I was expecting to see at least two from our own land Tanzania only to realise that we have nothing! What a shame?
Sent from my iPad
On 23 Jul 2012, at 18:15, "ELISHILIA.D.S KAAYA " <
kaayashilia@hotmail.com> wrote:
> Ndg yangu tunatakiwa tu tuwe na udhubutu. Kuna wakati siyo siku nyingi nilisikia vijana wa Moja ya vyuo vikuu vyetu ambao ndio waliobuni mfumo wa usaili wa TCU kupitia mtandao walipata tuzo ya kimataifa kwa ubunifu.Walichotengeza kilishindanishwa kimataifa kikaoneka bora sana.Kama hawakujitokeza wasingefahamika.
>
> Hoja yangu ya msingi ni tuwe na udhubutu na siyo kujidhalilisha kama taifa.Tatizo jingine kubwa hatutangazi vipawe tulivyo navyo lakini tu wepesi kujidhalisha sana.Mimi hilo sikubaliani nalo kwani sisi ndiyo watanzania na tutabakia watanzani na kuji "parade" kama wachovu haina tija. Kwa tuzo kama hii ya CNN basi wanahabari wetu wazitoe kazi zao mwaka kesho nazo zishindanishwe.Wapo wengi tu wanaofanya makubwa.Tuwatieshime wajitokeze.Wakijitokeza na kushindwa wanaogopa tutawakashifu badala ya kuwatia moyo kwamba kuna mara nyingine.Tubadilke.
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>
> -----Original Message-----
> From: Tony PT <
tony_uk45@yahoo.co.uk>
> Date: Mon, 23 Jul 2012 14:32:00
> To: <
wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Final List Of The CNN-MultiChoice African
> Journalist Awards 2012
>
> Mr Kaaya,
>
> Uvivu wa kusoma, kuandika na kufikiri ndiyo common feature ya waTz siku hizi! Unaposikia elimu kushuka unadhani mchezo! Tunataka kila kitu tufanyiwe na serikali na tuendako hata ukitaka kuoa unaomba mchango serikalini. Kujituma kumekwisha na ndio mwanzo wa kuisha kwa utaifa na taifa letu!
> Mungu Ibariki Tz.
>
> Tusione ajabu sana!
> Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.
> From: "Elishilia D. Kaaya" <
kaayashilia@hotmail.com>
> Sender:
wanabidii@googlegroups.com > Date: Mon, 23 Jul 2012 17:25:14 +0300
> To:
wanabidii@googlegroups.com<
wanabidii@googlegroups.com>
> ReplyTo:
wanabidii@googlegroups.com > Cc:
AfriCanID@yahoogroups.com<
AfriCanID@yahoogroups.com>; naijaintellects<
naijaintellects@googlegroups.com>; NigeriansnCanada<
NigeriansnCanada@yahoogroups.com>; USAAfricaDialogue<
USAAfricaDialogue@googlegroups.com>; wanabidii<
wanabidii@googlegroups.com>;
wanakenya@googlegroups.com<
wanakenya@googlegroups.com>; Wanazuoni<
wanazuoni@yahoogroups.com>;
youngprofessionals_ke@googlegroups.com<
youngprofessionals_ke@googlegroups.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Final List Of The CNN-MultiChoice African Journalist Awards 2012
>
>
> What a pity that not a single name from Tanzania has featured in this long list. Tanzania indeed boats of high calibre professionals in this particulars field but may be daring remains a serious limitation.
>
> Sent from my iPad
>
> On Jul 23, 2012, at 3:52 PM, Yona Maro <
oldmoshi@gmail.com <mailto:
oldmoshi@gmail.com> > wrote:
>
>
>
>
> <
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5LYh4wDDmWbKGRrnItd6IYH132GDuONkQ16Icmfrt-QQYBOhrlBeHFJ2UcKAo2hEHXYOy-S1J17Iqva7oGq9nTbAuMnNQDEZZm1R8aEASQYleFmshMsIkbfaWTGYjTjb3Vj8pLhCbF5Bq/s1600/cnn.jpg>
> (1)Manar Attiya(Egypt)
> (2)Idris Akinbajo(Nigeria)
>
> (3)Tunde Akingbade( Nigeria)
>
>
> (4)Joshua Anny(Ghana)
>
>
> (5)Adriaan Basson(South Africa)
>
>
> (6)Najlae Benmbarek(Morocco)
>
>
> (7)Demelza Bush(South Africa)
>
>
> (8)Edward Echwalu(Uganda)
>
>
> (9)Teresa Sofia Fortes(Cape Verde)
>
>
> (10)Ramusel Graça(São Tome e Príncipe)
>
>
> (11)Arsénio Henriques(Mozambique)
>
>
> (12)Isabel João(Angola)
>
>
> (13)Ahaoma Kanu(Nigeria)
>
>
> (14)Charles Kinyua Kariuki(Kenya)
>
>
> (15)Tom Mboya(Kenya)
>
>
> (16)Craig McKune(South Africa)
>
>
> (17)Musikilu Mojeed(Nigeria)
>
>
> (18)Clive Mtshali( South Africa)
>
>
> (19)Andrew Mulenga(Zambia)
>
>
> (20)Nimrod Taabu Mwagamoyo(Kenya)
>
>
> (21)Jephitha Mwai Mwangi(Kenya)
>
>
> (22)Waihiga Mwaura(Kenya)
>
>
> (23)John Muchangi Njiru(Kenya)
>
>
> (24)Peter Nkanga(Nigeria)
>
>
> (25)Elor Nkereuwem(Nigeria)
>
>
> (26)Evanson Nyaga(Kenya)
>
>
> (27)Verashni Pillay( South Africa)
>
>
> (28)Piet Rampedi(South Africa)
>
>
> (29)Antoine de Ras(South Africa)
>
>
> (30)Megan Small(South Africa)
>
>
> (31)Stephen Ssenkaaba(Uganda)
>
>
> (32)Joy Summers(South Africa)
>
>
> (33)Gerald Tenywa(Uganda)
>
>
> (34)Nelson Wesonga(Uganda)
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <
http://www.mwanabidii.com>
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <
http://www.kazibongo.blogspot.com>
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <
http://www.patahabari.blogspot.com>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com <mailto:wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment