Sunday, 2 November 2014

[wanabidii] UISLAM SIO USHETANI BALI SHETANI ANAWEPENDA WAISLAM

UISLAM SIO USHETANI BALI SHETANI ANAWEPENDA WAISLAM
Wakati iblis anafukuzwa karibu na Mwenyezi Mungu baada ya kukataa kumsujudia Nabii Adam iblis aliapa na kumwabia Mwenyezi Mungu nitawapoteza watu wako wote.
Mwenyezi Mungu akamwambia utawapoteza Wale wanaotaka kupotezwa Lkn Wale wasiotaka basi watakuwa na mimi.Ibliss akasema niwachukia hawa wanaosali sala 5, wanaotoa mali kwa ajili ya dini yao. Wanaokumbusha wenzao kuhusu maisha baada ya kufa, wanaofunga ramadhani. Wanaochukia riba , wanaochukia wizi wa mali ya watu. 
Iblis akaanza kampeni ya kuwapotosha watu mmoja baada mmoja na hakuna binaadam asievamiwa na iblis ili kumpotosha kwani motoni hataki kuingia pekee yake Shetani akajikita ktk mambo yafuatayo ambayo ni mali ya shetani.
Uislam unachukia uganga wa kienyeji
Unapiga vita kufuga mashetani
Unapiga vita riba
Unapiga vita ushirikina na wanga
Unapiga vita pombe za aina zote

Wanaosema uislam ni dini ya shetani hawajafanya utafiti wa kutosha

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment