Saturday 14 December 2013

Re: [wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

Kleinson, mandela pamoja na kukaa jela miaka 23 alikaa ikulu miaka mitano tu na uchumi wa sa uliimarika zaidi, wakwetu sijui alipigania uhuru muda gani lakini isingelikuwa kutaitiwa na world bank angefia ikulu, achilia kukoroga uchumi na kukebehi wazungu. Mie naamini jk angekaa miaka mitano na kumwachia paul bomani bob makani na amil jamal tungekuwa mbali mno.

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: <dekleinson@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, December 14, 2013 6:25:57 AM GMT+0000
Subject: Re: [wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

On my side,
Nyerere deserve much respect than Madiba. Mwalimu alijishirikisha katika asilimia kubwa ya harakati za ukombozi wa bara hili! May be Madiba anaheshimika kwa sababu alijitoa sana kwa SA!

Ukifanya analysis ya kazi za hawa watu 2 utagundua ya Mandela ili-cover sehem ndogo ila nzito kwa kikundi kidogo cha watu, hali ya Mwalimu ilikuwa na coverage kubwa ila kibinafsi haikumsumbua to that extent.

Tukizungumzia ukombozi wa Africa then Mwalimu anastahili kushushiwa bendera!!! Leo wa-Africa tukiamua kuwaenzi legends wetu am sure jina la Nyerere litakuwa juu ya Madiba! Tena sijui tunasubiri nini??
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment