Wednesday 16 October 2013

[wanabidii] UNAFIKI WA BUNGE LA TANZANIA

Mheshimiwa Spika,

Kamati Teule inapendekeza kwamba Serikali ichukue hatua za kinidhanu kwa Ndugu David Kitundu Jairo kwa matumizi mabaya ya madaraka, kukusanya na kutumia fedha za Umma. Vile vile Serikali ichukue hatua za kinidhamu, kwa mujibu, watumishi wote wa wizara ya nishati na madini waliotajwa kwenye taarifa hii kushiriki kwa namna mbalimbali katika mchakato wa uchangishaji na matumizi ya fedha hizi za umma.

Mheshimiwa Spika, naomba kutoa Hoja.

(Eng. Ramo Matala Makini, Mb)

Mwenyekiti

Kamati Teule ya Bunge

Novemba, 2011

Mwisho wa kunukuu.

Maswali yangu:

1. Je kustaafu kwa David Kitundu Jairo na Mh. Philemon Luhanjo ndizo hatua za kinidhamu zilizochukuliwa
?

2. Je baada ya kamati Teule kuwasilisha uchunguzi wake ni jukumu la nani hasa kufuatilia kuhakikisha hatua zinachukuliwa kama ilivyo ainisha?

3. Je bunge halioni kama kuna vaccum katika ufuatiliaji wa matokeo ya hizi tume na hivyo basi kuona haja ya kuunda au kuainisha nani hasa anapaswa kuchukua hatua kama ni DPP au mamraka ya uteuzi au vinginevyo?

0 comments:

Post a Comment