Thursday 10 October 2013

Re: [wanabidii] SERIKALI KUSINZIA DESEMBA,ENDAPO CHADEMA.........

Serikali itapata usingizi tu endapo maisha bora kwa kila mtanzania yatapatikana, mnyukano ndani ya Chadema sidhani kama ndo pona yao. Pona yao ni kufuata misingi ya utawala bora na sheria ikiwamo kupanua wigo wa wananchi kupanga na kujiamulia mambo kwa njia za kidemokrasia. Kama ikibank kwenye mnyukano wa Chadema anyway kama kweli upo, na kufikiri imepata dawa ya matatizo ya wananchi itakuwa imepotea. Kama matatizo yapo pale pale basi ujue hicho kitakuwa ni chanzo tosha kuibuka kwa kundi lolote au chama kingine kuwapigania wananchi

2013/10/9 mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>
Chadema break down
Baada ya mwezi mmoja serikali ya chama cha mapinduzi italala usingizi baada ya chadema kuingia katika mnyukano wa ndani wa kugombea madaraka.
Ajenda ya katiba mpya itawekwa kando ili kupisha makundi ndani ya chadema kuweka viongozi wao.
Ndani ya chadema imeelezwa kuwa yapo makundi matatu ambayo yamejiunda kuwelekea uchaguzi wa mwezi Disemba, ambapo kundi la kwanza  ni lile  linalotaka Dk.Slaa awe Mwenyekiti,Mnyika/Lisu awe Katibu mkuu Zitto/Pr.Safari awe makamu na Mbowe akae benchi.
Kundi la pili ni lile ambalo linataka Mbowe aendelee,Dk.Slaa abaki kwenye nafasi yake hiyo hiyo huku mnyika akikalia kiti cha Naibu katibu mkuu,Profesa Safari (Mwislam)akichukua nafasi ya makamu mwenyekiti.
Na kundi la tatu ni lile linalotaka Zitto awe Mwenyekiti,Shibuda/marando makamu mwenyekiti,katibu mkuu awe Kitila mkumbo au Dk.Silaa Naibu katibu mkuu awe Halima mdee.   
Warning;'Ni maoni tu,no personal interest

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment