Sunday 15 December 2013

Re: [wanabidii] Hongera Rais Jakaya Kikwete kwa hotuba nzuri mazishi ya Mandela

Nakubaliana na ulivyosema. Dr. Kwamba ni vizuri wana Africa kusini na Dunia kwa ujumla kutambua mchango wa Tanzania ktk ukombozi. Hotuba ya Jk imetolewa wakati muafaka , hatuna budi kumpongeza......

Sent from Samsung mobile

Dr Peter D Kafumu <kafumu@yahoo.com> wrote:
Waungwana
 
Pamoja na vijana wa siku hizi na hasa humu ndani ya mabadiliko kujifunza kupinga na kubeza kila kitu lakini ukweli utabaki Mwalimu Nyerere alifanya mengi na makubwa katika ukombozi wa bara la Afrika, ukuu na uzuri wa Mwalimu kama kiongozi maalum wa bara la Afrika tuliyepewa bure na Mweye Enzi Mungu hautofautiani sana na wa Mandela.
 
Mnaobeza na kumbeza Mwalimu Nyerere mnanishangaza na pengine mnwashangaza na wengine. Simulizi la Rais Kikwete juu ya safari ya Mzee madiba kutafuta washirika wa ukombozi ni historia ya kweli na ni lazima raia wa dunia na hasa wa-Afrika ya Kusini waifahamu na watambue uzuri na umuhimu wa Taifa la Tanzania katik historia yao. Chini ya Baba wa taifa mwalimu Nyerere, Watanzania na taifa la Tnzania waliwapenda majirani zao wanavyojipenda. Mzee Kaunda alisema kwa uchungu na juu ya Amri Kuu ya Mungu ya upendo kwa jirani. Mzee Kaunda akamkubuka rafiki yake Mwalimu walivyosaidia kulikomboa Bara la Afrika kwa pamoja.
 
Maneno yake ya mwisho mzee Kaunda anasisitiza umuhimu ya yale aliyofanya Julius Nyerere kwetu sote; anasema:
 
"........Mama Maria thank you for coming to join us here, you and your husband, this was very important for Tanzania. This young President here comes out of your work; continue to support him and you continue to support all of us; with his activities. May God, God Almighty continue to bless him and all others like him who have come to know the importance of what Julius Nyerere did for us all. Fare Thee Well; Amen.........."
 
Ngw'izukulushilinde

From: John George <georgejn2000@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, December 15, 2013 9:50 PM
Subject: Re: [wanabidii] Hongera Rais Jakaya Kikwete kwa hotuba nzuri mazishi ya Mandela

Kikwetu ametoa simulizi ya kweli katika hotuba yake nzuri leo Afrika kusini. Tuendelee kujifunza namna ya kuleta mabadiliko kama viongozi wetu hawa wa zamani. 

Ni vizuri kujifunza kutambua mema wanayotenda wengine na kupongeza, badala ya kukosoa kila jambo. Bado sijaona umuhimu wa kubeza alichosema JMK kuhusu JKN na Mandela enzi hizo za kupinga ubaguzi wa rangi AK

On Sun, Dec 15, 2013 at 6:36 PM, Fakhi Karume <http://us-mg6.mail.yahoo.com/neo/> wrote:

On Sun, Dec 15, 2013 at 6:22 PM, Bariki Mwasaga <http://us-mg6.mail.yahoo.com/neo/> wrote:
Kaka Nico hujanisoma mkuu wangu
On Dec 15, 2013 6:06 PM, "Nicomedes Kajungu" <http://us-mg6.mail.yahoo.com/neo/> wrote:
Bariki

 Kwahiyo kusimulia namna Madiba alivyofika Dar, mvua ikanyesha, watu wakaendelea kukomaa kando ya barabara kumlaki shujaa, kuacha buti zake n.k sio simulizi za kweli?

Nafikiri tuishie hapa maana sipendi kuonekana nakuwa mbishi.

_________________________________________________
Nicomedes M. Kajungu
General Secretary
National Union of  Mines and Energy Workers  of Tanzania.
(NUMET)
P.O.Box 7733, Mwanza.
 +255 782 315 688+255 767 48 32 71,      +255 719 451 850
Skype add: nkajungu

On 15 December 2013 17:47, <http://us-mg6.mail.yahoo.com/neo/> wrote:
Kaka Bariki,
Nothing less demanded.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

--
Send Emails to http://us-mg6.mail.yahoo.com/neo/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
http://us-mg6.mail.yahoo.com/neo/  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to http://us-mg6.mail.yahoo.com/neo/.
For more options, visit http://us-mg6.mail.yahoo.com/neo/.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment