Tuesday, 24 July 2012

Fw: RE: [wanabidii] KUCHUKUA HELA KWENYE MIFUKO YA JAMII SASA HADI UFIKISHE MIAKA 55

HUU NI UFISADI KWANI UNAOHALALISHWA KWA SHERIA

  1. KUMBUKA MWANACHAMA HUWA ANAPEWA KIASI KILE KILE ALICHOCHANGA BILA KUJALI THAMANI YA PESA ILIYOPO
  2. MIFUKO YA JAMII HUFANYA BIASHARA KWA KUTUMIA FEDHA YA WANACHAMA LAKINI WANACHAMA HUWA HAWAJUI NA HAWANUFAIKI NA BIASHARA HIYO
  3. KAMA NIMEACHA KAZI NA NINA UMRI WA MIAKA 40 NA SINA KAZI NYINGINE MAALUM YA KUNIINGIZA KWENYE HIYO MIFUKO YA JAMII KWA NINI WAKAE NA FEDHA YANGU KWA MIAKA 15
  4. HATA HIVYO NI AKINA NANI WAMELALAMIKA KUWA WANAHITAJI KUPEWA MAFAO YAO KATIKA UMRI HUO?
  5. KWA VIWANGO VYA MISHAHARA YA WATANZANIA WALIO WENGI HUWA HAWANA UWEZO WA KUFANYA VITU VYA GHARAMA KAMA UJENZI. BASI MTU ANAPOMALIZA MKATABA WAKE NINADHANI NDIPO KIASI CHA MICHANGO YAKE KINAWEZA KUSAIDIA ZAIDI
  6. NINAHISI WATAWALA HUWA WANAAZIMA PESA KATIKA MIFUKO HIYO KWA MATUMIZI FULANI. SASA LABDA WANAONA ZINAPUNGUA
  7. WATOA MAAMUZI WALIO WENGI WANA UMRI ZAIDI YA MIAKA 55 HIVYO KWAO SI TATIZO
  8. WATU WANATAKA KUWA HURU NA MALI ZAO-TUSIUMIZANE KIASI HICHO.

--- On Mon, 7/23/12, Wilbard, Ombeni (Bulyanhulu) <OWilbard@africanbarrickgold.com> wrote:

From: Wilbard, Ombeni (Bulyanhulu) <OWilbard@africanbarrickgold.com>
Subject: RE: [wanabidii] KUCHUKUA HELA KWENYE MIFUKO YA JAMII SASA HADI UFIKISHE MIAKA 55
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, July 23, 2012, 10:55 PM

Hapo Yona unazidi kunitatanisha maana hyo barua imesainiwa na mkurugenz mkuu wa SSRA!!Na anadai raisi kasaini hyo sheria!!!

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Yona Maro
Sent: Tuesday, July 24, 2012 8:48 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KUCHUKUA HELA KWENYE MIFUKO YA JAMII SASA HADI UFIKISHE MIAKA 55

Suala hili bado liko kwenye majadiliano kati ya mifuko yote ya kijamii na SSRA pamoja na serikali na mabenki kwa upande mwingine kwahiyo msiwe na mashaka na woga sana . itatolewa taarifa zaidi baadaye .

Tuwe makini na taarifa fupi fupi kama hizi .

2012/7/24 Jonas Kiwia <jonaskiwia39@gmail.com>
Jamani hii sheria imepitishwa lini kama sio kutukandamiza wanyonge.Eti sasa kuchukua mafao yako baada ya kuacha kazi au kusimama kazi kwa sababu yoyote ile huwez kuchukua hela zako mpaka ufikishe miaka 55.This is too  much jamani sasa wanakaba kila mahali.

Regards,
 
Jonas Kiwia  |  Director
Speedy Computers
Tel:+255 754882825  |  Cell: +255 715882825
P.O.Box: 55133  |  Dar esSalaam  |  Tanzania
Email:jonaskiwia39@gmail.com  URL:www.speedycomputersonline.com
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment