Wednesday 9 October 2013

Re: [wanabidii] WATUHUMIWA WA UGAIDI WAKAMATWA MTWARA

mmmh siku moja utajulikana uzushi na ukweli,ugaidi...Chadema .ugaidi,masasi ugaidi.judo ugaidi CD ugaidi............
--------------------------------------------
On Tue, 8/10/13, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] WATUHUMIWA WA UGAIDI WAKAMATWA MTWARA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, 8 October, 2013, 11:02

Naanza kushangaa mambo fulani.
Viongozi wetu wametuasa waTanzania kutoa taarifa za tetesi
za mambo yanayotiliwa mashaka kama tahadhari ya kujikinga na
ugaidi.
Kuna
jambo sasa limekuwa la kawaida mjini Bukoba na mtu akijidai
kulishangaa NITAMSHANGAA.
Kuwa
shule moja huko Nshambya inayoendeshwa na dini fulani
inafundisha magaidi. Kuwa wanafunzi pale wanafanya mazoezi
mbalimbali kama judo karet nakadhalika. na mambo mengine
ambayo labda ni vizuri kuyabakiza. Jana nimekuta watu
wakijiuliza kama habari hizi wamwambie nani? Sababu ya swali
lao ni Je kweli vyombo vya usalama hapa mjini hawajasikia?
(haiwezekani la sivyo hata mtu akiwaambia basi hawatasikia)
Kama wamesikia wamehakikisha kuwa hakuna kitu kisicho cha
kawaida au la?
Nami
najiuliza: Mtu ukitaka kusema uwaambie wa hapa au wa Dar Es
salaam? Hawa wamekutwa msituni wakiwa na kanda za alkaida na
Alshabaab. hawa wanaofanyia darasani na watu wanapita
wanaona na kuyaongea mitaani waliwahi kupekuliwa? Hawana
mikanda hiyo? waliohitimu shuleni hapo wako wapi na ni raia
wema?





From: Juma Mzuri
<jumamzuri@gmail.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday,
October 7, 2013 2:05 PM
Subject:
[wanabidii] WATUHUMIWA WA UGAIDI WAKAMATWA MTWARA




vijana 11 wamekamatwa
wakiwa wanafanya mazoezi ndani ya msitu wa Makolionga mkoani
Mtwara, huku wakiwa na CD 25 zenye mafunzo mbalimbali toka
kundi la kigaidi la Al Qaeda na Al Shaabab. Pia wamekutwa na
zana tofauti za hatari pamoja na vyakula vya aina
mbalimbaliSOURCE: Breaking News RADIO 1 STEREO
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment