Tuesday 22 October 2013

[wanabidii] TAHADHARI YA UTAPELI KWA WATEJA WA BANK M TANZANIA LTD

Ndugu wateja wa Bank M Tanzania LTD

Kuna barua inayosambaa inayosambaa inayosemekana imetoka kwa BANK M TANZANIA kitengo cha huduma kwa wateja ikitaja wateja wa Benki hiyo kujaza fomu fulani .

BARUA YENYEWE NI HII HAPA CHINI - ILA UJUE BARUA HII SIO ORIJINO NA WANAOSAMBAZA UJUMBE HUO NI MATAPELI .

MIMI SIO MTEJA WA BANK M WALA MFANYAKAZI WAO NIMETOA TAHADHARI TU HABARI ZAIDI ZINAWEZA KUTOKA KWA BANK M WENYEWE 

Bank M Money Wireless Security Alert !9:40 AM (2 hours ago)
BANK M Online Banking

Dear Valued Customer,


You Have A New Message On Your Bank M Online Banking Account, We Have Added New Features On Your Bank M Online Banking Account To Enable Secure, Fast And Easy Transactions..

VIEW YOUR MESSAGE


Regards,
© 2013 Bank M Tanzania Ltd. All rights reserved

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment