Friday 13 December 2013

Re: [wanabidii] Dk.Magufuli amng'oa Pinda

Kichwa cha habari kinaogopesha. Inakuwa kama magazeti ya udaki mtandao wa wasomi. Yaliyoelezwa ndani tofauti na kichwa cha habari. Nchi hii ni ngumu. Hata viongozi wa juu wakibadilika, bila ya kila mmoja wetu kubadilika kiakili, kimawazo, kimatendo-hakutakuwa na mafanikio ya aina yoyote bila ya kila mtendaji mpaka kaya kutokubadilika. Tutajaa majukwaani kuwapokea na kuwasifu viongozi tukitegemea ajira zitazuka-hazitozuka. Ni kujituma ktk kazi za kutumia raslimali kwa juhudi zetu za pamoja. Aondoke Pinda aje Migiro-bila ya kupata support kwa watendaji juu hadi chini-hakuna mabadiliko. Fikiria unasoma ktk gazeti mama mzazi (mke) amemfuma baba anambaka bintiye mara 2 akamsae kisha akaendelea na mama kumuacha mtoto na baba akaenda kwao lakini hakuna hatua yoyote mpaka jirani wanachuka hatua. Ukoo uekaa kimya. Fikiria kesi ya ardhi mshitakiwa hafiki mahakamani eti anaumwa yupo wakili wake lakini amenunua shamba la mtu kiwizi. Mwenye aliye na hati rasmi za shamba anatoa vidhibiti hashindi kesi anashinda kibaka wa shamba. Hakimu ndiye anakagua shamba lilioliwa na mifugo hataki Bwana kilimo akague. Mwenye nyumba jirani anatiririsha maji yanayopita mbele ya biashara yako, ukimlalamikia-anatoka na pistol. Ukienda kituo jirani opposite mlipo-polisi wanashindwa kumchukulia hatua, uende kituo cha juu zaidi wao wanamuogopa. Diwani, Mbunge wanalinda wanaojaza mifugo ndani ya msitu maji unaotegemewa nao wanajua kabisa ubaya wa tendo hilo na ni wananchi wa vijiji hivyo na ni wa kabila ya wananchi wanaoteseka na mifugo ya kutoka mbali kuharibu msitu maji na mazingira ila wanaangalia ulaji wao tu. Leo wapige kelele kuwa-Waziri Mzigo. wao wanachukua hatua gani kuzuia maovu pale walipo na ni wazawa na viongozi wachaguliwa wa hapo. Badilisha Mh Pinda aje  huyu na yule-hakutokuwa na matokeo itakuja ile ya dictatorship ya sheria na kiboko ndio wabadilike au ufukuzaji kazini/kijijini na hawa watakuwa maadui zako na kukuwinda kutokana na uswahili wa visasi ulivyokuwa ndio culture iliyojengeka kwa sasa inayozuia wananchi hata grassroots level kuchukua hatua husika.

On Thursday, 12 December 2013, 12:36, Nzweke Mussa <tugutunm@gmail.com> wrote:
Hello mabadiliko,
Tulisema habari tunazoleta humu ziwe za ukweli 100%. Ili tuwe tofauti na wengine, lakini naona watu kama wanaota ndoto na kuamua kuzileta humu.
Hebu sema na source ya habari zako ili tuweze kuziamini...!
Nzweke Mussa Tugutu
Area Sales Executive
Nyanza Bottling Co. Ltd
Custom road/Uganda rd
Box 1242
Bukoba, Tanzania.
Phone:+255282222155
Fax:      +255282222155
Cell:     +255754 894535
cell:      +255784 894535
Mail ID:tugutunm@yahoo.com
            tugutunm@gmail.com
twiter: Nzweke Mussa @Tugutu
On Dec 12, 2013 11:19 AM, "Jeremiah Kibwengo" <jerrykibwe@gmail.com> wrote:
Mobini Sarya, hebu tupe kitu chenye tija ambacho kina ukweli ndani yake.

2013/12/12 mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>
wanabidii

Hatmaye tanzania imefanikiwa kumpata, waziri mkuu mwanamke,baada ya Dk.Asha Migiro kuteuliwa kumrithi Pinda.

taarifa ambazo zimekariri chanzo kimoja zinasema Pinda aliomba mwenyewe apumzishwe hasa baada ya sakata la wenye malori kushindwa kupatiwa uvumbuzi na waziri wa ujenzi Dk.Magufuli.

baraza jipya la mawaziri linatarajiwa kuvunjwa na kuundwa baada ya siku kuu za mwisho wa Mwaka,

ewe msomaji itunze taarifa hadi itoke kuchapwa kwa sekritari na kusainiwa
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment