Saturday 14 December 2013

Re: Re: [wanabidii] Mhe Edward Lowassa anusurika kwenye ajali ya ndege

Dada Hilda,
 
Unadhani nini kinaweza kufanyika ili kuwasaidia watanzania hawa waweze kuachana na tabia hii ya Undumakuwili. Kwa maelezo yako hapa chini , wakiendelea nayo inaweza kuzamisha taifa.
 
Pamoja na salaam za Jumapili.
 
Kunyaranyara, E.M.S.

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, 15 December 2013, 7:39
Subject: Re: Re: [wanabidii] Mhe Edward Lowassa anusurika kwenye ajali ya ndege

Muhigo fahamu watanzania walio wengi ni nduma kuwili. Ungewaona ktk kongamano la udawa kuhusu gesi-ungegundua. Waliwashangilia walioichamba GVT. Aliposimama waziri wa Madini Mh Muhongo na kutoa data kutumia powepoint na kugawa karatasi yake walimshangilia kufa na kikao kikaishia. Leo hii tuambie kama wewe tukikuchagua utatupa ajira-tutashangilia na kukupigia KURA. lakini hata ukipata uongozi-huwezi kugawa kazi kama maandazi utazitoa wapi. Mtu atapata ajira kulingana na usomi na ujuzi wake (waweza kusoma sana kuwa na vyeti vingi ujuzi huna, interview ukasindwa). Suala ni kujiajiri raslimali zipo, jiungeni, mjiandikishe, mtafute ardhi, mpate kibali. Ingieni kuomba mkopo muutumie ipasavyo; ingia ktk kufuga nyuki, kilimo cha mazao mbali mbali ulipo-hapana. Ukisema hivi kura hupati. Sema 'kuwapa ajira vijana na wanaohitaji ajira'. Utashangiliwa na utapata KURA ili Ule na hutoweza kuumba ajira uwape dezo la ajira. Ukisha kuonekana unagawa hela na kusema unatetea maslahi yao-utapata kutetewa hata kama wewe wanakulaumu mengi. Ni sisi tunaochomeana majumba kugombania ardhi na mipango matumizi ardhi na sheria ya ardhi tumepata mafunzo kutoka NGO za kisheria na kamati zake tumeunda. Ni sisi tunaochakachua mito na kulimbikiza mifugo, tunaouza ardhi hovyo na kuhamia kusiko faa. Mweleze mtu uwazi na jinsi ya kurekebisha tuondoke ktk umasikini-haimpendezi mbongo mara nyingi. Sema utatutetea sio tufanye kweli pale tulipo; utatupa hiki na kile-utawika.

Mwakyembe na Mangufuli wanataka ufanyekazi, usibabaishe na kama hukufanya unaondolewa-lazima utakuwa na maadui mengi.Tuliowengi bongoland ni kujipendekeza-Mzee! Mheshimiwa!-Unaangalia cheo na shibe kwanza. Hata ndani ya familia ukiwa mkali, mkosoaji, msema kweli-utachukiwa. Kipindi hiki cha maendeleo ya kujipendekeza kwa mtu/kiongozi, kusifusifu mtu upate kula/ajira kunatupeleka kubaya na udugu, urafiki na unafiki ktk ajira unaongezeka na waajiriwa wasio uwezo wanaongezeka. Tujiangalie. Utatupeleka Kusiko kuwa na watendaji waajiriwa wa kumbeba Mheshimiwa/Mzee Kiongozi na pia kuwa na viongozi wabovu.

On Saturday, 14 December 2013, 8:33, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Ni vigumu kuconclude kama kumtaja Lowasa huku ni kwa kuwa ni 'High profile figure' au ni sehemu ya 'kutembeza bidhaa' fulani. Kwa mambo yanavyoonekana it seems going close to 'too much' mara hotuba fupi.... Mara nini. Kuna watu wanafanya vitu vingi Tz. Hakuna anayediliki kuujadili ujasiri aliouonyesha Dr. Mwakyembe mathalan ktk kujadili uozo wa Lowasa akiwa bado WM. Ujasiri anaoendelea kuuonyesha ktk nafasi aliyo nayo. Ogopa mgao wa Capacity Charges. Utatupeleka kusiko.

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, December 14, 2013 7:08:47 AM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] Mhe Edward Lowassa anusurika kwenye ajali ya ndege

Yona yuko sahihi kwenye hili. Kufikiria kuwa Lowassa ni kama kila mtanzania
ni kujidanganya..................Lowassa kama walivyo high profile figures
wengine Tanzania ni tofauti na sisi kwa hiyo they command special attention

On Fri, Dec 13, 2013 at 11:50 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:

> Hahah sometimes its better to remain silent rather than commenting
> On Dec 13, 2013 8:10 PM, <dekleinson@gmail.com> wrote:
>
>> Acheni kuwatafutia watu umaarufu wa kijinga. Ingekuwa na shida gani kama
>> heading ingekuwa "ndege ya precission air yanusurika ajali" that mean mambo
>> ya Lowassa yangekuja kwenye content.
>> On the matter of LIFE everyone have the same degree of equality!!!
>> Shame on you guys! Ingetokea ajali tungesikitia abiria and not Lowassa
>> only! For what alichokifanya mpaka tuanze kupasua vichwa??
>> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>  --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Wasalaam,

Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.

*" Low aim, not failure, is a crime"*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment