Thursday 3 October 2013

[wanabidii] Kampuni Ya Garmin Imeteua Car and General kama Mwenezi wa Afrika Mashariki - GPS solutions for Africa: Garmin appoints Car & General as Distributor for East Africa

If you cannot read that message, click here.

ENGLISH VERSION

 

PRESS RELEASE

 

Kampuni Ya Garmin Imeteua Car and General kama Mwenezi wa Afrika Mashariki

 

JOHANNESBURG, South-Africa, October 3, 2013/ -- Kampuni ya Garmin (http://www.garmin.co.za) inafurahia kutangaza uteuzi wa Car and General kama mwenezi wake wa Afrika Mashariki.  Kampuni ya Car and General imekuwa ikiendesha biashara zake katika eneo la Afrika Mashariki kwa muda mrefu huku ikiwa maarufu kwa uuzaji wa nembo kama vile Cummins, Briggs na Stratton, TVS, LML, Champion, Piaggio, Suzuki, Mariner, Electrolux, Ferodo, Ingersoll Rand na Eutectic Castolin katika himaya  11 za  Afrika Mashariki, ambazoni Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Uhabeshi, Eritrea, Jibuti, Ushelisheli, Somalia na Sudan Kusini. Car and General waliteuliwa kwa msingi wa ustadi wao wa kutoa usaidizi wa ubora ambao wateja wa Gamin wamekuwa wakifaidika nao kote ulimwenguni.

 

Logo: http://www.photos.apo-opa.com/plog-content/images/apo/logos/garmin-logo.jpg

 

“Tunafurahia sana kutangaza uhusiano huu na tunakaribisha Car and General katika familia ya Garmin”, alisema Walter Mech, Meneja Mkuu wa Gamin katika eneo la Afrika Kusini mwa Sahara. “Uhusiano huu utaimarisha uwepo wa Gamin katikia eneo hili linalokuwa kwa haraka na tuna matumaini ya kufanya kazi kwa karibu na washirika na  wateja wetu katika eneo la Afrika Mshariki.

 

Tangu kuanzishwa kwake mwaka wa 1989, Garmin imeweza kuuza vifaa vinavyotumia GPS zaidi ya milioni 100 - hii ni zaidi ya kampuni zote zinazojihusisha na uuzaji wa mitambo ya kuashiria dira. Kampuni ya Gamin ndiyo inayoongoza duniani katika utaalamu wa kuashiria dira kwa kutumia setilaiti, kwa uvumbuzi wa vyombo hivi, Garmin imeweza kuwa katika ulingo wa mbele katika masoko yote inayojihusisha nayo kama vile usafiri kwa magari na rununu, usafiri angani, usafiri baharini, michezo na burudani za nje.

 

Suluhisho la GPS Afika Mashariki linajumuisha vifaa vya mkononi vinavyotumiwa nje ambavyo vimetengenezwa kutumika katika ukulima, uchimbaji madini, uchoraji wa ramani, uvuvi wa kudumu, uhifadhi wa wanyama pori na nyinginezo. Vifaa vyote vya Garmin vinavyotumiwa nje vina mitambo ya GPS yenye uwezo mkubwa wa unasaji na pia uwezo wa kuweka alama za njia. Garmin ina MKD (Mtambo wa kuashiria dira) sahihi kwa soko hili kwani itawasaidia wateja kuweka mipaka ya mashamba yao, kupanda na kuvuna mazao, kuweka alama katika sehemu bora zaidi za uvuvi au hata kuitumia kama kifaa cha kujilinda dhidi ya uwindaji haramu.

 

Garmin pia ina suluhisho la kuwezesha uendeshaji mzuri wa gari barabarani. Kifaa kijulikanacho kama Nuvi kina mtambo wa GPS ambayo iliyopakiwa  ramani za kisasa zenye zaidi ya kilometa 204,000 za kuangazia barabara nchini Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi. Nuvi ina uwezo wa kuonyesha dira na hata kutambua majina ya bararara.  Ikiwa na maelekezo ya kupinda na majina ya barabarani,  nuvi ina Alama Muhimu zaidi ya 45,000 zinazoashiria vituo vya kununua petroli vilivyo karibu zaidi, maduka na mikahawa inayopendwa zaidi na mashine za kutoa pesa zilizo karibu. Kifaa cha Bluetooth huwezesha watumiajii kuambatanisha rununu zao na nuvi ndani ya gari hivyo basi wanakuwa na uwezo wa kuendesha gari bila kushikilia kifaa chochote mkononi.

 

“Bila shaka ni ramani yenyewe itakayotiliwa mkazo zaidi Afrika Mashariki na jambo hili litasababisha kuwa na uhusiano baina ya nchi mbalimbali ili kuelewa mahitaji ya watumiaji. Usafiri kwa gari, Vifaa vya kutumiwa nje na pia Usafiri baharini ni mambo yenye umuhimu kulingana na jinsi muundo msingi unazidi kupanuka katika bara la Afrika”, kasema Mech. “Kuingia kwa Garmin Afrika Mashariki ni kwa minajili ya kuhakikisha kuwa, hata ukienda wapi, utakuwa na teknologia ya kisasa ya kusafiri mkononi mwako, hii ikiambatana na usaidizi wa ufundi wa hali ya juu zaidi na mpangilio mzuri wa waranti kwa wateja.”

 

Distributed by the African Press Organization on behalf of Garmin Southern Africa (PTY) Ltd.

 

 

Mwenezi: Gamin South Africa

Mawasiliano: Michelle Hohls

Simu: +27 11 251 9964

Barua pepe: michelle.hohls@garmin.com

 

Kwa maelezo ya ziadaya bidhaa mpya, vipengele, bei na upatikanaji wa huduma za Garmin Afrika ya Kusini (GSA), tafadhali wasiliana na Michelle au tembelea tovuti  http://www.garmin.co.za. Kwa maelezo ya ziada ya kinachojiri, burudani, matukio na picha, fuata GSA kwenye:

http://twitter.com/#!/GarminSA                 

http://www.facebook.com/#!/GarminSA

 

KUHUSU GARMIN

Kampuni ya Garmin (http://www.garmin.co.za),  inayoongoza katika usafiri  satelaiti imefaulu. kuunda vifaa vya usafirina mawasiliano ambavo vimeambatana na mahitaji na mienendo ya wateja tangu mwaka wa 1989. Bidhaa zenye nembo ya Garmin zinapatikana katika sekta kadhaa ikiwemo usafari kwa gari, usafari baharini, michezo, burudani za nje, usafiri angani na vifaa visivyotumia nyaya. Garmin South Africa (GSA) ni tawi la Garmin Ltd. (Nasdaq:GRMN). Kikundi hiki cha kampuni kimevumbua, kimetenegeneza na kuuza vifaa vya usafiri, habari na mawasiliano na pia programu tumizi za -nNyingi  ya vifaa hvi vina uwezo wa kutumia teknologia ya GPS. Wasiliana na GSA kwa huduma za moja kwa moja usizoweza kupata mahali pengine na usaidizi wa iufundi kwa kutumia nambari ya simu (011) 251 9999  ama tembelea  makao ma ya GSA huko Honeydew, Johannesburg, Kimbuilt Industrial Park, nambari 9 Barabara ya Zeiss , Laser Park.

 

Tahadhari kuhusu Taarifa za Matarajio

Taarifa hii inazungumzia matarajio ya kampuni ya Garmin Ltd. na biashara yake. Msingi wa taarifa hii ni matarajio ya usimamizi wa Garmin Ltd. Hivyo basi, matukio na hali inayotarajiwa ambayo imezungumziwa katika taarifa hii huenda isitokee na  huenda matokeo halisi yakawa tofauti kabisa kulingana na mambo fulani yanayojulikana au yasiyojulikana yanayoweza kuathiri Garmin, ikiwa ni pamoja na athari zilizoorodheshwa katika ripoti ya Mwaka katika Fomu 10-K ya mwaka ulioisha Desemba 31, 2011, iliyo andikishwa na Garmin katika Tume ya Ubadilishanaji wa Sarafu na Hisa (Nambari ya faili ya tume 0-31983). Nakala ya fomu hii ya 10-K inapatikana katika tovuti http://www.garmin.com/aboutGarmin/invRelations/finReports.html. Taarifa ya matarajio haiwezi kuhakikishwa.

Taarifa za matarajio ni za kuanzia tu tarehe ambayo zilitolewa na Germin haitekelezi jukumu lolote la kusasisha kwa uwazi au kuhakiki taarifa yoyote ya matarajio, iwe ni kwa sababu ya maelezo mapya, matukio ya baadaye, au vinginevyo.

 

SOURCE 

Garmin Southern Africa (Pty) Ltd

 

Safe Sender Instructions

 

UNSUBSCRIBE

 

 


If you cannot read that message, click here.

 

PRESS RELEASE

 

Garmin appoints Car & General as Distributor for East Africa

 

The GPS solutions for East Africa include outdoor handheld devices that offer the features and functionalities required in farming, mining, surveying, sustainable fishing, wildlife conservation and more

 

JOHANNESBURG, South-Africa, October 2, 2013/ -- Garmin Sub-Saharan Africa (http://www.garmin.co.za) is pleased to announce the appointment of Car & General as an East African distributor. Car & General have a long standing presence in the East Africa region, distributing brands such as Cummins, Briggs and Stratton, TVS, LML, Champion, Piaggio, Suzuki, Mariner, Electrolux, Ferodo, Ingersoll Rand and Eutectic Castolin, within 11 East Africa territories, namely Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Ethiopia, Eritrea, Djibouti, Seychelles, Somalia and South Sudan. Car & General were appointed as field specialists, who can provide the quality support Garmin clients have become accustomed to around the world.

 

Logo: http://www.photos.apo-opa.com/plog-content/images/apo/logos/garmin-logo.jpg

 

“We are pleased to announce this partnership and we welcome Car & General into the Garmin family,” said Walter Mech, Managing Director, Garmin Sub-Saharan Africa. “This partnership will strengthen Garmin’s presence in this rapidly growing region and we look forward to closely supporting our partners and customers in East Africa.”

 

Since its inception in 1989, Garmin has delivered over 100 million GPS enabled devices – far more than any other navigation provider. Garmin is the global leader in satellite navigation, having developed innovative products and established a leadership position in each of the markets it serves, including automotive and mobile, aviation, marine, fitness and sports, and outdoor recreation.

 

The GPS solutions for East Africa include outdoor handheld devices that offer the features and functionalities required in farming, mining, surveying, sustainable fishing, wildlife conservation and more. All Garmin Outdoor devices have highly sensitive built-in GPS receivers, with specially developed functions and planning tools to mark waypoints. Garmin has the right GPS Outdoor tool for this market that will assist customers in marking and laying out farm boundaries, planting and harvesting crops, recording the best fishing spots, or as a security tool for poaching.

 

Garmin also offers Automotive solutions for safe, reliable navigation for on the road. The nuvi device has a built-in GPS receiver, preloaded with up-to-date maps with over 204,000 kilometres of road coverage in Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi. With turn-by-turn directions and spoken street names, nuvi has over 45,000 Points Of Interest, to find the nearest petrol station, favourite shopping centre or restaurant, and closest cash machine. The Bluetooth feature allows consumers to pair their mobile phone with the nuvi device in the car, allowing them hands free communication while driving.

 

“The focus on East Africa will undoubtedly bring more emphasis onto the map itself and will allow for interaction at a country level to understand the user requirements. Automotive, Outdoor and Marine products have an important role as infrastructure in Africa expands.” States Mech.

 

Garmin’s extension into East Africa is essentially to create a situation that no matter where you go, you’ll have the latest navigational technology at your fingertips, coupled with a world-class support and warranty infrastructure for consumers”.

 

Distributed by the African Press Organization on behalf of Garmin Southern Africa (PTY) Ltd.

 

 

Contact: Michelle Hohls

Tel: +27 11 251 9964

Email: michelle.hohls@garmin.com

 

For additional information on new products, features, pricing and availability regarding Garmin Southern Africa’s (GSA) products and services please contact Michelle or visit http://www.garmin.co.za. For additional fresh info, what’s happening, fun events and pics to prove it, follow GSA on:

 

Twitter: http://twitter.com/#!/GarminSA 

                

Facebook: http://www.facebook.com/#!/GarminSA

 

ABOUT GARMIN:

 

Garmin (http://www.garmin.co.za), the global leader in satellite navigation has been successful in creating navigation and communication devices which embrace lifestyle needs and enrich the lives of customers’ since 1989. The brands innovative products span various areas of interest, including automotive, marine, fitness, outdoor recreation, and aviation and wireless applications. Garmin Southern Africa (GSA) is a member of Garmin Ltd. (Nasdaq:GRMN). This group of companies has designed, manufactured, marketed and sold navigation, communication and information devices and applications – most of which are enabled by GPS technology. Contact GSA for unmatched direct services and support on (011) 251 9999 or visit the GSA headquarters in Honeydew, Johannesburg, in the Kimbuilt Industrial Park at number 9 Zeiss Road, Laser Park.

 

Notice on Forward-Looking Statements:

 

This release includes forward-looking statements regarding Garmin Ltd. and its business. Such statements are based on management’s current expectations.  The forward-looking events and circumstances discussed in this release may not occur and actual results could differ materially as a result of known and unknown risk factors and uncertainties affecting Garmin, including, but not limited to, the risk factors listed in the Annual Report on Form 10-K for the year ended December 31, 2011, filed by Garmin with the Securities and Exchange Commission (Commission file number 0-31983).  A copy of such Form 10-K is available at http://www.garmin.com/aboutGarmin/invRelations/finReports.html.  No forward-looking statement can be guaranteed.  Forward-looking statements speak only as of the date on which they are made and Garmin undertakes no obligation to publicly update or revise any forward-looking statement, whether as a result of new information, future events, or otherwise.

 

SOURCE 

Garmin Southern Africa (Pty) Ltd

 

Safe Sender Instructions

 

UNSUBSCRIBE

 

 

0 comments:

Post a Comment