Tuesday 22 October 2013

Re: [wanabidii] Zitto Kabwe ana tatizo kujiona maarufu, anahitaji kuombewa

Mimi Pia naona Brother Zitto na kamati yake wamechemka, wale ni watu wazima wenye akili timamu inakuwaje waje na hoja ya kujumuisha vyama vyote ikiwa wao wanajua wanakilenga chama gani? na kwanini washindwe kukitaja matokeo yake mfano CDM wanaonesha mbele ya media vithibitisho vyao kuwa huwa wanakaguliwa na kuwasilisha mahesabu hayo kwa msajili. Mi naona jambo hili wamelibeba kisiasa sana kuliko maslahi ya umma.

Kwanza mimi najiuliza tatizo ni kukaguliwa tu au kuna kingine?? kwa maana mimi najua vyama vinapokea ruzuku kulingana na uwakilishi wao bungeni yaani namna chama kinavyokua nauwakilishi mkubwa basi na ruzuku inakua kubwa. Sasa ikiwa vyama vinapokea ruzuku kama inavyostahili basi ukaguzi wa matumizi ya hiyo ruzuku si ishu sana kwani haina mchango wa moja kwa moja kwa Mtanzania.

Mfano:: je mwanachama wa CDM ananufaika vipi na ruzuku ya CCM? au mwanachama wa CCM ananufaika vipi na ruzuku ya CDM au CUF?

POAC wakomae na mashirika ya umma na taasisi nyingine ambazo zina madudu kibao yasiyoisha, huko ndiko tunakolia si kwenye vyama. Maana wapo watanzania ambao si washabiki wa vyama vya siasa je wanaguswaje moja kwa moja na ruzuku za vyama? maana haina return kwao wao wamekatwa tu kupitia kodi zao.

Mh Zitto ni kiongozi wa CDM, huyohuyo anakuja kwenye media anavisaga vyama vyote kuwa eti havijatekeleza mambo fulani sasa je huyo mtu anatuoneshaje dhana ya uongozi hapa??

Nimejaribu kidogo tu kutafakari, ila tuwe makini sana na hawa wanasiasa maana hututumia sisi kufanikisha mambo yao

On Saturday, October 19, 2013 1:57 AM, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
Zitto maarufu? Si swali maana iko wazi. Unajua bwana mzuri hoja yako ungeipeleka kwa watu wasiotaka kutafakari imejaa mshiko ila kwa hapa jukwaani najihakikishia na kujiamini kuwa haina mshiko.
Tueleze hiyo kauli kamwambia nani kwa majina na wasifu wao. Simjui sana Zitto katika maisha yake ya kawaida na pia sijawahi soma au sikia mahala kuwa ni mrukwa akili ungekuwa kwenye nafasi yake watu wakaja na hoja legevu za kukupunguza nguvu ya kuwabana kwa maovu yao wakasema bwana mzuri unatubana ili upate umaarufu ungekaa kinya tu? Ili uonekane unabusara. Hebu tuambie wapi amekosea kuonyesha kidole dhambi au wapi amedanganya umma
Bwana MZURI vipi kuhusu hili la we kujitafutia umaarufu kupitia mh. Zitto ukijua wazi kutonijibu sio option bora .
Karibu
On Oct 18, 2013 1:36 PM, "gilbert maganda" <glbmaganda@yahoo.com> wrote:
The rule law of anchors constitution, zitto kaongea sheria tupu ambayo ni kazi moja wapo ya hao wabunge yaani kutunga sheria! Fuateni sheria jameni bla bla ya nini, pangua hoja ya zitto kwa kuanika mahesabu yenu ili tujue nani kala nini!
Sent from Yahoo! Mail on Android
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment