Monday, 27 April 2015

Re: [wanabidii] MKUTANO WA UVCCM MJINI MOSHI UMEWAAMSHA WANANCHI !

Navyoona this time huenda CCM wakabeba Moshi mjini kama hali itaendelea hv au

From: Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
To: Wanabidii Mawazo <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, April 26, 2015 8:22 AM
Subject: RE: [wanabidii] MKUTANO WA UVCCM MJINI MOSHI UMEWAAMSHA WANANCHI !

Ni hayo tu Ndugu Buberwa ndiyo yaliyo "waamsha" watu wa Moshi Mjini au kuna jingine la ziada?

Date: Sat, 25 Apr 2015 21:58:03 +0100
Subject: [wanabidii] MKUTANO WA UVCCM MJINI MOSHI UMEWAAMSHA WANANCHI !
From: buberwajackob@gmail.com
To: buberwajackob@gmail.com

UVCCM Moshi umeweka mambo hadharani ! Wananchi wazinduka!

Kijana Daudi Mrindoko awambia wananchi wasikubali Kudanganywa tena!

Moshi,Kilimanjaro,
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mjini Moshi ulifanya mkutano wa hadhara siku ya jumamosi 25 April 2015 katika viwanja vya maduka Mpangano-Kiusa Moshi Mjini.katika mkutano huo mmoja wa waliozungumza jukwaani ni mjumbe
wa UVCCM mkoa Kilimanjaro Bw.Daudi Mrindoko aka Obama wa Moshi kama wanavyomuita wenyewe,Mrindoko alitumia muda mchache tu katika hotuba yake
alianza kwa kuuliza kwa kuamsha watu kwa swali " NIni walichokifanya Chadema hapa? Kipi cha maendeleo? Chadema wamewafanyieni nini? hapa Moshi? Chadema waje hapa watueleze? wasilete blah blah" kijana huyo Daudi Mrindoko akishangiliwa kwa mayoe CCM hoyeee! inaonyesha jinsi ananyorusha
dongo au kuwatia ugoro puani na kuwapigisha chafya wapinzani mjini Moshi,ambako siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya wafuasi wa Chadema kujiunga CCM kwa kasi sana.
Mjumbe huyo wa UVCCM Bw.Daudi Mrindoko alimalizia hotuba yake kwa jiwe lingine la kusema "Mzee Akiwa Mwongo uzeeni Alivyokuwa mtoto alikuwaaje???"
akishangiliwa na wananchi CCM hoyee! CCM hoyeee!, na kuwasii watu wa Moshi mjini
wasikubali tena kudanganywa wala kukandwa kwa kufanyiwa masaji na mgongo wa chupa ,na wananchi wakiitikia kwa mayoe Uwongo sasa mwisho,CCM hoyee kijana Daudi Mrindoko anashuka jukwaani kwa kujiamini.wenyewe moshi wanasema
"Moshi kunafukuta Moto 2015"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment