Monday, 1 June 2015

Re: [wanabidii] SIMPIGII KURA MGOMBEA MASKINI

Abel naomba unisamehe maana sijibu swali lako. naongea tu kuwa Wakati tukitaka kujua utajiri wa mtu na njia mojawapo ni kuuliza TRA wakatwambia amelipa kodi kiasi gani lakini mtu kuonekana unatukia kuliko unavyoonekana unapata tukuiteje tajiri? maskini? Mengi akifanya anayoyafanya ENL hakuna atakayehoji. Mengi akiitisha mkutano na watu wakatoka mikoani wato 100. Na mikoani tukaona watu wanalipwa tutajua anayewalipa ni wakala waMengi yule tajiri. Lakini mtu aliyefanya kazi za mshahara tunaojua akifanya vitu vya kutisha namna hii. Kuwakusanya watu wanyonge wakasema 'tumejigharimia'. Moja la kuwaza ni 'Kanunuliwa'. Hapo mengine yanafuata. kanunuliwa na nani? Aliyemnunua anawekeza mtu kwenda Ikulu ili fedha zake zirudije.
Kama atakayejibu akutuchambulia nini maana ya tajiri na mtumiaji kitajili wakati si tajili wa biashara na kikulipa kodi tumwiteje?
--------------------------------------------
On Mon, 6/1/15, Abel Lugamba <lugamba2001@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] SIMPIGII KURA MGOMBEA MASKINI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, June 1, 2015, 10:08 AM

Samahani wadau, mimi sina taarifa za
uhakika, kuhusu huyu jamaa, aitwaye ENL, si vibaya
nikasaidiwa kujua mawili matatu kumhusu yeye na hicho
kinachosemwa kuhusu yeye na utajiri wake!!?
1. Je ni kweli yeye ni tajiri kweli kweli, wa
kiwango cha matajiri ninaowajua Tz, kina Azam, Mengi, Manji
na all of similars?
2. Kama ni kweli
yeye anafanya biashara zipi na namna gani akiwa serikalini
na ndani ya CCM muda wote!? Isije kuwa tunamtuhumu mtu kwa
hela ya "mboga tu", ambayo hata sina shaka kina
Wasira, na Mwandosya wanayo!!
3.
Sijapata kusikia biashara yoyote, kubwa au Uwekezaji wowote
mkubwa hapa nchini kuwa ni wa ENL!! tafadhari wenyi data
mnijuze.

2015-06-01 6:10 GMT+03:00
'Paschal Leon' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mtu tajiri ni mzuri
kama utajiri wake ameupata kwa kazi halali na sii rushwa
wala ujanja-ujanja. Be careful with hao wezi waliokubuhu.
Note that hakuna kiongozi anayetumikia wananchi atakayekuwa
tajiri; utajiri huo ataupata wapi?

On Sunday, May 31,
2015 5:07 PM, 'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Msameheni Yona alipoteza
ufahamu toka oktoba 2010 hawezi kulikataa hili
SENT FROM ALCATEL ONETOUCH TABLET

'salumkango' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Sio watu ni
Yona Maro. Kwa kweli ni hoja dhaifu mno. Na hata mifano
aliyoitoa haiendani kabisa. Tatizo la Tanzania sio utajiri
bali ni jinsi viongozi wetu wanavyoupata huo utajiri

Sent from my Samsung Galaxy
smartphone.

-------- Original message --------
From: 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

Date:31/05/2015 12:56 PM (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com

Cc:
Subject: Re:
[wanabidii] SIMPIGII KURA MGOMBEA MASKINI

Kwa mtizamo huu, kwa hiyo watu mnaamini Rais
akiwa masikini atawaogopa matajiriri, utumbo na udumaavu wa
akili kufikiria hivyo, Kwa taarifa mtu aliyeleta habari hii
jamvini hakuwaza kwamba hekina na uungwana wa kutaka kutenda
haki kwa kila mmoja ni msingi wa uongozi
bora.Hizi ndizo sababu
zinazotufanye tuchague watu wasiofaa matokeo yake mtu akiwa
madarakani ndipo tunaanza kujuta. Uchaguzi unaofaatia
tunafanya kosa hilo hilo, kama wazazi wanaotafuta kupata
mtoto wa jinsia fulani lakini kila wakati wanapata mtuto wa
jinsia ambayo tayari wana watoto wa njisia
hiyo.Ninachofahamu mleta habari
hii wakati mwingine amekuwa akileta habari mbali mbali
zingine zikiwa na mafunzo tele, ningelitegemea amesoma
habari za viongozi mbali mbali duniani hata kama siyo wote,
lakini kua viongozi waliofanya makuwa ka nchi zao je ni kwa
sababu walikuwa na mali? Soma habari ya kiongozi aliyeileta
Malaysia hapo ilipo leo, je alikuwa Tajiri?  Utamlinganisha
Nyerere na waliomfuatia combined. Kuna kiongozi wa Bolivia
na wengine wengi.  Kiongozi mzuri ni
yule atakayetumia katiba kuingoza nchi ndiye atakayewezesha
nchi kusonga mbele, siyo ku sign sheria kwa mbwembwe.

On Sunday, 31 May
2015, 9:20, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
wrote:

Magafu,

Ogopa umaskini wa akili, umaskini wa roho na
umaskini wa mfuko.  Ni hatari kuliko cancer kwani angalau
ukiwa na cancer unajua pa kuanzia lakini ukiwa na umaskini
wote wa aina tatu utaanzia wapi?.

Pole Watanzania maskini wenzangu kwani tumeliwa
na tumefanywa maskini ili waendelee kututawala watakavyo. 
Nalililia Tanzania yetu

Cheers

Herment

Date: Sun, 31 May
2015 11:09:22 +0700
Subject: Re: [wanabidii]
SIMPIGII KURA MGOMBEA MASKINI
From: gmdmagafu@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Hoja
hafifu sana. Unajaribu kutushawishi Watanzania ambao wengi
wetu ni maskini tuikane haki yetu ya kuchaguliwa, siyo?
Usitushawishi Watanzania kuwapigia kura wagombea ambao
wametajirika kupitia ufisadi. Kuvumilia wizi na kuwaita wezi
eti "wajanja" kunaharibu nchi yetu. Sisi sote ni
Watanzania. Mishahara ya Watanzania tunaijua vizuri kwa
sababu ndio hiyo tunayopekea sisi pia. Utajiri mwingine
hauelezeki hata kwa mshahara wa juu kabisa wa mfanyakazi wa
serikali ya Tanzania. Watanzania tuko zaidi ya mil 45. Najua
wajinga ni wengi watakaokuunga mkono lakini hatuwezi wote
kuwa wajinga hivyo.

Na kwa
hakika Nyerere mwaka 1995 alikuwa mmoja wa wale ambao
hawakuwa wajinga hivyo. Nyerere alijua hatari ya kuwaruhusu
wagombea wenye kutumia ushawishi wa pesa kupigiwa kura. Kwa
hiyo aliwatupilia mbali kabisa hata wasifike katika hatua ya
kupigiwa kura. Wapigakura wana njaa sana. Na njaa tayari
imeanza kuonekana - kwenye CCM yenyewe, mitaani, vyuo vyetu,
nk. CCM watatunza heshima yao kama watawaondoa wagombea
wenye kutegemea ushawishi wa pesa wasifike kwenye hatua ya
kuigiwa kura chamani kama Nyerere alivyofanya 1995.
Wakiruhusiwa kupigiwa kura, basi lazima pesa ishinde. Na
kila mwekezaji hutegemea faida. Pesa zao lazima wazirudishe
wakiwa Ikulu (+faida).  

Wagombea wa Bara katika CCM wana vurugu
na uchu sana (huku wakidai kuwa Wapinzani ndio wana uchu wa
madaraka). CCM wawatupe hawa wagombea wa Bara kwa kuwapa
Wazanzibari nafasi ya kugombea safari hii. Isitoshe Zanzibar
inaonekana kuwa na watu wenye sifa zaidi kuliko Bara. Kuna
Makamu wa Rais na Rais wa Zanzibar mwenye uzoefu wa uongozi
wa juu ambao hakuna mtu yoyote wa Bara mwenye ku-match.

2015-05-30
23:54 GMT+07:00 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>:
SIMPIGII
KURA MGOMBEA MASKINI

Rais wa
Kenya ,Uhuru Kenyatta ni mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika
, inasemekana
Aliachiwa urithi wa ardhi kubwa sana na baba yake ambaye
alikuwa rais wa kwanza
wa Kenya , Mzee Jomo Kenyatta .

Toka
ameingia madarakani amefanya mabadiliko mengi na kuwajibisha
wengi ya karibuni
zaidi ni kuwajibisha wakuu wa mashirika ya umma zaidi ya 20
kutokana na tuhuma
za rushwa .

Prof
Peter
Mutharika ambaye ni rais wa Malawi wa sasa alitangaza mali
zake alipoingia
madarakani ambazo ni dola milioni 4 za kimarekani pamoja na
vitega uchumi
vingine alivyonavyo na hisa .

John
Kerry ,
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani wakati alipotakangaza
kugombea urais wa
Marekani alitangaza mali zake ambazo zilikuwa zaidi ya dola
milioni 30 za
marekani hapo ni nyumba zake , hisa zake na jinsi anavyolipa
kodi .

George
Bush
Mkubwa na Mdogo wote walikuwa marais wa Marekani , wote ni
wamiliki wa moja ya
kampuni kubwa kuliko zote za mafuta na Gesi ulimwenguni
utajiri wake
hausemekani lakini wote waliwahi kuwa marais wa marekani
.

Rais wa
Sasa
wa Marekani , Barak Obama alitangaza mali zake kabla ya
kuukwaa urais ambazo
zilifikia dola milioni 5 atakapomaliza muhula wake wa 2
atatangaza tena mali
zake na mengine mengi ambayo yatakuwa wameshakaguliwa na
chama cha wahasibu wa
marekani pamoja na taasisi nyingine za serikali
.

Kwahiyo
wewe
unasema si Tajiri , lakini umekuwa waziri kwa miaka 10 ,
tunajua safari zako
zote za nje unalipwa posho kiasi gani na msururu wa watu
unaoenda nao kwa
kipindi hicho cha miaka 10 , bado wewe ni mbunge unavyoenda
bungeni unalipwa
posho .

Ukiacha
hili
la uwaziri tunajua ulikuwa unafanya shuguli nyingine kama ni
za serikali au
binafsi kabla hujawa mbunge wala waziri huku kote ulikuwa
unatengeneza maisha
yako na ya familia yako na kama una mke hata mkeo nae ni
mfanyakazi kwahiyo
kipato chenu kwa pamoja kilikuwa kikubwa kiasi Fulani iweje
leo utuambie wewe
ni maskini ?

Hapa
Kwetu
inaonyesha mtu kuwa na hela au kuwa tajiri basi huyo
hatakiwi kugombea urais au
ubunge tunataka wale maskini wanaojionyesha kwamba wana hela
chache na
milolongo mengine mingi sana .

Kuna
baadhi
ya wagombea wanajinasibu masikini saa hizi lakini hawako
radhi kuonyesha mapato
na matumizi yao toka wameingia serikalini kwenye ngazi ya
ubunge na uwaziri kwa
kipindi chote .

Nikiambiwa
nipige kura kati ya mgombea tajiri na maskini nitampa tajiri
ambaye ameweka
utajiri wake hadharani na ambao umekaguliwa na vyombo kama
TRA na vingine
nchini kuthibitika kwamba hazina utata wowote
.

Kiongozi
tajiri anatupa funzo moja kuu kwamba yeye ameongoza kampuni
yake kwa mafanikio
kwa kipindi Fulani kabla ya kuamua kugombea urais , anajua
mambo ya mikataba ,
makubaliano , mikopo na masuala mengi yanayohusu biashara na
maisha kwa ujumla
kuliko baadhi ya wagombea .

Nchi
yetu
inaingia kwenye kipindi cha Uzalishaji wa Gesi , mafuta ,
Urani na maliasili
nyingine nyingi hii inahitaji mtu mwenye uwezo huo wa
biashara , maelewano ,
mikataba , mikopo na maendeleo si mtu yoyote tu
.

Lengo la
makala hii sio kumpigia kampeni Fulani , ni kusema ukweli
uliopo tu ili tuweze
kuwa huru .

YONA
FARES
MARO

0786
806028

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment