Thursday 3 October 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Kufungiwa kwa Magazeti ya Mwananchi na Mtanzania: Tujifunze nini?

Mh.HK.
Ni kwanini unapoibuka unakuwa na mawazo "hasi"!?Hatutarajii mtu a
anayejinasibu kuwa anasomea PhD awe na mawazo kama yako.
Leo umekuja na slogan kuwa vision is the ability to see the
invisible...kweli Kigwa ability utaipata wapi kwenye invisible.
Kwanza nafikiri kama Mwambene anafanya kazi yake vizuri alitakiwa
akufunge wewe unayechochea wananchi na Mh.Mnyika.
Nashindwa kuelewa malengo yako ni yapi unaposhindwa kabisa
kutofautisha tusi na ukweli wakati huo unasema ni mwanafunzi wa PhD.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment