>> >>> government officials nor I am saying the government is clean. No no
>> >>> no,
>> >>> what I am trying to reveal is that we should not think that our
>> >>> problems
>> >>> are just a result of religious discriminations. Do you want to tell
>> >>> us
>> >>> that
>> >>> all christians are being favoured by the current system? neither all
>> >>> muslims are unfavoured by the system. Therefore it is not a matter of
>> >>> being
>> >>> a muslim or christian but a struggle between the haves and have not.
>> >>> Let
>> >>> us
>> >>> join hands for the better struggle
>> >>>
>> >>
>> >> On Mon, Jul 2, 2012 at 2:43 PM, mohamed said
>> >> <mohamedsaid54@gmail.com <mailto:mohamedsaid54@gmail.com>
> >wrote:
>> >>
>> >>> No it is not ability.
>> >>>
>> >>> If you were in our shoes you would have understood our predicament.
>> >>>
>> >>> NECTA NECTA NECTA...
>> >>>
>> >>> We are not joking.
>> >>>
>> >>> M
>> >>> On Jul 2, 2012 2:36 PM, "method francis ngonge" <mngonge@gmail.com
>> >>> <mailto:mngonge@gmail.com> >
>> >>> wrote:
>> >>>
>> >>>> Dear mwanabidii Asanterabi and others
>> >>>> I have been making a close follow up over this debate but till now I
>> >>>> dont get sense out of it and its right direction. It started as if
>> >>>> people
>> >>>> wanted to explore reasons as to why it is important to include an
>> >>>> item
>> >>>> of
>> >>>>
> one's religion during the forthcoming national census. But it seems
>> >>>> right
>> >>>> now the topic has changed to reflect discrimination of muslims by
>> >>>> the
>> >>>> government and christians. Implicitly this forms the base of
>> >>>> dispute
>> >>>> to
>> >>>> those who are demanding for the item.
>> >>>>
>> >>>> That muslims want the globe and general public to know that their
>> >>>> number
>> >>>> outweighs the number of christians and pagans.They went further to
>> >>>> quote
>> >>>> instances where they think muslims are not fairly treated. They are
>> >>>> not
>> >>>> satisfied on how they have been treated by the government, assuming
>> >>>> that
>> >>>> government is same as christians and therefore every treatment to
>> >>>> them
>>
> >>>> is
>> >>>> biased.
>> >>>>
>> >>>> Suppose the boss of the Tanzania Bureau of Census accept to include
>> >>>> the
>> >>>> item of religion in the census's questionnare and results shows that
>> >>>> muslims are fewer than other denominations what will be the feeling
>> >>>> of
>> >>>> these muslim fundamentalists? Undoubtedly they will not accept such
>> >>>> results
>> >>>> because already they have their own results even before the census
>> >>>> exercise.
>> >>>> Another important question which was too raised by Anseterabi, what
>> >>>> is
>> >>>> the benefits of knowing that the number of muslims outweighs that of
>> >>>> christians? As I find it irrational to demand that there are fewer
>> >>>> muslims
>> >>>> in top
> ranks of the government bureaucracy. If muslims are many and
>> >>>> feel
>> >>>> that to them it is necessary to have many muslims in the top posts
>> >>>> of
>> >>>> government and parliament let them do it through voting. However,
>> >>>> this
>> >>>> is
>> >>>> what we call "Ubaguzi wa dini" and that is the secret behind the
>> >>>> debate
>> >>>> and
>> >>>> it is contrary to our constitution. Such kind of thinking will
>> >>>> divide
>> >>>> uneducated Tanzanians on the basis of religions during elections at
>> >>>> all
>> >>>> levels.
>> >>>>
>> >>>> For their information we are not interested on somebody's religion
>> >>>> so
>> >>>> as
>> >>>> to appoint him/her for a particular post, we are interested on
>> >>>> his/her
>> >>>> ability to deliver. Take an example
> of a company of any business firm,
>> >>>> unless you want to be out of the business we dont employ or place a
>> >>>> worker
>> >>>> on whatever position basically because of his/her religion, the
>> >>>> first
>> >>>> thing
>> >>>> to consider is your ability to deliver for the company or business
>> >>>> establishment. Please note that our life standards will not simply
>> >>>> be
>> >>>> tremendously improved by merely having a bigger number of muslims in
>> >>>> all
>> >>>> government posts but any Tanzanian who is knowledgeable, skilled and
>> >>>> committed enough to serve the country for the benefits of all
>> >>>> On Mon, Jul 2, 2012 at 1:16 PM, Asanterabi Sang'enoi <
>> >>>> asangenoi@yahoo.com <mailto:asangenoi@yahoo.com> > wrote:
>>
> >>>>
>> >>>>>
>> >>>>> Watu wanaoendekeza udini ni wa hatari sana. Wanataka kuwagawa
>> >>>>> watanzania kwa misingi tu ya dini ambayo kila mtu aliipokea kwa
>> >>>>> matakwa
>> >>>>> yake mwenyewe. Kwani Waislamu wakiwa wengi au wakristo au wapagani
>> >>>>> kuna
>> >>>>> tatizo gani? Mie najua kuwa kwa kanisa wajibu iliyopewa ni kuhubiri
>> >>>>> injili
>> >>>>> ili watu wengi wamwamini Yesu hivyo kadri wanavyofanya bidii ya
>> >>>>> kuhubiri
>> >>>>> ndivyo na idadi inavyoongezeka. Sijajua dini nyingine kama na
>> >>>>> wenyewe
>> >>>>> wanahubiri habari za dini zao ili waongezeke au wanategemea tu
>> >>>>> kuzaana.
>> >>>>> Pia
>> >>>>> kama kila dini ina taratibu zake
> kwanini wengine wanataka kuiingiza
>> >>>>> Serikali kwenye mambo ya dini ilhali Katiba imeshasema kuwa
>> >>>>> Tanzania
>> >>>>> ni
>> >>>>> nchi isiyofuata dini yoyote (Secular state) ila wananchi wana uhuru
>> >>>>> kufuata
>> >>>>> dini yoyote? Kwanini tusiuheshimu huo uhuru wa kuabudu na kuiacha
>> >>>>> Serikali
>> >>>>> ifanye kazi zake badala ya kuisumbua kila wakati kwa masuala ya
>> >>>>> dini
>> >>>>> isiyohusika nayo?
>> >>>>>
>> >>>>> --- On *Mon, 7/2/12, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com
>> >>>>> <mailto:denis.matanda@gmail.com> >* wrote:
>>
>> >>>>> From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com
>> >>>>> <mailto:denis.matanda@gmail.com> >
>> >>>>>
>> >>>>> To:
> <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>> >>>>> Received: Monday, July 2, 2012, 4:59 AM
>>
>> >>>>> U are kidding, right?
>> >>>>> On 2 Jul 2012 11:14, "Bariki Mwasaga"
>> >>>>> <bmwasaga@gmail.com <mailto:bmwasaga@gmail.com>
>> >>>>> wrote:
>> >>>>>
>> >>>>> The best way is to accept whatever is said cause we need to live in
>> >>>>> harmony and peace. If at all by accepting one's demand will help us
>> >>>>> to
>> >>>>> enjoy the peace we have, then let it be so.
>> >>>>>
>> >>>>> On 2 July 2012 09:35, Reuben Mwandumbya
>> >>>>> <ipyana75@yahoo.com <mailto:ipyana75@yahoo.com>
>> >>>>> > wrote:
>> >>>>>
>> >>>>> Comrade
> Minja;
>> >>>>> What you are saying is exactly correct from mine point of view,if
>> >>>>> the
>> >>>>> only issue is number and no any hidden agenda.
>> >>>>>
>> >>>>> !Braza!
>> >>>>>
>> >>>>> ------------------------------
>> >>>>> *From:* Daniel Minja
>> >>>>> <minjartd@yahoo.com <mailto:minjartd@yahoo.com>
>>
>> >>>>>
>> >>>>> *Sent:* Sunday, July 1, 2012 3:32 PM
>> >>>>> Emma,
>> >>>>>
>> >>>>> What message do wish to share from this? if one of the religious
>> >>>>> denominations outnumbers the other in anyhow then what?
>> *"Read not to Contradict, nor to Believe, but to Weigh and
> Consider"*
>> >>>>>
>> >>>>> ------------------------------
>> >>>>> *From:* Emma Kaaya
>> >>>>> <emmakaaya@gmail.com <mailto:emmakaaya@gmail.com>
>>
>> >>>>> "In the 1957 census Muslims outnumbered Christians at a ratio of
>> >>>>> three
>> >>>>> to two.[1] Ten years after
>> >>>>> in 1967, in the post independence census Muslims were 30%,
>> >>>>> Christians
>> >>>>> 32
>> >>>>> and local belief 37%. Reasons were not given for this sudden
>> >>>>> decrease
>> >>>>> of
>> >>>>> Muslims or the growth of pagans. It is on record that the 1967
>> >>>>> statistics
>> >>>>> were doctored to show that Muslims were trailing behind Christians
>> >>>>> in
>> >>>>> numerical strength. It is
> worthwhile to quote in full a letter by one
>> >>>>> Amiri
>> >>>>> Mchomvu which appeared in the *Family Mirror* about the 1967
>> >>>>> census:
>> >>>>>
>> >>>>> Last month I chanced to come across Africa Information Newsletter,
>> >>>>> (September 26, 1994 issue) in which there was an article on
>> >>>>> Tanzania
>> >>>>> titled: Islamic fundamentalism worries the government.
>> >>>>>
>> >>>>> I found the article by a renewed Tanzanian journalist, Lawrence
>> >>>>> Kilimwiko to be very anti-Islam. Besides, Mr. Kilimwiko says that
>> >>>>> about
>> >>>>> 40%
>> >>>>> of Tanzanians are Christians and 30% Muslims. I think that is a
>> >>>>> statistical
>> >>>>> error.
>> >>>>>
>> >>>>>
> During the 1967 Population Census, the first census since
>> >>>>> independence,
>> >>>>> I was one of the census enumerators in Tabora Region. It is
>> >>>>> believed
>> >>>>> that
>> >>>>> this was the only successful of the population census conducted
>> >>>>> since
>> >>>>> independence (i.e. 1967, 1978 and 1988) as it was wholly conducted
>> >>>>> by
>> >>>>> the
>> >>>>> form V students. Corruption, embezzlement, etc. of census funds and
>> >>>>> other
>> >>>>> administrative vices that plagued the last two census (1978 and
>> >>>>> 1988)
>> >>>>> were
>> >>>>> things unknown at that time.
>> >>>>>
>> >>>>> It was the only census which had probed Tanzanians' religious
>> >>>>> adherence. I clearly remember
> the bulky questionnaire form, one
>> >>>>> question of
>> >>>>> which asked the persons' religion, whether he was Christian,
>> >>>>> Muslim,
>> >>>>> Other
>> >>>>> (e.g. Hindu, Budhist etc.) or traditional, e.g. pagan.
>> >>>>>
>> >>>>> I also remember the census results; published by the then
>> >>>>> Tanganyika
>> >>>>> Standard late that year 1967 (I have forgotten the date of the
>> >>>>> issue)
>> >>>>> in
>> >>>>> which it was shown that Muslim constituted 63% of the population.
>> >>>>>
>> >>>>> Now whoever thinks that such verdict is not correct I challenge
>> >>>>> him/her
>> >>>>> to substantiate otherwise with official results of the 1967 Census
>> >>>>> if
>> >>>>> they
>> >>>>>
> at all can get hold of them."
>> >>>>>
>> >>>>> ------------------------------
>> >>>>>
>> >>>>> [1] *Africa South of the Sahara*, Europa Publication, London, No.
>> >>>>> 20
>> >>>>> 1991, p. 1027.
>>
>> >>>>> On Sun, Jul 1, 2012 at 11:50 AM, mohamed said
>> >>>>> <mohamedsaid54@gmail.com <mailto:mohamedsaid54@gmail.com>
>> >>>>> > wrote:
>> >>>>>
>> >>>>> Wanabidii,
>> >>>>>
>> >>>>> Hebu tustaladhi na haya katika attach.
>>
>> >>>>> Mohamed Said
>>
>>
>> --
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
No comments:
Post a Comment