Re:Re: [wanabidii] Rais Kikwete Asaini ama Asisaini...? Makala ya Ushauri Wangu kwa Mkuu wa Nchi.
Mh Rais amechenji life style kitambo hana mambo hayo ya majority ya akina kigwangwala nawenzake , "hata saini mswaada" na......... wawe na moyo wa uvumilivu!