Sunday, 18 September 2016

[wanabidii] HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA


HAPPY BIRTHDAY  KAMANDA RAS MAKUNJA
Aziongezewa zawadi ya Mbwa mlinzi Domo Baya Bulldog) !
Pia apewa sanamu la mbwa kuweka getini kutaadharisha wageni


Siku kama ya leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule ujerumani, Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja (pichani) alizaliwa mjini Dar-es-Salaam, akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seif Mpili (Mama Makunja), Mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja leo ndio Happy Birthday !!!!! yake
Pia amepewa zawadi ya mlinzi mwingine mbwa aina ya Bulldog ,mbwa huyo ana umri wa mwaka moja na nusu amepewa mafunzo maalumu na ana uwezo wa kukimbia mita 300 kwa sekunde 4,akukung'ata ni sawa
na kudondokewa na chuma kilo 40 pia ananguvu ya kasi ya kuangusha
kupiga kikumbo kilo 75,mkuu huyo wa Ngoma Africa band apewa pia sanamu la mbwa kwa kuweka getini kwa kutaadharisha watu.

 pia unaweza kuburudika na kusherekea naye katika kambi yao FFU-Ughaibuni at http://www.ngoma-africa.com au www.ngoma-africa.com
ungana nao pia at www.facebook.com/ngomaafricaband

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment