Saturday, 2 February 2013

[wanabidii] Re: REMEMBER HOW WE ARE A NATION OF HYPOCRITES??

On Feb 2, 11:03 am, Chambi Chachage <chamb...@yahoo.com> wrote:
> From: [Uncle] [Part 2]
> To: chambi chachage <chamb...@yahoo.com>
> Sent: Saturday, February 2, 2013 4:06 AM
> Subject: Re: REMEMBER HOW WE ARE A NATION OF HYPOCRITES??
>
> Hallo Uncle , Happy new year. MJOMBA has been of late making headlines by opening up roads, bridges and a whole lot of new projects that you would expect the wananchi in all their divergence to come up with nice words of encouragement, but alas me, we keep hearing the same old crap of SERIKALI DHAIFU!!!
> In actual fact uncle, TANZANIANS were not supposed to live a life of luxury, this you can see thru common sense and by actions taken by NYERERE and his cohorts.
> Look at this: " Ein Volk, Ein Reich, Ein Fuhrer!" This literally means, "One People, One Empire, One Leader!"
> The German people were subjected to continual propaganda, under the control of Josef Goebbels. It was the Cult of personality - everything was organised to make Germans permanently grateful to Adolf Hitler. So we come with our own "ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI" And we are able to see and hear how a multitude of Tanzanian politicians of every colour (party) sing the same song of praising someone whose decisions have to a large extent brought us to this quagmire we are now in. Take the case of Gas and Mtwara residents uprising, it is nothing but Nyerere's marginalisation of the people of Mtwara and other areas mostly populated by muslims. But since this is a Nation of Hypocrites, the local media houses will not permit this to be the case, but to be free one has to face the truth, and truth is there for everyone to see. Kigoma region is flexing it's muscle with oil, and I dont know which other part of Tanzania with a large population of muslims will take to
>  the streets, even though they will soon go for the Diocese of NECTA and Dr Ndalichako!!
> As I told you before, the cat is out of the bag, things will never be the same again. The funniest thing of all is, ili kuendelee kuwepo na amani eti ni kwa Waislamu waendelee kukubali kudhulumiwa, day in, day out, that's hogwash at it's best.
> Inahitaji wazalendo wa kweli kurekebisha hali ya mambo ili Taifa lisonge mbele, lakini kwa mtindo huu wa kubadili maneno na kuwapa watu majina ya ndivyo sivyo, hamkani mambo si shwari.
> Thes are just my thoughts though, you can always correct me as am a human being like the rest.
> BYE FOR NOW.
>
>  From: [Uncle] [Part 1]To: chambi chachage <chamb...@yahoo.com>
> Sent: Saturday, December 8, 2012 4:54 AM
> Subject: Re: Remember The Hypocrisy Of LOLIONDO?
>
> Hallo Uncle, Guess you are fine, so are we. Bongo iko poa tu na MSWAHILI is still at the helm though wengi wetu tusingependa hivyo!!! anatuharibia PROJECT yetu tuliyoianza miaka mingi huko nyuma, "KUWAFUKARISHA WATANGANYIKA". Analeta mpango wa kilimo cha matrekta wakati hili tulilisimamisha, watu wakiwa na uwezo wa maisha ni vigumu kuwafanya WARITADI. So the best option was to make them poorer and poorer. Unakumbuka, japo ulikuwa mtoto mdogo, kauli mbiu inayosema "NCHI YETU MASIKINI" basi ni nchi ile ile ambayo sasa wanaharakati hawataki ichimbwe gesi, mafuta na urani, eti hatutaweza kuingia mikataba vizuri kama nchi!! Botswana wamewezaje? Na hawa ndiyo wasomi wa nchi hii!!!Kwa mtu asiefuatilia matukio ya kidunia, kikanda na ki-nchi, anaweza akadhani hawa jamaa wazalendo kweli kweli. Sasa wanaogopa mabadiliko ya katiba, wanachotaka wao ni kubadili vipengele vinavyowasumbua kuleta serikali nyingine, lakin STATUS QUO yao ibaki pale pale. Ndiyo maana
>  nakwambia tumerithishwa unafiki kuwa ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. MSWAHILI kaanzisha kampeni ya shule za sekondari za kata, imekuwa nongwa, watoto wengi masikini watapata fursa ya kuwa na upeo wa kujua mambo, anawaharibia PROJECT ile kuu. Wanaharakati na wachambuzi wa masuala kadha wa kadha wa Bongo ni wa ajabu sana, akiuawa mtu ambae kwa hana maslahi yoyote hukaa kimya kama vile hakujatokea kitu, sasa ngoja auwawe mwenzao, kelele ni nyingi, maandamano kwa kwenda mbele, huu ni usomi wa aina gani uncle? Sheria ya ugaidi iliyopitishwa Bongo ilipigiwa kelele nyingi na wadau wenye luona mbali, lakini kwa vilke ilikuwa inawalenga watu fulani ambao kwa hakika watajijua wenyewe, ikapitishwa, Kenya ambako kuna wakristo wengi kuliko Bongo walisita baada ya kuona itawagawa kama nchi, hiyo ndiyo COMMON SENSE tuisemayo. Nimeku-forwardia mail za siku nyingi kidogo kukukumbusha ya kwamba, "Many world events do not just happen, they are made to happen" kwa
>  hiyo sio ajabu kuona kuwa Somalia kuna rabsha licha ya kuwa vita vilikuwa vimekwisha tayari lakini kwa kutumia jina la MAHAKAMA YA KIISLAM, wasomali walipoteza sifa ya kuwa na amani nchini mwao, ndivyo vivyo hivyo itawakumba wamisri na Muslim Brotherhood, halikadhalika Mali, Zanzibar, Tunisia na kwingineko dunia ya Kiislam. Kwa wanaojua, CRUSADE is with us now though it still finds pockets of resistance on a few Islamic individuals, when the Islamic Nation as a whole wakes up to this fact, things will never be the same again, albeit, the cat is out of the bag already!!! Huku Bongo Waislamu sio wanalalamika, wanawaambia wenzao wakristo kwamba mchezo wao ni mauti kwa wenzao, lakini mazoea yana taabu, wanadhana kuwa waislamu hawana akili, wamezaliwa hali wakiwa wapumbavu. Ustaarabu wa dunia ya Magharibi una deni kubwa sana kwa uislamu ( hii inategemea na historia gani Mbongo kasoma maana Bongo inaongoza Afrika kwa kutengeneza HALF-BAKED Intellectuals!!!)
>  Sasa inaingia kichwani kuwa wale waliostaarabisha dunia leo hii tena ndiyo waje kuwa hawajui kitu!! Hicho kisemwacho kuwa ni New World Order kinasumbuliwa na uislamu tu hadi sasa, jamaa wa itikadi hii wako busy kubomoa family values, mainstream society morals and ethics, traditions and God Worship etc., stumbling block ni Muslims and Islam, maana kama ni ushoga umeishakubalika, riba poa tu, kusagana poa, tena kwa baraka za makanisa, na watendaji wakuu wa makanisa ndiyo vinara wa kuonesha njia kwa vitendo!! elimu ya Evolution ndiyo hivyo tena, watu ni ma-Profesa wa fani hii, wanaharakati na wachambuzi wako busy wakijikaanga kwa mafuta yao wenyewe, eti tunasema zama za giza zimepita, mbona kwa sasa ndiyo GIZA TOTOLOOO!! Bye Uncle, nisiseme mengi, jamaa hawakawii kutumia sindano kunyamazisha ukweli. Regards.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment