Saturday 14 December 2013

Re: [wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

Hayo yote na kwa tafsiri za kila mmoja anavyoona ndio tumpime na kuona wanatofautianaje na mwenzake.
lakini mjerumani alitimuliwa kwa sababu alitaka tanganyika huru isiwe na uhusiano wa kibalozi na ujerumani ya mashariki. nyerere hakuona kama tutakuwa huru kwa kuchaguliwa marafiki. ukiona ni hasi sawa mimi kwangu n aona ni jambo chanya.
Joun Okero aliyesaidia wazanzibari kuuondoa usultani alisema '..... it is good to die a grorious death than live a shamefull life'.

From: "hosea.ndaki@gmail.com" <hosea.ndaki@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, December 14, 2013 10:51 PM
Subject: Re: [wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

Muhingo,
naongezea wakati wa mwalimu wababe wa vita kama m7, kagame, buyoya, kabila, john garang, samora waliibuka.

Hivi unajua athari za kumfukuza mjerumani na israel? Je huyo tulokuwa tunamtetea katusaidia nini? Kumbuka majenerali tulionao sasa walikuwa trained esrael.

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, December 14, 2013 10:20:10 AM GMT-0800
Subject: Re: [wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

Wakati najiuliza Bahati ana maana gani kusema Zimbabwe ni huru kuliko mataifa yote Africa, nakubaliana naye katika kusema Nyerere aliupigania uhuru wa mataifa mengi na Mandela aliipigania uhuru wa Africa Kusini.
Nimekuwa nikijiuliza namna bora ya kuwapima Nyerere na Mandela nikafikia mahala nikawaza kuwa labda inategemea hisia za mtu na nani anasema nini.
Ukiona msururu wa viongozi wa mataifa waliokusanyika SA kutokana na kifo cha Mandela utafikiri kuwa mandela ni maarufu kuliko Nyerere. Lakini ukianza kuyahorodhesha matendo ya Nyerere unajiuliza uwapimeje.
Nyerere:
1. Aliwaongoza watanzania kupigania uhuru bila kumwaga damu na ilichukua muda mfupi kuupata.
2. Alijitolea kutumia raslimali za Tanzania kuyakomboa mataifa yaliyoizunguka Tanzania.
3. Aliweza kwa mafanikio kushirikiana na Karume kuunda muungano wa Mataifa mawili na akaweza kuliongoza taifa hili kutengeneza muungano wa kipekee Afrika.
4. Ni mmoja kati ya viongozi walioweza kutoka madarakani licha ya uwezekano wa kuweza kug'ang'ania madarakani Wa kwanza alikuwa Leopord Sengoo wa Senegal).
5. Aliongoza tume ya South-South Commission na kama ripoti yake ingefanyowa kazi ukweli mataifa yetu yangeweza kuendelea na kuheshimiwa.
6. Katika umri tete wa Taifa la Tanganyika/Tanzania aliwagomea wajerumani na waIngereza kiasi cha kuwaamuru mabalozi wa nchi hizo kuondoka.
7. Ongeza mengine.
 
Mandela:
1. Alifungwa Gerezani na kukataa msamaha wa makaburu ulioambatana na masharti yanayopingana na dhamira yake.
2. Alipoupata uongozi wa taifa lake hakulazimisha kuendelea kuwa kiongozi ila aliongoza kipindi kimoja.
3. Aliwaongoza waAfrika ya Kusini kusameheana na kuponyesha makovu ya ubaguzi wa Afrika ya Kusini uliokuwa na makovu makubwa sana.
4. Aliweza kuumaliza mgogoro wa Burundi kwa kipindi kifupi-(Hapa kuna mawili, Njia aliyotumia ilitofautiana na ya mtangulizi wake kwa sababu wakati Nyerere alitaka makubaliano ya pande zote Mandela aliwabambikiza makubaliano.
5. Ongeza mengine.
 
Nafikiri tukipitia utaratibu huu basi uamuzi wa kuwapima utakuwa sahihi.
Tukipitia hisia za waombolezaji unaweza kufikiri kuwa Kanumba alikuwa maarufu kuliko Mvungi maana rambi rambi za Serikali kwa Kanumba zilikuwa mamilioni ya hela wakati kwa kanumba sikumbuki zilikuwa ngapi ila ni kiduchu. Umaarufu wa wawili hao ukiangaliwa kwa vigezo hivyo si sahihi. (Huu ni mfano hai ila ni mfano tu naomba usitumiwe kubadili mjadala.
Elisa

________________________________
From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, December 14, 2013 8:21 PM
Subject: Re: [wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

Duh..
On Dec 14, 2013 4:54 PM, "richard bahati" <ribahati@gmail.com> wrote:

Nchi pekee ya Africa ambayo ina uhuru wa ukweli ni Zimbabwe tu. Baada ya miaka 5 au 10 ijayo, Zimbabwe itakuwa nchi tajiri kuliko zote Duniani. Zimbabwe ndoyo nchi pekee Afrika inayomiliki ardhi yake kwa asilimia 100. Nyerere was greater than Mandela. Far greater. Nyerere fought for Africa not for Tanzania alone. Mandela gave South Africans only a political freedom in the hope that they would fight for their economical freedom which they have greatly failed. I predict turmoil in S.A now because people have lost hopes of what they have struggled for such a long time. Making Mandela bigger than himself is just another media fallacy to blackmail Africans to forget their original course of struggle.  Until Africans own the major means of production/land... "not yet uhuru"
>
>
>
>
>On Sat, Dec 14, 2013 at 6:03 PM, <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
>
>Kleinson, mandela pamoja na kukaa jela miaka 23 alikaa ikulu miaka mitano tu na uchumi wa sa uliimarika zaidi, wakwetu sijui alipigania uhuru muda gani lakini isingelikuwa kutaitiwa na world bank angefia ikulu, achilia kukoroga uchumi na kukebehi wazungu. Mie naamini jk angekaa miaka mitano na kumwachia paul bomani bob makani na amil jamal tungekuwa mbali mno.
>>
>>
>> ----------
>>Sent from my Nokia phone
>>
>>------Original message------
>>
>>From: <dekleinson@gmail.com>
>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>Date: Saturday, December 14, 2013 6:25:57 AM GMT+0000
>>Subject: Re: [wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?
>>
>>On my side,
>>Nyerere deserve much respect than Madiba. Mwalimu alijishirikisha katika asilimia kubwa ya harakati za ukombozi wa bara hili! May be Madiba anaheshimika kwa sababu alijitoa sana kwa SA!
>>
>>Ukifanya analysis ya kazi za hawa watu 2 utagundua ya Mandela ili-cover sehem ndogo ila nzito kwa kikundi kidogo cha watu, hali ya Mwalimu ilikuwa na coverage kubwa ila kibinafsi haikumsumbua to that extent.
>>
>>Tukizungumzia ukombozi wa Africa then Mwalimu anastahili kushushiwa bendera!!! Leo wa-Africa tukiamua kuwaenzi legends wetu am sure jina la Nyerere litakuwa juu ya Madiba! Tena sijui tunasubiri nini??
>>Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--

0 comments:

Post a Comment