Tuesday 8 October 2013

Re: [wanabidii] WATUHUMIWA WA UGAIDI WAKAMATWA MTWARA

Habari kama hizo nazisikia pia Dar es Salaam. Nadhani wakubwa wanafahamu ila... sijui.

2013/10/8 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Naanza kushangaa mambo fulani. Viongozi wetu wametuasa waTanzania kutoa taarifa za tetesi za mambo yanayotiliwa mashaka kama tahadhari ya kujikinga na ugaidi.
Kuna jambo sasa limekuwa la kawaida mjini Bukoba na mtu akijidai kulishangaa NITAMSHANGAA.
Kuwa shule moja huko Nshambya inayoendeshwa na dini fulani inafundisha magaidi. Kuwa wanafunzi pale wanafanya mazoezi mbalimbali kama judo karet nakadhalika. na mambo mengine ambayo labda ni vizuri kuyabakiza. Jana nimekuta watu wakijiuliza kama habari hizi wamwambie nani? Sababu ya swali lao ni Je kweli vyombo vya usalama hapa mjini hawajasikia? (haiwezekani la sivyo hata mtu akiwaambia basi hawatasikia) Kama wamesikia wamehakikisha kuwa hakuna kitu kisicho cha kawaida au la?
Nami najiuliza: Mtu ukitaka kusema uwaambie wa hapa au wa Dar Es salaam? Hawa wamekutwa msituni wakiwa na kanda za alkaida na Alshabaab. hawa wanaofanyia darasani na watu wanapita wanaona na kuyaongea mitaani waliwahi kupekuliwa? Hawana mikanda hiyo? waliohitimu shuleni hapo wako wapi na ni raia wema?

From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, October 7, 2013 2:05 PM
Subject: [wanabidii] WATUHUMIWA WA UGAIDI WAKAMATWA MTWARA

vijana 11 wamekamatwa wakiwa wanafanya mazoezi ndani ya msitu wa Makolionga mkoani Mtwara, huku wakiwa na CD 25 zenye mafunzo mbalimbali toka kundi la kigaidi la Al Qaeda na Al Shaabab. Pia wamekutwa na zana tofauti za hatari pamoja na vyakula vya aina mbalimbaliSOURCE: Breaking News RADIO 1 STEREO
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment