Thursday 24 October 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Award for US pepper-spray cop: Hii Kali Sana Kwetu

Vincent,

Hiyo basi ndio Marekani halisi. Uvamiwe nyumbani kwako usiku na pakacha/haramia, halafu nyumbani kwako ateleze kwenye madaraja avunjike mguu, atakushtaki mahakamani na utalipishwa gharama zake za matibabu.

Usipoyaona ya Tanga, utayaona ya Marekani !!!!!!!!

Courage




2013/10/24 Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>

Mjeshi mmoja huko Marekani aliyewapulizia maji ya pilipili waandamanaji amelipwa Dola 38000 kwa kusababishiwa matatizo ya kiakili.

Award for US pepper-spray cop http://www.bbc.co.uk/news/world-us-canada-24650954

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
KARIBU MABADILIKO MPYA: Jukwaa hii sasa linapatikana katika mwuonekano wa Kisasa: www.mabadiliko.com tafadhari tembelea na jisajili huko
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment