Matatizo ya Mtwara ni tofauti sana na mawazo ya wengi. Vurugu zile si za siasa hata kidogo. Kama kuna kiongozi yeyote wa siasa amejiingiza kuuchochea ni ndani ya chama chetu na si wapinzani. Matatizo ya muda mrefu yameifikisha Mtwara hapa ilipo. Viongozi wanaacha kusema ukweli wanasingizia watu wengine. Mimi nadhani viongozi wetu wanajua ukweli lakini wanakwepa kuusema kwa kuwa aidha walishiriki kuutengeneza kwa faida yao au rafiki zao. Hakuna CUF wala CHADEMA Mtwara. Huu ni ukweli usiopingika.
--- On Thu, 5/23/13, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com> wrote:
From: Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI To: wanabidii@googlegroups.com Date: Thursday, May 23, 2013, 3:01 AM
Rwebangila,
Umeiweka vizuri sana, tatizo lilipo watu hatupendi kuukabili ukweli na mwenye kuonyesha mawazo tofauti huambiwa mpumbavu, hii ni hatari. Hivi aliyewachagulia hao wabunge ni nani, au aliyeiweka CCM madarakani ni nani, si ndio hao hao wenye kuingia barabarani. Tutashindwa vp wengine kushawishika kuwepo kwa uchoche iwapo kabla ya bajeti watu wanasambaza vipeperushi, jee walitaka kuvuna nini hasa kama sio vurugu. Hatuhitaji kutoa roho wakati kua uwezekano wa kufikia muafaka pasipo kutoana roho, na wengi tunashabikia hatupo kwenye eneo, wanaoumia sio waazilishi wa hizo vurugu, ni watu wengie kabisa wasio na hatia. Busara kwa pande zote inahitajika zaidi kwenye suala la Mtwara kuliko jazba. Felix -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment