Friday 4 October 2013

[wanabidii] CUF NA NCCR MAGEUZI KUGOMEA MAANDAMBANO YA WAPINZANI

Maandamano ya tare 10/10/2013 yaliyopangwa na muungano wa vyama vya CUF, NCCR na CDM pale jangwani sasa yameingia mvutano wa ndani kwa ndani. Viongozi wa nccr na cuf wamesema haina haja ya maandamano siku hiyo, ni bora tuendelee kuitisha mikutano ya kuwaelimisha watz juu ya mapungufu ya rasimu ya katiba. pia wamesema maandamano yale aliyatangaza Mbowe peke yake pale jukwaani huku wao wakiwa wamekaa, wakati wana nyazifa sawa kwenye vyama vyao, "ilitakiwa tusimame wote pale mbele tukubaliane kuliko yeye kuhodhi mkutano" hayo ni moja ya maneno yaliyonaswa kwenye ikao vya siri. Kwa upande wa chadema wao wanasema maandamano yapo pale pale nchi nzma kwani wana watu wengi hata kama cuf na nccr hawatakuwepo.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment