Sunday 18 September 2016

[wanabidii] "HAPPY BIRTHDAY MJENGWABLOG, TEN YEARS OLD.., TODAY!" Kuna Kipya Kinakuja...!

Ndugu zangu,

Leo ni Septemba 19, ni Siku ya Kuzaliwa Mtandao wa Mjengwablog.

Nimepata kuandika, kuwa kwa mwanadamu, hakupaswi kuwapo na ukomo wa kujitahidi kufanya yalo mema kwa jamii yako.

Na katika kujitahidi kuyafanya yalo mema, basi, mwanadamu uwe tayari kukumbana na changamoto nyingi. Na kama ilivyo kwa maji ya mto, yanapokutana na mwamba, basi, kasi yake huongezeka maradufu.

Leo blogu unayoifuatilia ya Mjengwablog imetimiza MIAKA KUMI. Miaka Kumi si haba. Kwetu wa Mjengwablog ni Miaka Kumi ya kujifunza, kukosea, kujifunza kutokana na makosa, na kisha kusonga mbele.

Kazi ya kublogu ni kazi ngumu. Inahitaji ... Soma zaidi..http://mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/27838-happy-birthday-mjengwablog-ten-years-old-today.html#.V99-JfkrLIU

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment