Sunday, 22 July 2012

Re: [wanabidii] RE: JESHI LA POLISI NA SEREKALI WANAWAPA CHADEMA UMAARUFU

kuna waziri mmoja mwenye mawazo ya kinyerere anakazana kutaka kuona reli zinarudi kufanya kazi kama ilivyokuwa enzi za mwalimu alipokuwa ansafiri kutoka tabora school, huyu hakika ataambiwa toka huko njoo kwenye pepo ya mabwege utapona ugonjwa wa umasikini japo nawe utakuwa bwege kwa kuuza nchi yako uliyoipenda toka ulipotoka tumboni mwa mama yako. tusbiri tuone miaka miwili ijayo kama hatutaona na yeye akiwa na malori makaubwa kama yale ya darbit

--- On Sun, 7/22/12, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:

> From: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] RE: JESHI LA POLISI NA SEREKALI WANAWAPA CHADEMA UMAARUFU
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sunday, July 22, 2012, 3:23 AM
>
> Ni kweli kabisa. Chadema ni watu wasiounga mambo ya ajabu
> ajabu yanayofanyika hapa nchini kwa sasa. Lenga can we meet
> pls. No yangu 0652 314181 mollel
> ------------------------------
> On Sun, Jul 22, 2012 4:18 AM EDT selemani swalehe wrote:
>
> >Asante Lengai, umejitahidi kutaja mambo kadiri ya uwezo
> wako lakini hayo ni
> >machache sana, yapo mengi kwa ujumla wake na kila
> upande wameharibu kwa
> >faida yao kama ulivyosema. Wamehujumu reli kwa makusudi
> kabisa ili malori
> >yao ulioyataja yapate cago,wamehujumu vyanzo vya umeme
> ili walete mitambo
> >ya kufua umeme,wameua viwanda vya nguo ili walete nguo
> kutoka nje, hivyo
> >hivyo viwanda vya sukari ili waagize sukari kutoka nje
> yani yapo mengi
> >yatakayowatoa madarakani wananchi wanayaona na mwisho
> wao kwa kweli umefika.
> >
> >
> >2012/7/21 LENGAI OLDOINYO <lengai2000@yahoo.co.uk>
> >
> >> Katika jambo ambalo Polisi na Serekali iliyopo
> madarakani watakuja
> >> kujutia Mwaka 2015 ni kitendo cha wao kuwapa
> CHADEMA umaarufu kwa kuwazulia
> >> makesi yasiyo na kichwa wala miguu. Kazi yetu sisi
> Wananchi ni kuwaangali
> >> tu CCM wanavyohaha. Maji yamezidi unga.
> >>
> >>
> >>
> >> Tatizo la Serekali iliyopo madarakani
> wanadhanishia kuwa CHADEMA ni Dr
> >> Wilbroad Slaa, Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Peter
> Mnyika, Halima Mdee, Tundu
> >> Lisu na wengine kama hao. CHADEMA ni takribani
> robo tatu ya Watanzania sasa
> >> hivi ambao wanakerwa na siasa chafu za Chama
> Tawala CCM.
> >>
> >>
> >>
> >> Wasomi wengi sana kuanzia shule za msingi
> wanakerwa sana na mambo
> >> yanavyokwenda ndani ya nchi. CCM imepoteza imani
> kwa Watanzania kwa ahadi
> >> zisizotekelezeka. Bila kificho kama CCM
> haitachukua hatua za haraka
> >> kujirekebisha Wabunge wengi sana watapoteza
> majimbo yao mwaka 2015. Mambo
> >> ambayo yanawakera Watanzania ambayo hata wafanye
> miujiza CCM hawataweza
> >> kuyatatua ni kama yafuatayo.
> >>
> >> -Kuuza ardhi ya Watanzania kwa wageni huku wenyeji
> wakihamishwa kama ndege.
> >>
> >> -Wabunge na Mawaziri kujilimbikizia mali bila
> kificho.
> >>
> >> -Wawekezaji kutolipa kodi zinazolingana na kipato
> cha biashara zao.
> >>
> >> -Mishara ya wafanyakazi wengine ni midogo wakati
> Wabunge wanajilipa vizuri
> >> kwa kazi ndogo.
> >>
> >> -Kumekuwa na huduma duni katika sekta ya afya huku
> wao wakisafirishwa kwa
> >> kodi za Watanzania kwenda kutibiwa nje.
> >>
> >> -Kumekuwa na kutokujali sekta ya elimu hasa kwa
> watu wenye kipato duni
> >> huku watoto wa wakubwa wakisomea nje na shule za
> kisasa lakini watoto wa
> >> wanyonge wanasomea juani kwenye vumbi.
> >>
> >> -Serekali inahimiza ujenzi wa mabarabara kwa
> manufaa yao na wawekezaji
> >> huku wakizivunja barabara hizo kwa Malori yao
> yanayobeba mizingo mizito.
> >>
> >> -Kuvunjia Wananchi nyumba zao bila fidia yoyote na
> waliwaona wakijenga
> >> bila kuwakataza.
> >>
> >> -Kutoa mikopo ya elimu ya juu kwa upendeleo
> >>
> >> -Kutokuimarisha kazi za zima moto huku Watanzania
> wakipoteza mali nyingi
> >> kwa ajali hizo.
> >>
> >> -Kuhamisha Watanzania kwenye makazi yao kwa ajili
> ya wawekezaji wa sekta
> >> ya madini.
> >>
> >> -Kutembelea magari ya kifahari huku Watanzania
> wakikosa huduma muhimu kama
> >> maji, Afya, elimu, umeme nk
> >>
> >> -Kuwatoza Wafanyakazi kodi kwenye mishahara yao
> kiduchu huku Wabunge
> >> wakipeta na mabilioni yao.
> >>
> >> -Kudhoofisha Demokrasia Tanzania wakijua kabisa
> vyama vingine vya siasa ni
> >> vyama vya Watanzania tena wazawa.
> >>
> >> -Kuzuia mijadala Bungeni yenye tija kwa Taifa kama
> vile mijadala ya
> >> Ufisadi, rushwa, manunuzi ya vifaa chakavu kwenye
> huduma nk.
> >>
> >> -Matumizi mabaya ya fedha za umma kwa mfano fedha
> za EPA na Rada.
> >>
> >> -Kitendo cha Serekali kuuwa viwanda na mashirika
> ya umma.
> >>
> >> -Ukosefu wa ajira kwa vijana.
> >>
> >> -Kutumia jeshi la Polisi jureruhi na kuua watu
> wasio na hatia.
> >>
> >> -Kujilimbikizia madaraka. Mtu ni mbunge huyo huyo
> mkuu wa Wilaya au Mkoa.
> >>
> >> -Kutokuwa wazi katika mapato na matumizi ya fedha
> za Umma.
> >>
> >> -Kuwalinda wezi wa mali za umma na Mafisadi huku
> wanajulikana.
> >>
> >> -Kutoroshea nje ya nchi mabilioni ya fedha za kodi
> za Watanzania.
> >>
> >> -Kero ya rushwa za ngono na fedha taslimu kwenye
> huduma na ajira.
> >>
> >> -Viongozi kujiuzia mali za umma kama nyumba,
> mashirika, viwanda na ardhi
> >> tena kwa fedha kiduchu.
> >>
> >> Mambo yahoo hapo juu na baadhi tu ambayo
> sitakumbuka kuyataja lazima
> >> yakitoe madarakani chama yawala CCM.
> >>
> >> Mkereketwa
> >>
> >> Lengai Ole Letipipi
> >>
> >> Sinza – Dar es salaam
> >>
> >> --
> >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >> Pata nafasi mpya za Kazi
> www.kazibongo.blogspot.com
> >> Blogu ya Habari na Picha
> www.patahabari.blogspot.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal
> >> consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be
> >> presented responsibly. Your continued membership
> signifies that you agree
> >> to this disclaimer and pledge to abide by our
> Rules and Guidelines.
> >>
> >>
> >>
> >
> >--
> >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or her
> postings, and hence statements and facts must be presented
> responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
> and Guidelines.
> >
> >
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

No comments:

Post a Comment