Wednesday 9 October 2013

Re: [wanabidii] WATUHUMIWA WA UGAIDI WAKAMATWA MTWARA

jamani tusiwe tunachanganya mabo kufanya mazoezi kama
judo,Taekwondo,Karate na mingineyo inayofanana na hiyo si ugaidi,
michezo hiyo imeanza kuchezwa tokea utawala wa awamu ya kwanza,
michezo siyo Football, netball, baskeb, boxer, tenis au kuluka kamba
pekee yake.

Tatizo wengi wana mawazo negative, mbona ukombozi kanisani manzese
wamekuwa wanacheza hiyo shootkane karate kwa zaidi ya miaka 15 sasa na
watu hawapigi kelele, zipo sehemu nyingi tu, Kama internatuional
nyiongio hapa dsm zinafundisha micvhezo hiyo, tena hata udsm watu
wanajifunza karate .

Tusiwanyime vijana fursa ya kucheza michezo ambayo wanaipenda kwa
kuwahukumu kuwa ni michezo ya kigadi, imradi wasiwe wanavunje sheria
za nchi tu.

Binafsi nina imani kubwa na vyombo vyetu vya dola kuwa vipo makini ni
vinajua kila kinachoendelea sehemu za mikusanyiko kama hiyo ambayo
watoto au watu wazima hufanya mazoezi,

On 10/9/13, LINGONET Lindi <lingonetlindi@yahoo.co.uk> wrote:
> mmmh siku moja utajulikana uzushi na ukweli,ugaidi...Chadema .ugaidi,masasi
> ugaidi.judo ugaidi CD ugaidi............
> --------------------------------------------
> On Tue, 8/10/13, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] WATUHUMIWA WA UGAIDI WAKAMATWA MTWARA
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, 8 October, 2013, 11:02
>
> Naanza kushangaa mambo fulani.
> Viongozi wetu wametuasa waTanzania kutoa taarifa za tetesi
> za mambo yanayotiliwa mashaka kama tahadhari ya kujikinga na
> ugaidi.
> Kuna
> jambo sasa limekuwa la kawaida mjini Bukoba na mtu akijidai
> kulishangaa NITAMSHANGAA.
> Kuwa
> shule moja huko Nshambya inayoendeshwa na dini fulani
> inafundisha magaidi. Kuwa wanafunzi pale wanafanya mazoezi
> mbalimbali kama judo karet nakadhalika. na mambo mengine
> ambayo labda ni vizuri kuyabakiza. Jana nimekuta watu
> wakijiuliza kama habari hizi wamwambie nani? Sababu ya swali
> lao ni Je kweli vyombo vya usalama hapa mjini hawajasikia?
> (haiwezekani la sivyo hata mtu akiwaambia basi hawatasikia)
> Kama wamesikia wamehakikisha kuwa hakuna kitu kisicho cha
> kawaida au la?
> Nami
> najiuliza: Mtu ukitaka kusema uwaambie wa hapa au wa Dar Es
> salaam? Hawa wamekutwa msituni wakiwa na kanda za alkaida na
> Alshabaab. hawa wanaofanyia darasani na watu wanapita
> wanaona na kuyaongea mitaani waliwahi kupekuliwa? Hawana
> mikanda hiyo? waliohitimu shuleni hapo wako wapi na ni raia
> wema?
>
>
>
>
>
> From: Juma Mzuri
> <jumamzuri@gmail.com>
> To:
> wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Monday,
> October 7, 2013 2:05 PM
> Subject:
> [wanabidii] WATUHUMIWA WA UGAIDI WAKAMATWA MTWARA
>
>
>
>
> vijana 11 wamekamatwa
> wakiwa wanafanya mazoezi ndani ya msitu wa Makolionga mkoani
> Mtwara, huku wakiwa na CD 25 zenye mafunzo mbalimbali toka
> kundi la kigaidi la Al Qaeda na Al Shaabab. Pia wamekutwa na
> zana tofauti za hatari pamoja na vyakula vya aina
> mbalimbaliSOURCE: Breaking News RADIO 1 STEREO
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment