Sunday 20 October 2013

Re: [wanabidii] Zitto anapigwa vita ndani ya CHADEMA na Mitandao ya Urais ndani ya CCM

Kwani shida  ni nini hasa ? Mtu  akiongea hoja  basi  inatakiwa ipingwe kwa  hoja  pia  na sio  filter kwani shida bado itaonekana wanayosema ni sahihi.nadhani hoja  yenye  mashiko ndo silaha nzuri  ya kupambana na uzushi

Rgrds
Magora

On Oct 20, 2013 12:30 PM, "Paul Lawala" <pasamila292000@gmail.com> wrote:
Mods
 
Hawa wanaingiaje,tengenezeni auto filter,wasioingia kwa majina halisi wasipate nafasi ya kuingia kwenye jukwaa

2013/10/19 mngonge <mngonge@gmail.com>
Huyo "Chadema mpya' ni wa kuogopa, ya nini kujificha?  yawezekana anatumiwa na wabaya wa Chadema. Zimekuwepo sentensi ambazo Zitto amekuwa akizitumia na kuleta hali ya sintofahamu kwa baadhi ya wanachama. Hili la kuvitaka vyama vya siasa kuleta hesabu za fedha ya ruzuku halina tatizo lolote, na hata kama asingekuwa kwenye kamati ya hesabu, bado anayo haki ya kikatiba kuhoji hesabu za fedha hiyo. Ni fedha ya wananchi lazima mchanuo wa matumizi ueleweke kama  taratibu zinavyoelekeza.

Kuna kipindi alitangaza kugombea urais kwa utaratibu ambao mimi sikumuelewa,  kugombea urais ni haki ya mwanachama lakini alikotangazia tukio hilo palihashiria mitego fulani fulani. Hadi watu tukamuona kama anatumiwa na wabaya wa CDM kama mamluki. Pili gazeti la mwanahalisi wakati wa uhai wake lilitujuza mawasiliano aliyokuwa akifanya Zitto na watu wa system wakati wa uchaguzi mkuu ambayo nayo yalikuwa na maswali mengi kuliko majibu.

Zitto ni kijana mchapa kazi na ni hodari lakini kuna vitu anavyofanya vinamtia madoa. Binadamu huwa tunajifunza kila kuchao namsihi Zitto ajiepushe na mitego ya wabaya wa CDM ili chama na wanachi kwa ujumla tuweze kumwani na ikibidi hapo baadaye tumkabidhi nafasi ya usukani wa nchi yetu. Vijana ni watu wazuri kwenye harakati za ukombozi wa taifa lakini wanatakiwa kujua kwamba si kazi rahisi kuanzisha chama kinachoweza kuleta upinzani mkubwa kwa serikali kama ilivyo Chadema. Wazee waanzilishi wamekwishapita mito na mabonde mengi sana hadi kukifikisha chama kilipo, si kitu chepesi kukiweka chama rehani kwa mtu ambaye hajajijengea imani ya kutosha. Kugombea wagombee lakini wafuate taratibu za vyama vyao ikiwemo kuyakubali mawazo ya wengine na kukubali kushindwa pale ambapo kura zitakataa.

2013/10/19 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
Propaganda at its best!

2013/10/18 CHADEMA Mpya <chademampya2014@gmail.com>

Tangu Zitto atoe agizo la vyama vya siasa kukaguliwa kwa niaba ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali kumezuka malumbano mbalimbali dhidi ya Zitto (Personal Attack) badala ya Kamati kwa ujumla toka kwa watu mbalimbali lakini zaidi sana toka CHADEMA na CCM.

Kwa mtazamo wangu ndani ya CCM na CHADEMA wanaomshambulia Zitto wanafanya makusudi na kwa malengo ya kisiasa. Wanataka watu waone agizo lile ni la Zitto na sio la Kamati ya Bunge na kwamba Zitto ana agenda binafsi jambo ambalo sio kweli na ni Propaganda tu.

Ndani ya CHADEMA kuna watu wanataka kumfitinisha Zitto na WanaCHADEMA kwa malengo binafsi lakini hasa hasa ni ya Uchaguzi ndani ya Chama chao. Wanataka WanaCHADEMA waamini kuwa Zitto anataka kuzuia ruzuku ili wapate shida na washindwe kufanya kazi za Chama na wale wa Makao Makuu wakose mishahara yao ya kila mwezi. Wanajua na wanaamini kwa kufanya hivyo watu wao ndani ya Chama watamchukia Zitto na ukija uchaguzi Zitto hatapata Uenyekiti (Maana anautaka na yuko very serious wakati huu kuliko wakati mwingine wowote). Lakini Zitto alishasema hadharani kuwa yeye hana wasiwasi na hesabu za CHADEMA maana ziko safi anataka kuwabana CCM.

Ndani ya CCM kuna mitandao ya Urais ambayo kila uchao inahangaika kuingiza fitina ndani ya CHADEMA ili viongozi wagombane Chama kisambaratike ili wao wapite kwa urahisi. Wanajua hata kama watapitishwa na CCM wakati CHADEMA ikiwa bado ni imara hawatafanikiwa kuingia Ikulu. Inasemekana mitandao hiyo ya Urais ndani ya CCM ndio ambayo pia imekuwa ikilipua mabomu kwenye mikutano ya CHADEMA kwa kuloby Ma OCD na Ma RPC ili watu wafe kwenye mikutano ya CHADEMA watu waiogope CHADEMA kabla ya 2015. Kwa hiyo Mitandao hii ya CCM inachokifanya ni kuchochea fitina na Migogoro ndani ya CHADEMA kwa kumgombanisha Zitto na Viongozi wenzake na WanaCHADEMA pia kwa njia ya Propaganda ila kwa sababu CHADEMA nako Zitto ana maadui basi wanaungana na hawa wa CCM kumshambulia Zitto. Zitto stand on Issues and Truth Time will solve everything.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment