Thursday 10 October 2013

Re: [wanabidii] Re: Mangula: Najuta kuishi jimbo la Halima Mdee

Huyo Mangula kahamia jimbo la Halima Mdee hivi karibuni? Nijuavyo mimi, Mangula alikuwepo hapa Dar es salaam hata kabla ya Halima Mdee kuwepo Kawe iweje ajute leo kwa sababu ya Halima Mdee? Kuna tofauti gani kimaisha katika majimbo mengine hapa Tanzania na  Kawe? Halima Mdee ni jirani yake au nini? Huyu mzee ajaribu kujitofautisha na vijana wadogo katika harakati za kuiga siasa na kauli za vijana atajikuta anafanya mambo ya aibu yasiyofaa kwa mtu wa umri wake. Ni ushauri tu

2013/10/10 Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk>
Hii maana yake nini? Nimesoma habari hii mtu huyu anasema siku Mbunge wake akihitaji kuongee na wazee wa eneo hilo yeye ata kuwa wapi! Ni mawazo mfu haya, inamaana kuliko na wabunge wa CCM hakuna viongozi/labda tuachilie mbali swala la viongozi niseme wanachama wa CCM?
Bwana Mngula, asijione kuwa kiongozi wa chama chake amebadilika na kuwa siyo raia wa Tanzania, kukuwa na kikao cha wazee wa eneo akipenda kuhudhuria aende kama raia wengine wasio na vyeo, mkuu wa kikao siku hiyo kwa akili ya kawaida ni huyo mbunge wake.
Za nini kauli za kiuhasama? Siyo lazima kumtoa ubunge safari ijayo, ni kupiga kampeni za haki huku mkitoa ahadi zinazotekelezeka kwa kipindi kinachoahidiwa. Hakuna nguvu wala lugha ya nguvu kwenye kunyang'anya mtu ubunge, ni uzuri wa muwakilishi na uadilifu na wala siyo kutumia nafasi za uongozi mlizo nazo.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment