2012/7/24 lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
--
Naandika haya nikiwa nimewachukia sana, mlinijengea hali ya kuwaona nyie ni waaminifu sana, nimefanya kazi miaka kumi na kuchangia mfuko wenu, lakini aliyewatuma kupitisha hiyo sheria bila kuniuliza / kutuuliza wenye michango yetu, imeniuma sana. Nafanya yote kwa ajili ya watoto wangu, familia yangu.Naona mmeamua kufanya mliyo amua. Uamuzi nilioamua kuchukua ni huu, ambao kwangu ni mzuri, ni mzuri kwasababu, siku nikisema mtusikilize hamtatusikiliza, tukiandamana, polisi wa serikali sikivu watatupiga risasi na kwenda kujisifu kuwa wamezuia waandamanaji wasio na sababu, na tukienda mahakamani kuna majaji na mahakimu wanakadi za vyama vyao, wamesahau kushughulikia sheria.Watoto wangu nawapenda sana, natamani wajue hilo, najitolea kwa ajili yao. Nipeni siku nitekeleze uamuzi wangu. Nije pale kwenu, nipande kule juu, nijiue kwa ajili ya uchungu ya kunyimwa haki yangu. Kama mko tayari kuifuta damu yangu nitajieni siku. Naomba iwe mchana na watoto wangu watakuwa wananishuhudia, najiangamiza kwa kujilusha kwaajili ya watu wasio na masikio.Tafadharini nyie ndugu.
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:
Post a Comment