Friday 18 October 2013

Re: [wanabidii] Zitto Kabwe ana tatizo kujiona maarufu, anahitaji kuombewa

Juma.Mzuri
I agree with you 100%

2013/10/18 Magora Hassan <magorah15@gmail.com>

Kimsingi Mr juma unadhihirisha kuwa wewe si mpingaji wa hoja bali  ni mtu uliojaa chuki binafsi dhidi ya zitto.umeenda mbali sana kulinganisha hotuba ya Dr slaa na sakata la mahesabu ya vyama vya siasa.umejuaje kama zitto hajapenda jinsi Dr slaa alivokubalika USA? Fahamu kuwa Dr Slaa na zitto ni askari wa jeshi moja wanaopigana kwa sections tofauti dhidi ya adui mmoja? .kama  hoja ni umaarufu basi hakuna  mwanasiasa ambae angependa kutojulikana kwa wananchi wake.isitoshe wewe sio msemaji wa watu wa kigoma kaskazini ambao walipiga kura ktk vipindi viwili tofauti na kumuona zitto anafaa kuwa mwakilishi wao.naomba kuwasilisha

Rgrds
Magora

On Oct 18, 2013 1:02 PM, "Juma Mzuri" <jumamzuri@gmail.com> wrote:
Zitto Kabwe katika sakata la ukaguzi na uwasilishaji wa fedha za Ruzuku kwa msajili wa vyama vya siasa nchini limeingia katika hatua nyingine kwa kuwa mkali kwamba kuambiwa anatafuta umaarufu, amesema yeye ni maarufu tayari na hakuna anayemzidi kwa umaarufu. "Suala la umaarufu sihitaji kwa kuwa tayari nimeshakuwa maarufu, hao wanaosema nina uhakika kabisa hakuna aliye maarufu kama mimi." Alisema Zitto.

Aliwataka kama anayemzidi umaarufu kati ya wanaozungumzia kutetea vyama vyao, ajitokeze waende wote shule ya msingi waulizwe wanafunzi nani kati yao wanayemfahamu.

Zitto anajiruhusu kubaki kijana asiyekomaa kwa busara na hekima
Kauli hiyo hapo juu si ya kiongozi mwenye kutumia werevu kwa dhana muhimu za busara na hekima, bali ni kulazimisha umaarufu. Nadhani mwenye kukujengea utetezi wa umaarufu wako ni wananchi badala ya mwenyewe kukazana kunadi watu wakubali kwamba ni maarufu. Umaarufu haina maana ya kujulikana kwa kuonekana au kupiga kelele nyingi na mengineyo. Hata vijijini na kwengineko kwingi wapo wengi wanaofahamika sana hata kwa watoto wadogo si kwa umaafuru ila kwa jambo fulani, mfano kichaa atajulikana kwa kila mmoja, je huo ni umaarufu?

Kuwashikisha adabu makatibu wakuu vya vyama
Kauli yake ni kuhakikisha kuwatishia vifungo kwa kuwashikisha adabu makatibu wakuu vyama vya siasa si dhana ya ustaarabu katika utendaji kazi kufanya utandaji kwa vitisho, pamoja na kazi yake nzuri anaweza kutazamwa kama mtu nayetafuta kwa nguvu umaarufu kupitia nafasi yake ya uenyekiti bungeni. Kuna namna ya kulichukulia jambo hili kwa busara katika kutekeleza sheria hiyo lakini si kwa mabavu yote haya na vitisho hapo Zitto anaonyesha hali halisi alivyo.
Soma Global publishers na magazeti ya leo

Zitto hatari akiwa mkuu wa nchi
Tabia aliyoonyesha Zitto iwapo awe kiongozi wa juu kuna kila dalili atakuwa na mfumo wa utawala wa kiimla yaana utawala wa kidikteta ni kuashiri kama mfumo wa kijeshi. Kwa jinsi anavyolichukulia jambo hili na kuwatisha viongozi wa vyama vya siasa na mbaya kabisa kutamka wazi bila aibu kwamba yeye ni maarufu na hakuna anayemzidi umaarufu kuliko hawa wanaotetea vyama vyao amechukulia jambo hili kama lake binafsi na kwa manafaa yake binafsi kujitafutia umaarufu. Kuwatisha kwamba atawatia kifungoni.

Jimboni kwake hatujasikia ya pekee katika utendaji
Zitto kabwe pengine anaonekana kama nilivyosema kwenye mada moja huko nyuma fundi mkubwa wa kuonyesha na kunyoosha kidole lakini utendaji hauwezi. Labda kama vyombo vya habari havishirikishwi au kuona anayofanya, lakini nimejaribu kufanya udadisi kupata anayofanya jimboni mwake sijafanikiwa kama itokeavyo kwa wabunge wengine mfano Filikunjombe anavyomwaga mavitus huko jimboni mwake. Zitto ni mpiga domo zaidi kuliko utendaji. Anapenda kujulikana kwa maneno kuliko utendaji.

Huyu ndiye anayetaka kugombea urais, tumechoka na umaarufu wa watu, hatuko tayari kuendelea kuleweshwa kwa maneno na nguvu kujitafutia umaarufu, na pengine hili la vyama vya siasa asipoangalia anaweza kuaibika maana baadhi wameshaanza kuanika vithibitisho vya uwasilishaji na bado amevimbisha mishipa kwa lipi?

Kuna kitu nyuma ya pazia
Pengine umaarufu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliopata huko ziarani Marekani linamwumiza hivyo anataka kutumia nafasi aliyo nayo kumshikisha adabu kwamba yeye ndiye maarufu zaidi?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment