Wednesday 16 October 2013

[wanabidii] Msaada: Facebook yangu imeharibika nini sijui: Ka-ukurasa kamekuwa kadogo!

Ndg. Msaada unahitajika haraka sana kwa wale watundu wa IT.

FB page yangu imekuwaje sijui? Yaani kaukurasa kanaonesha vimaneno vidogo vidogo sana sijui kwa nini? Siwezi kuandika kitu hata kidogo na nasoma kwa shida.

Msaada wadau! Nini kimetokea na nawezaje kurekebisha.

Regards,
HK.

--
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment