Tuesday 24 December 2013

Re: [wanabidii] MARUFUKU YA KUPIGA PICHA KWENYE MAJENGO

Mwema hivi Google Map nani anaizuia

On Dec 24, 2013 7:35 PM, "Mwema Felix" <mwema.felix@gmail.com> wrote:
Yona, yaani siku hizi tunakatazwa tusipige picha kwenye majengo? Nilidhani ni nje ya benki kuu tu au sehemu nyeti kama benki, jeshini n.k.

2013/12/24 Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu zangu ,

Leo nimeshuhudia ushujaa wa askari wa kulinda usalama katika hoteli ya blue peal ubungo ikitekeleza wajibu wake ipasavyo .

Kulikuwa na vijana wawili wanapigana picha mara wakatoka nje wakaingia ndani na kuendelea kupigana picha haswa kwenye maeneo ya maduka ya vitu mbalimbali .
Askari mmoja wa hoteli ya Blue peal alifika pale akaanza kuwahoji , si unajua vijana wetu na lugha zao ? akamkaba mmoja akaondoka nae pamoja na kifaa chake cha kupigia picha .

Mie nikafuatilia kwa nyuma kuona wanaishia wapi , mule ndani wakakabidhiwa kwa maofisa usalama wengine ili waweze kuhojiwa zaidi kuhusu hizo picha walizokuwa wanapiga na pingu wakapigwa kabisa .

Wakati huu wa sikukuu na nyakati nyingine wazazi na watu wengi ambao hawana malengo mabaya na usalama wan chi wawe wanawaeleza watoto na ndugu zao wengine kuhusu upigaji picha kwenye majengo .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment