Thursday 10 October 2013

Re: [wanabidii] SERIKALI KUSINZIA DESEMBA,ENDAPO CHADEMA.........

Ukweli si kwamba makampuni ya simu yana huruma kwa Watanzania, isipokuwa wanapigania kuokoa biashara yao. Watumiaji karibu 60% wanatumia chini ya 1000 kwa wiki, hawa ukiwaongezea kodi wataachana kabisa na simu hicho ndicho makampuni ya simu yanacholinda.

Gikaro Ryoba <gikaroryoba@yahoo.com> wrote:

>Wandugu,
>
>Huo ndio ukweli wenyewe--lakini tatizo la CCM ni kwamba huwa hawapendi ushauri chanya kama huu bali wanadhani kwamba kila jambo wanalolifanya ndilo sahihi--na wanapewa kiburi na wananchi wasiokuwa na elimu ya uraia kwa kuwarudisha madarakani kila uchaguzi mkuu uitishwapo. Lakini wanapaswa kuzingatia kwamba watu nao hubadilika, ijapokuwa hawana elimu ya kutosha. Tena mwananchi mbumbumbu akibadilisha msimamo wake ni vigumu sana kuja kumuaminisha vinginevyo.
>
>Anyway, kwa kuwa hakuna jambo lisilokuwa na mwisho, naamini kwamba mwisho wa CCM u karibu sana. Na kitakachowapotezea uhalali mbele ya umma ni hii kodi ya laini (kodi ya laini utadhani wananchi wanafanyia biashara laini zao--ni afadahali ingeitwa kodi ya kichwa!). CCM wamekuwa wakifanya blunders nyingi lakini amabzo haziwagusi wananchi wengi. Hii blunder ya simcard kwa kuwa inamgusa kila rai, nadahani litakuwa somo zuri sana kwa wananchi kuachana na uongozi mgando wa CCM. Eti serikali inapingana na makampuni ya simu dhidi ya kumkandamiza mwananchi. Makampuni ya simu yana huruma zaidi kwa walalahoi kuliko serikali na yanawapigania sana ili wasidhurumiwe na serikali. Hili ni jambo la ajabu sana na kosa kubwa sana ambalo CCM wanalifanya.
>
>
>
>
>
>On Thursday, October 10, 2013 11:30 AM, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
>
>Serikali itapata usingizi tu endapo maisha bora kwa kila mtanzania yatapatikana, mnyukano ndani ya Chadema sidhani kama ndo pona yao. Pona yao ni kufuata misingi ya utawala bora na sheria ikiwamo kupanua wigo wa wananchi kupanga na kujiamulia mambo kwa njia za kidemokrasia. Kama ikibank kwenye mnyukano wa Chadema anyway kama kweli upo, na kufikiri imepata dawa ya matatizo ya wananchi itakuwa imepotea. Kama matatizo yapo pale pale basi ujue hicho kitakuwa ni chanzo tosha kuibuka kwa kundi lolote au chama kingine kuwapigania wananchi
>
>
>
>
>2013/10/9 mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>
>
>Chadema break down
>>Baada ya mwezi mmoja serikali ya chama cha mapinduzi
>italala usingizi baada ya chadema kuingia katika mnyukano wa ndani wa kugombea
>madaraka.
>>Ajenda ya katiba mpya itawekwa kando ili kupisha
>makundi ndani ya chadema kuweka viongozi wao.
>>Ndani ya chadema imeelezwa kuwa yapo makundi matatu
>ambayo yamejiunda kuwelekea uchaguzi wa mwezi Disemba, ambapo kundi la kwanza  ni lile  linalotaka Dk.Slaa awe Mwenyekiti,Mnyika/Lisu awe Katibu mkuu Zitto/Pr.Safari
>awe makamu na Mbowe akae benchi.
>>Kundi la pili ni lile ambalo linataka Mbowe
>aendelee,Dk.Slaa abaki kwenye nafasi yake hiyo hiyo huku mnyika akikalia kiti
>cha Naibu katibu mkuu,Profesa Safari (Mwislam)akichukua nafasi ya makamu
>mwenyekiti.
>>Na kundi la tatu ni lile linalotaka Zitto awe Mwenyekiti,Shibuda/marando
>makamu mwenyekiti,katibu mkuu awe Kitila mkumbo au Dk.Silaa Naibu katibu mkuu
>awe Halima mdee.   
>>Warning;'Ni maoni tu,no personal interest --
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> 
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>> 
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment