Allan,
Unachosema ni kweli kabisa kwamba kuna haja ya kuhesabiwa ila kunahaja vilevile kusikiliza wadau wa sensa yenyewe.ITV walifanya kipindi kuzungumza hili lakini Wapinga sensa hawakuitwa ili kuelimishwa na kuoneshwa ni kwa kiasi gani kile wanachokisema kisivyo na maana.Wewe unadhani kwa nini?
Kwanini wanasemewa wakati wenyewe wapo.
Lakini hili la kugoma ndiyo maana yake kwani hata mtu akigomea kula unadhani njaa inakuwa haimuumi ndugu yangu?
Ila naomba mfanye tathmini ya kweli kuhusu hiyo sensa wachilia mbali hao WAPUUZI wachache waliogomea hali imekwendaje.
Vifaa vilitosha na kama hapana kwa nini? Mbona vingine wamepiga photocopy mitaani nayo ikoje hii lakini cha zaidi unapomlazimisha mtu kuhesabiwa kisha akesema uongo nayo inakuwaje
Mwisho wa yote si ni sawa na hakuna.
Walewale.
From: allan lawa <allanlawa@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, August 29, 2012 11:06 AM
Subject: Re: [wanabidii] Sensa na Swali la Dini..................UKWELI NI HUU!!!
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

madai ya ndugu zangu Waislam kuhusu kipengele cha dini kuingizwa kwenye sensa yanaweza kuwa na msingi kwa kuwa baadhi ya taassisi za serikali bado zinauliza maswali kama hayo. polisi kwa mfano, wana kipengele cha dini na kabila. ninadhani hilo nalo linapaswa kufutwa mara moja. binafsi sijui dini na kabila vina uhusiano gani na kosa analotuhumiwa nalo mtu. aidha katika suala la kabila pia utakutana nalo kwenye nyumba za kulala wageni ambapo katika vitabu vya kujiorodhesha kuna kipengele cha kabila. masuala hayo mawili mimi yamekuwa yananipa taabu sana kwani hayana tofauti na hilo wanalodai baadhi ya ndugu zangu waislam. serikali isimame na kusema bayana kwani baadhi ya taasisi zake zinavipengele vyenye kuonesha ubaguzi wa dini na kabila na tuelezwa sababu za kuendelea kuwapo kwake na faida zake. je lengo ni kujua waumini wa dini wanaongoza kwa uhalifu uhalifu au kulalamikiwa na chombo hicho na vingine kama hicho? hata hivyo sikubaliani kabisa na baadhi ya watu wanaopinga zoezi la sensa kwani kukataa kuhesabiwa kuna madhara makubwa zaidi katika mipango ya maendeleo ya watu na nchi. --- On Wed, 29/8/12, Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment