Monday 21 October 2013

[wanabidii] Kutoka ukurasa wa Msigwa Fb

Achana na watu wanaotafuta sababu za kutofanikiwa ,acha kutumia misamiati Yao . Haiwezekani, ni ngumu, huwezi. Mara zote kwao visingizio vina nguvu kuliko ndoto zao. Kila wakati watakupa arodha ya kwa nini hawawezi kufaulu, badala ya orodha ya kwa nini wanaweza kufaulu, ni watu wanao laumu,JUA ,mvua, baridi, joto, upepo,matope,vumbi, wazazi,majirani,walimu nk.hawataki kuwajibika kwa yaliyotokea maishani mwao., Mara zote wanaotafuta kisingizio au mtu wa kumlaumu, narudia tena achana nao, wajibike kikamilfu juu ya maisha yako. Rev. Peter Msigwa

Sent from my iPad
Rev.Peter Msigwa - MP Iringa - urban Tanzania
Shadow Minster of natural resources Tourism & Environments
Cell+255754360996, home +255262720015, office +255262701958
aabctz@yahoo.com
mbungeiringamjini@gmail.com
mbungeiringamjini.blogspot.com
Po Box 2042 Iringa Tanzania .
Problems can not be solved by the same level of thinking that created them By Albert Einstein

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment