Monday, 23 July 2012

Re: [wanabidii] Hili la BAKWATA kuteuwa Kadhi wa Tanganyika

Tatizo kubwa nililoligundua hapa kundini kuna watu wanapenda kutolea maamuzi mambo ambayo hawayajui vizuri ama wanayapotosha kwa makusudi. lkn tufahamu kuwa meseji zetu zinasomwa na watu wengi na wenye uelewa mkubwa juu ya mambo tunayoyaandika. Remember No research no write to speak. ASANTENI SANA.

--- On Tue, 7/17/12, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Hili la BAKWATA kuteuwa Kadhi wa Tanganyika
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, July 17, 2012, 6:09 AM

Suala la Kadhi na mahakama ya kadhi bado halijamalizika. Rejeeni hotuba ya Mhe. Waziri Mkuu wakati wa kutoa Taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Serikali. Kule Zanzibar wana Kadhi Mkuu hivyo kuwa na Kadhi wa Tanganyika ni sawa kabisa kwa sababu Mufti wa Tanzania siyo kiongozi kwa upande wa Zanzibar

2012/7/17 hancy obothe <hanssy84@yahoo.com>
Kiukweli Serikali yetu ni kichwa cha mwendawazimu kwanini tusinge kuwa na subira tukajua katiba mpya itasemaje juu ya suala hili ilikuepuka gharama zisizokua na kichwa wala miguu

Zaidi sana nataka kujua taifa liligima kuingiza Tanzania kwenye jumuia ya nchi za kiislam kwanini leo wanataka kuruhusu mahakama za kadhi  lakini ukisema sana watasema wewe ni mkristo kama ilivyo leo ukionekana kuipinga serikali kwa lolote basi wewe ni chadema hii inaonesha wazi kuwa viongozi wa taifa hili wanajua kuwa Watanzania wote ni mbumbumbu ila chadema tu ndo wenye macho ya kuona ujinga

--- On Tue, 7/17/12, Jones Nyakwana <jonesn1478@yahoo.co.uk> wrote:

From: Jones Nyakwana <jonesn1478@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] Hili la BAKWATA kuteuwa Kadhi wa Tanganyika
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, July 17, 2012, 1:28 AM

Yona sasa ndiyo ujue hii Serikali yako ambayo unaitunishia mashavu kuitetea humu kila siku ilivyo ya ajabu. Hii mahakama ilitakiwa ianzishwe na waislam na ifanye kazi katika mazingira ya dini ya kiislam bila kuathiri wala kuingiliana na taratibu za serikali lakini ajabu ni kwamba hata gharama ya kufanya study katika mataifa mengine inaghalimikiwa na serikali yetu. Hapa kuna baadhi yetu tunaona ni sawa lakini kitendo cha kukiuka miiko ya Baba wa taifa na kuiingiza Serikali katika mambo ya kidini tujue tunajijengea mazingira magumu sana hapo mbeleni. Hakuna kitu kibaya kama migogoro ya kiimani na sasa tumeingia huko.
 
Tunakoelekea tutasikia Mahakama nyingi za madhehebu ya dini zikihitaji gharama za Serikali. Lakini kubwa zaidi tungejiepusha na haya hususani katika kipindi hiki ambacho dunia ipo katika ushetani wa ndoa ya jinsia moja. Lakini kwa kuwa Serikali yetu ni sikivu basi tutegemee Serikali isaidie kuanzishwa kwa mahakama za baadhi ya dini zitakazokuwa zikifungisha na kutetea ndoa za jinsia moja na kupiga watu mawe hadi kufa. Hapo ndipo kazi itakuwa kubwa maana tayari tumeingia mikenge. 

--- On Tue, 17/7/12, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Hili la BAKWATA kuteuwa Kadhi wa Tanganyika
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, 17 July, 2012, 8:31

Ndugu zangu

Nimesikia kwamba Baraza Kuu la waisilamu limeteuwa Kadhi mkuu wa
Tanganyika siku kadhaa zilizopita .

Ninavyojua mimi BAKWATA ni Baraza Kuu la waislamu Tanzania , na sio
Tanganyika , nimeshangaa kwanini sasa imekuwa Tanganyika badala ya
Tanzania nzima .

Pili mimi napongeza uteuzi huu kama masuala ya kadhi yataendeshwa na
kadhi Bakwata wenyewe kwa fedha zao na taratibu zao nyingine bila
kuathiri mfumo mwingine wa sheria Tanzania ambao upo kwa ajili ya watu
wote .

Mwisho sasa nimeanza kuhisi ni kwanini waislamu walikuwa wanataka
kipengele cha Dini katika Sensa inawezekana moja ya sababu ni hili la
ufanyaji kazi wa Kadhi .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment