Monday 16 December 2013

Re: [wanabidii] Clement Mabina auwawa na wananchi wenye hasira , Mwanza

Mauaji haya yanatisha.
1) Kwanza jinsi yeye Mabina alivyokuwa jeuri na kumuua mtu asiye na hatia.
2) Pili wananchi walivyopitisha hukumu.
Tunastahili kukitafsiri kitendo hiki.
tafsiri yangu ni hii: wanachi walikosa sababu ya kumkamata mtu kama huyu kwa kutoamini nani au chombo gani kitamshughulikia. wakaamua kumalizana naye. Amevuna alichopanda palepale.
Tukitaka kusahihisha kosa hili hatuanzii kwa waliomuua Clement. Tutakuwa tunajidanganya.
hatunaye ili tumuulize hivyo tujiulize alijiamini kiasi gani kuiacha kesi mahakamani akaja kupanda miti? Ilikuwaje akaamua kuitoa bastola na kuua? Kulikuwa na tishio gani na aliaamuaje kuwa hii ya kuua mtu ndiyo itamsaidia.
kwa nini hakuongea maongezi ya kutaka suluhu na kuwaomba wamwachie ili kesi iliyo mahakamani iishe?
Shida ni kubwa zaidi ya marehemu hao wawili
 
From: Magora Hassan <magorah15@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, December 15, 2013 11:12 PM
Subject: Re: [wanabidii] Clement Mabina auwawa na wananchi wenye hasira , Mwanza

Hali hii inatusha
Rgrds
Magora
On Dec 15, 2013 6:35 PM, "Fakhi Karume" <fkarume@gmail.com> wrote:
Hii ni picha yake baada ya kufikishwa hospitali 

On Sun, Dec 15, 2013 at 6:07 PM, <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Tanzania sio car wala libya wauaji wasakwe wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake, tukiruhusu ushenzi huu sasa hivi amani itapotea, sinagogi lililojengwa kwa miaka mitatu tusiruhusu libomolewe kwa siku tatu.

 ----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Nzweke Mussa <tugutunm@gmail.com>
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, December 15, 2013 3:26:58 PM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] Tetesi - Clement Mabina auwawa na wananchi wenye hasira , Mwanza

Ni kweli ameuawa na wananchi wenye hasira kali kule kisesa- Magu, Mwanza.
Source: Breaking news ITV na Star Tv.

Nzweke Mussa Tugutu
Area Sales Executive
Nyanza Bottling Co. Ltd
Custom road/Uganda rd
Box 1242
Bukoba, Tanzania.
Phone:+255282222155
Fax:      +255282222155
Cell:     +255754 894535
cell:      +255784 894535
Mail ID:tugutunm@yahoo.com
            tugutunm@gmail.com
twiter: Nzweke Mussa @Tugutu
 On Dec 15, 2013 3:09 PM, "Vincent Mhangwa" <vmhangwa@gmail.com> wrote:

> Tuko pabaya sana inchi hii.
>
>
> On 15 December 2013 14:48, <dekleinson@gmail.com> wrote:
>
>> Nimeuliza mtu wa Mwanza anasema nae "anasikia" ni kweli ila sio KISEKE ni
>> KISESA ambako yeye (Mabina)ndio diwani wa huko!!
>> Mwenye ukweli atujuze zaidi!
>> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
>  --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment