Wednesday, 11 July 2012

Re: [wanabidii] Fwd: CHRISTIAN HEGEMONY AND THE RISE OF MUSLIM MILITANCY

THE MAIN THING HERE, THESE PEOPLE WANT TO CONVERT THIS COUNTRY TO ISLAMIC REPUBLIC. LOOK AT SOMALIA-100% ARE ISLAM, YEMEN, EGYPT,TUNIS, LIBYA, etc...... but are still looking for fighting." mjanja anatafuta mjinga ili amdanganye, akienda kwa mjanja atakwama" 
  itakuja na kuhoji yale mabomu ya mbagala yalilengwa Waislam!!!!! tupo hapa, kwahiyo hapa inatakiwa mwislam yoyote akifanya kosa asiguswe kabisa, awe juu ya sheria, HAPO TUTATULIA.

God created men in LOVE ,let us live with LOVE


--- On Tue, 7/3/12, Bahati Mashimba <bahatienos@yahoo.com> wrote:

From: Bahati Mashimba <bahatienos@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Fwd: CHRISTIAN HEGEMONY AND THE RISE OF MUSLIM MILITANCY
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, July 3, 2012, 3:16 PM


Kuna Mungu mmoja tu  wa kweli, Mungu  aliyehai; Mungu asiye wamachafuko; mwenye  utukufu, uwezo,neema, rehema, uvumilivu, mtakatifu  na mwenye upendo kwa  watu  wote. Mungu anayetupa roho ya uzima  kila anayemwamini mwana wake wa pekee. Roho  huyo huongoza  watoto wa Mungu kuwa na upendo na kuombea watu wote bila kujali dini zao , kabila zao  na hali zao.
Mtu mwenye kumpenda huyu Mungu wa kweli, hupenda adui zake na kuwaombea,haweki kumbukumbu ya mabaya, huvumilia yote, hatafuti faida yake binafsi , wala  hana wepesi wa hasira, hafurahii uovu.
Mtu mwenye upendo hawezi kuiba, kuua, kujitoa mhanga, kuomba rushwa, kuhamasisha machafuko, kulipiza kisasi na mambo yote  maovu ambayo nichukizo kwa Mungu wetu.
Upendo ni kila kitu katika maisha ya mwanadamu.Hata ukitoa mali zako zote kuwapa maskini na tena hata ukijitoa mwili wako  uungue moto kama huna upendo haikufai chochote.
 
Watanzania  wote tuendelee kupendane bila kujali dini zetu.Kama tukiwapenda tu wale wenye imani moja  hatutapata tuzo kwa Mungu.
 
-BM




--- On Tue, 7/3/12, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] Fwd: CHRISTIAN HEGEMONY AND THE RISE OF MUSLIM MILITANCY
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, July 3, 2012, 4:54 PM


Tumaini,kwa nini umechelewa kujua kuwa Allah na Mungu wa wakristo ni tofauti?Mungu mtakafujo,mbaguzi,Mungu asiyetambua uwepo wa wengine na wakati anajisema kuwa ni muumbaji,huyo hawezi kufanana na Mungu wa wakristo.Na yeyote anayetangaza vita na wakatoliki,anatangaza vita na wakristo wote...na huu ndio ukweli.



------------------------------
On Tue, Jul 3, 2012 17:56 EEST Tumaini J wrote:

>Mjadala tata huo
>
>Sent from my iPhone
>
>On 3 Jul 2012, at 3:12 alasiri, James Malima <james.malima@gmail.com> wrote:
>
>> Reuben, kweli inasikitisha sana.
>> 
>> Siku zote nimekuwa ninaamini kwamba Mungu tunayemuabudu ni mmoja, lakini sasa nahisi Mungu wa Waislamu na Mungu wa Wakristo huenda ni tofauti kabisa.
>> 
>> Ninaamini kwamba Mungu wetu ni muweza wa yote, na ukuu wake unaonekana katika kazi yake ya uumbaji wa Mbingu na nchi, na mambo mengi ya ajabu yanayotufanya tusadiki kwamba Mungu yupo.
>> 
>> Kwa uweza wake huo, naamini hahitaji msaada wa mwanadamu yoyote kulalamika sana na kupenyeza hila na ujanja wa kuhitaji kubebwa bebwa ili kuthibitisha kwamba Mungu ni mkuu.
>> 
>> Ukisoma posts za hapo juu, statistics tulizopewa kuhusiana na Wayahudi, pamoja na uchache wao duniani, wanamwabudu Mungu na kumwamini kwa yote anayowatendea, that's why wako juu sana katika mambo yao. huo ni ushuhuda tosha kwamba Mungu wetu anaweza kufanya jambo lolote beyond our knowledge tukikubali kumtii na kufuata maelekezo yake. Kinyume na hapo, tutapata matokeo tofauti kabisa.
>> 
>> Kwa imani niliyo nayo juu ya Mungu huyu tunayemuabudu, sidhani kama anahitaji msaada wa aina yoyote, wa kutumia hila na vijisababu visivyokuwa na msingi ili kuwathibitishia watu kwamba Mungu ni muweza. Ni juu yetu sisi kuelimisha nafsi zetu (elimu) ili tuweze kukabiliana na changamoto za hapa duniani. Ni kweli tunaamini siku moja tutarudi kwa Mungu, lakini kwa wakati huu, elimu ya hapa duniani, pamoja na elimu ya Mungu, vitatufanya tuishi maisha bora ya amani na ustaarabu. Kinyume na hapo, tutahisi tunatafuta haki lakini ukweli ni kwamba tutajikuta tunasababisha uchochezi usiokuwa na maana unaoweza kupelekea kuvunjika kwa amani katika jamii yetu.
>> 
>> Nishauri tu, ndugu tulio na ufahamu kiasi katika mambo haya, tuchunguze nia zetu kutokana na posts tunazozitoa hapa, je zinalipeleka wapi Taifa letu? Hebu tumuache Mungu wetu afanye apendavyo. Ametuumba kwa sura na mfano wake, ametupa hiari ambayo anatarajia tutaitumia vizuri ili azidi kutukuzwa. Tukitumia hiari zetu vibaya, kama alivyofanya Adam na mkewe Hawa, tutakuja kujuta baadae.
>> 
>> Nimejaribu kushauri tu, kwamba tujiulize tulikosea wapi, turekebishe, kuliko kutafuta choko choko zinazoweza kutuletea madhara yasiyokuwa na maana yoyote. I expected kwa Mzee kama Mohamed Said, angekuwa tayari na ukweli huu kuliko kuleta uchochezi wa kidini.
>> 
>> Kanisa Katoloki, limekuwa na michango mingi sana kwa jamii yetu wote, Watanzania kwa ujumla. Siamini kwamba kwa yote waliyofanya ndugu zetu hawa, hakuna hata moja la kuwasifu kwa mikakati yao madhubuti iliyosababisha wafike hapo walipo. Kuliko kuwaponda kwa mawazo dhaifu kama tunayoyaona hapa, kwa mpenda maendeleo yoyote, bora angetamani kujifunza walifanya nini na kuboresha kile walichokifanya. Ukweli ni kwamba yapo mambo mengine wanayofanya, si rahisi kwa imani zingine kuiga wanachokifanya.
>> 
>> Wana shule nyingi sana, zinapokea wanafunzi wa imani zote. Kitu cha tofauti, ambacho ndugu zangu Waislamu mtaniambia kama mnakiweza, wametenga hadi sehemu za ibada (misikiti) kwenye vyuo vikuu vyao, mfano SAUT, kwa ajili ya wanafunzi Waislamu walioko hapo chuoni kwa ajili ya ibada zao. Sina uhakika kama imani zingine wanaweza kufanya hivi.
>> 
>> Tunatakiwa kutafuta mambo mema kwa ndugu zetu na si kutafuta weaknesses hata za kibinadamu na kuzishupalia ku justify infiriority complexes zetu. Kwa mtindo huo, hatutafika, tutaishia kulalamika tu na kulalamika kukiendelea, kutazaa maafa makubwa. Elimu na kufanya kazi kwa bidii, kunaweza kubadili situation yoyote tukimtanguliza Mungu katika yote. Ninaamini katika Mungu, na Mungu wangu hunisaidia katika mengi. We need to come to a point to question our Gods if they do not answer our prayers rather than asking men, for sure they won't have proper answers.
>> On Tue, Jul 3, 2012 at 2:01 PM, Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
>> M;
>> Hii mada itakuwa vema tuiache,sasa tuendelee na mambo yenye tija kwa taifa.
>> Huu udini wako haujengi chochote,ni ubomoaji tu,kama vp si muiingize katika vitendo?stori za kuwatia watu uoga zilishapitwa na wakati,kama mumedhamiria kupambana na KRISTO why dont you struggle kimya kimya?
>>
>>               !Braza!
>> From: mohamed said <mohamedsaid54@gmail.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Tuesday, July 3, 2012 12:49 PM
>>
>> Subject: Re: [wanabidii] Fwd: CHRISTIAN HEGEMONY AND THE RISE OF MUSLIM MILITANCY
>>
>> I have no further comment.
>>
>> But I have written a couple of books and papers and delivered lectures
>> in many universities in and out of Tanzania.
>>
>> And to date no one has called me a liar.
>>
>> M
>>
>> On 03/07/2012, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
>> > Mohamed, of course the people, who reviewed your book took for granted
>> > that what you wrote was true but for you you were presenting your
>> > opinions - what you thought you knew about the church and its
>> > relationship with the government vs Muslims. You should't be proud of
>> > writing such a misleading book. You should be ashamed of it!
>> >
>> > On 7/3/12, mohamed said <mohamedsaid54@gmail.com> wrote:
>> > How far are you off the mark.
>> >
>> > My book was reviewed by John Illife in Cambridge Journal of African
>> > History.
>> > The book was also reviewed in several academic journals in United States
>> > and by Jonathon Glassman, James Brenan from Northwestern University,
>> > Chicago, Illinois, etc, etc.
>> >
>> > Please google those names.
>> >
>> > The East African Magazine (Nairobi) serialised my book etc. etc.
>> >
>> > I was requested by Harvard/Oxford University Press New York to contribute
>> > to Dictionary of African Biographies (DAB) which I did.
>> >
>> > I was also requested by Oxford University Press Nairobi to write a
>> > history
>> > text for primary schools in Tanzania.
>> >
>> > The book was published in 2007.
>> >
>> > Is this not enough?
>> >
>> > M
>> > On Jul 3, 2012 10:03 AM, "denis Matanda" <denis.matanda@gmail.com> wrote:
>> >
>> >> Mohamed,
>> >>
>> >> The most plausible explanation as to why no one has bothered to respond
>> >> to
>> >> the contents of you writings is because they've not seen something worth
>> >> commenting on! That is the distortion of facts is so bad u don't even
>> >> know
>> >> where to start!
>> >> On 2 Jul 2012 21:50, "mohamed said" <mohamedsaid54@gmail.com> wrote:
>> >>
>> >> I wrote the book,  corrective version of the propaganda that Nyerere
>> >> founded TANU single handedly.
>> >>
>> >> I disputed that in my book.
>> >>
>> >> I argued that TANU was a brain child of the late Abdulwahid Sykes
>> >> (1924 1968) who took over the leadership of the association from his
>> >> father Kleist Sykes (1884 1949) in 1950.
>> >>
>> >> I argued that TANU was founded by members of Al Jamiatul Islamiyya fi
>> >> Tanganyika (Muslim Union of Tanganyika) founded in 1933 from members
>> >> of the African Association founded in 1929.
>> >>
>> >> My grandfather Salum Abdallah (188? 1974) was a member of the two
>> >> organisations and was among the patriots who founded TANU in 1954.
>> >>
>> >> The book was published in London in 1998 and todate no scholar has
>> >> dared to challenge the facts in the book.
>> >>
>> >> Lastly, I am not forcing anyone to believe what I have written the
>> >> facts are there for all and sundry to read.
>> >>
>> >> M
>> >>
>> >> On 02/07/2012, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
>> >> > Wapendwa nashauri tu kwamba Sheikh Mohamed anachozungumza ni kweli
>> >> > kulingana na anavyoamini yeye hivyo hata mfunge na kuomba hatabadili
>> >> > achoamini. By the way whether we accept if all are lies or truth
>> >> > nothing
>> >> > will change the reality. Kubalini ameshinda na anachosema ni KWELI
>> >> > kwa
>> >> > mujibu wa yeye. I guess this is wiser than continuing with this
>> >> > matter.
>> >> >
>> >> > On 2 July 2012 20:51, mohamed said <mohamedsaid54@gmail.com> wrote:
>> >> >
>> >> > Please show me the lies in my writings.
>> >> >
>> >> > M
>> >> >
>> >> > On 02/07/2012, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
>>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

No comments:

Post a Comment