Saturday 14 December 2013

[wanabidii] Serikali yaipongeza UCA-Tanzania kuwanyanyua wasanii chipukizi

Serikali yaipongeza UCA-Tanzania kuwanyanyua wasanii chipukizi

Codez:-

[caption id="attachment_41261" align="aligncenter" width="640"] Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Leah Kihimbi kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.[/caption]

[caption id="attachment_41263" align="aligncenter" width="640"] Mkurugenzi Mtendaji wa UCA-Tz, Emmanuel Mushy akizungumza na vijana kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufanya uzinduzi.[/caption]

[caption id="attachment_41252" align="aligncenter" width="640"] Baadhi ya wasanii chipukizi wa muziki na sanaa wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi pamoja na baadhi ya viongozi wa UCA-Tanzania.[/caption]

[caption id="attachment_41253" align="aligncenter" width="640"] Mmoja wa wasanii wa kuchora akionesha kipaji chake cha kuchora michoro anuai kwa jamii kwenye tamasha hilo[/caption]

Picha mbalimbali juu ni baadhi ya wasanii chipukizi wakionesha vipaji vyao kwenye tamasha hilo.

[caption id="attachment_41260" align="aligncenter" width="640"] Baadhi ya wasanii chipukizi wakimsikiliza mgeni rasmi kabla ya kuonesha vipaji vyao.[/caption]

Baadhi ya Wasanii chipukizi mbalimbali waliopata nafasi ya kuonesha vipaji vyao kwenye tamasha hilo.

Msanii anaoanza kufanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya Ally Nipishe akiwaunga mkono wasanii chipukizi katika tamasha hilo.

Msanii anaoanza kufanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya Ally Nipishe (kushoto) akiwaunga mkono wasanii chipukizi katika tamasha hilo pamoja na msanii kutoka nyumba ya vipaji THT.

Mmoja wa wasanii chipukizi akifanya vitu vyake jukwaani.

Na Mwandishi Wetu

KATIBU Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ameipongeza Asasi ya Ukuzaji Vipaji vya Sanaa na Muziki nchini (UCA-Tanzania) kwa wasanii chipukizi. Pongezi hizo zimetolewa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Leah Kihimbi kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.

Bi. Kihimbi alisema hayo alipokuwa akizinduwa tamasha la ukuzaji Vipaji vya Sanaa na Muziki kwa vijana lililoandaliwa na asasi ya UCA-Tz kwa lengo la kutoa nafasi kwa vijana wenye vipaji kuonesha vipaji vyao kwa jamii kila mwaka.

"...Nimeambiwa kuwa asasi hii imesajiliwa kwa lengo la kuwashirikisha na kuwaunganisha vijana wenye vipaji vya sanaa na muziki pamoja na waliokwishafanikiwa katika kuwezesha kukuza vipaji walivyonavyo," alisema Bi. Kihimbi akimuwakilisha Katibu Mkuu.

"Kimsingi hili ni jambo jema la kusaidiana na serikali katika kukuza vipaji na kuongeza viwango vya sanaa, ili kuwawezesha wasanii wetu kukabiliana kikamilifu katika ushindani wa soko la kimataifa," alisema.

"...Nawashauri vijana watumie fursa kama hii kila kila zinapopatikana katika kufanikisha malengo yao kupitia fani za sanaa. Kama sote tunavyofahamu kuwa sanaa ni ajira na inanafasi kubwa ya kubadili maisha ya watu na nchi kiuchumi na kifikra ni vema watu wakaondokana na dhana potofu kuwa sanaa si kazi ya maana na ni kwa wasiohitaji kujifunza," alisisitiza.

Aidha alitoa changamoto kwa badhi ya watu kuacha fikra finyu za kuichukulia sanaa kama si kazi kama ilivyo kazi nyingine, kwani mawazo hayo hayaitendei haki pamoja na kuzingatia umuhimi wa sanaa kwa jamii. "...Ninapata furaha kubwa kusikia kuwa tamasha hili litakuwa likifanyika kila mwaka. Ninakupongezeni sana kwa kubeba sura ya uzalendo unaolenga kuikuza, kuiendeleza na kuipa hadhi fani ya sanaa na muziki," aliongeza.

"...Ninatambua kuwa kazi hii kubwa na nzuri mnayoifanya ni utakelezaji wa sera ya utamaduni inayosisitiza na kusimamia maadili ya Mtanzania pamoja na kuzingatia mafunzo na elimu katika fani zetu. Tunafahamu kuwa utamaduni ni mali ya jamii, hivyo ni jukumu la wananchi wenyewe kuupenda, kuuthamini na kuuendeleza utamaduni wetu kwa kutumia kazi za sanaa."

Awali akizungumza kabla ya uzinduzi wa tamasha hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa UCA-Tz, Emmanuel Mushy aliishukuru Serikali kwa ushirikiano iliouonesha kufanikisha tamasha hilo na kutoa shukrani kwa makampuni ya Zantel, Coca Cola- Tanzania, Maezeki, LBGY Media na mtandao wa Thehabari.com kushiriki kuwasaidia vijana wasiosikika kusikika.

Zaidi ya wasanii 25 chipukizi walipata nafasi kwenye tamasha hilo ya kuonesha uwezo wao kwa jamii wakiwemo baadhi ya wasanii chipukizi wanaoanza kunufaika na kazi zao kama Menina, M Rap na Ally Nipishe.

Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment