Saturday 14 December 2013

Re: [wanabidii] Mhe Edward Lowassa anusurika kwenye ajali ya ndege

Wawe mfano kama Mandela. Waone umri umefika wajitoe ktk kugombania uongozi ndio watapata heshima kama Mandela. lakini viongozi wetu weengi wanataka mpaka waingie kaburini ndio waache kwa gharama zote zile mtu atausaka ukubwa mpaka kupanda viringe vya mizimu si vya ukoo wake. Wengine kubadili mpaka katiba kila anapotaka kuongeza miaka ya kuendelea au kuingia msituni kuanzisha vita. Afrika daima vurugu katika kuwania madaraka; mtu kuhama chama hiki aende kile mradi tu apate cheo au madaraka sio kwamba anaipenda nchi yake kiukweli. Kama anaipenda, mbona akifika huko anachukua posho ya safari haendi, posho ya kutwa vikao haudhurii bunge viti vyeupe havina wahusika wa kuwepo kikaoni-posho wameandikisha jina. Akisifika ufisadi-akirudi jimboni tunampokea kwa vifijo na KURA tunampigia. Halafu akitamka neno tu-tunamsifia na hasa akitoa mipesa ndio balaa tunasahau yote. Na hivi ndivyo tukusavyo hata akidodoka kwa baiskeli magazeti yatajaa. Kwani ni mara ya kwanza ndege kupata pancha? Mbona ni mara nyingi sana mpaka hata za jeshi zinapata pancha. Roho moja ni bora kuliko roho milioni? Mitandao nayo na hata semina za jamii bongoland wakati mwingine hutumika kiaina.

On Sunday, 15 December 2013, 2:58, kilao rajabu <kilao1@yahoo.com> wrote:
Ni yeye pekee alikuwa abilia katika ndege hiyo?

Regard,
Rajabu Khamis Kilao
P.o. Box 9102 Dar es Salaam
+255 718 265 427
+255 755 149 247

On Saturday, December 14, 2013 11:24 PM, Deodatus Balile <deobalile@yahoo.com> wrote:
Pole Mhe Lowassa
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Jesse Kwayu <jessekwayu@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 14 Dec 2013 16:45:30 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Mhe Edward Lowassa anusurika kwenye ajali ya ndege

Dunia ina mambo! Kuwa wstu wskitajiwa jina la Edward Lowassa wanaweweseka. Kulikoni?
On 13 Dec 2013 16:25, "embegu" <embegu@hotmail.com> wrote:
Je, alikuwa peke yake kwenye ndege hiyo?

Sent from Samsung tablet

-------- Original message --------
From: Yona Maro
Date:13/12/2013 22:28 (GMT+07:00)
To: wanabidii
Subject: [wanabidii] Mhe Edward Lowassa anusurika kwenye ajali ya ndege

Taarifa zinasema waziri mkuu wa zamani mhe Edward Lowassa amenusurika kwenye ajali ya ndege ya shirika la ndege la  Precision Air iliyotokea Arusha .

Ndege hiyo ilipasuka matairi yake yote .

--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment