Saturday, 1 September 2012

Re: [wanabidii] RE: [TanzaniaCA] Fw: Eliudi Molel , From Arusha, Miaka 13

Ndugu Sabula tunakushukuru sana kwa kuonyesha moyo wa Upendo na Huruma kwa kuendelea kuwasaidia wa Tanzania. Mswahili usema - Tenda Wema nenda zako, Usingoje Shukurani. M'nyezi Mungu atazidi kukuonyesha njia ili ufanikiwe na kuwasaidia wengine.
Amen
Idriss Mussa
Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana

From: Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 30 Aug 2012 23:04:06 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>; tanzaniaca@yahoogroups.ca<tanzaniaca@yahoogroups.ca>; tan_toronto@yahoogroups.com<tan_toronto@yahoogroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RE: [TanzaniaCA] Fw: Eliudi Molel , From Arusha, Miaka 13

Habari za siku nyingi Mabula?

Pole kwa doa lilikutokea, ambalo kwa kweli hukustahili! Badala ya kusifiwa, ukachafuliwa! Pole sana.

Nafurahi kuona kuwa bado unaendelea kujitahidi kusaidia. Mungu atakulipa mara nyingi tu wala usikate tamaa.

Kila la heri.

Lutgard
 


From: Mabula Sabula <mabsab@hotmail.com>
To: "tanzaniaca@yahoogroups.ca" <tanzaniaca@yahoogroups.ca>; "tan_toronto@yahoogroups.com" <tan_toronto@yahoogroups.com>
Cc: Wanabidii Tanzania <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, August 30, 2012 7:03 PM
Subject: [wanabidii] RE: [TanzaniaCA] Fw: Eliudi Molel , From Arusha, Miaka 13

Ndugu Watanzania,
 
Tumeongezewa wiki moja, mpaka September 07, 2012 ili tupate familia moja au zaidi ya kusaidia huyo mtoto na kukamilisha safari yake ya kutoka Arusha
mpaka Toronto. Ubalozi wa Canada Nairobi hautatoa viza bila "host families!" Kwa yaliyotokea karibuni na Mtoto Precious Maduhu, nimeshauriwa jina langu
halikubaliki kwa muda huu. Kama kuna yoyote huko, yuko tayari kukaa na hii familia kwa miezi kama miwili, tafadhali tuwasiliane mara moja.
 
Ahsanteni sana.
 
Mabula Sabula
647-856-0106
==========================================================================================
To: tan_toronto@yahoogroups.com; tanzaniaca@yahoogroups.ca
From: mwakatobe@yahoo.com
Date: Thu, 23 Aug 2012 22:14:06 -0700
Subject: [TanzaniaCA] Fw: Eliudi Molel , From Arusha, Miaka 13

 
Wanajumuiya,

Kuna hii issue hapa chini.
Kwa yoyote mwenyewe uwezo wa kusaidia naomba mcontact Mr. Mabula Sabula.
                                       

From: Mabula Sabula <mabsab@hotmail.com>;
To: mwakatobe@yahoo.com <mwakatobe@yahoo.com>;
Subject: Eliudi Molel , From Arusha, Miaka 13
Sent: Wed, Aug 22, 2012 2:11:50 PM

Ndugu Mwakatobe,
 
Za familia na kazi? Sisi poa kabisa.
 
Huyo mtoto juu ana matatizo ya shingo. Anahitaji "plastic surgery." Sickkids wamekubali kumutibu baada ya sponsor ya wazungu fulani wa "Circle of Friends." Mtoto na Baba hawana pa kufikia. Matibabu kama miezi miwili. Mimi kwa sasa, nimepumzika mke wangu anasafiri na pia nimehama kikazi na nyumbani. Wanahitaji translation pia. Sickkids wameniomba kusaidia kutoka jumuia ya Watanzania. Tunatafuta familia moja au zaidi ambazo zinaweza kukaa na huyo mtoto na baba. Nimeahidi kujibu Ijumaa hii." Tufanyenje?"
 
Familia zitakazopatikana nitaunganisha hospitali moja kwa moja.

 

Mabula Sabula
647-856-0106
 

__._,_.___
Recent Activity:
.

__,_._,___
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment