Tuesday 15 October 2013

Re: [wanabidii] POLISI KUHUSISHWA KWENYE TUME MBALIMBALI

hoja ya polisi kutoshirikishwa kwenye hizo tume za kipuuzi ni nzuri kwa kuwa wao (polisi) ndio wavunjivu wakubwa wa haki za binadamu. lakini pamoja na hilo, tume za uchunguzi zinazoundwa hapa nchini ni kama vile hazina umuhimu wowote mbali na kutapanya hela za walipa kodi bure. si mnakumbuka tume ya Luhanjo ilivyomsafisha rafiki yake Jairo na mpaka leo wezi hawa wanakula bata kwa kwenda mbele mtaani? haya ni majanga ambayo yanapaswa kuwa addressed aggressively, vinginevyo pesa za walalahoi zitazidi kuteketea sana tu kwa kuunda tume uchwara zisizokuwa na tija.

On Tuesday, October 15, 2013 11:23 AM, Larry <hmallomo@yahoo.com> wrote:
Ni kweli Yona, ni kinachifanyika kwa sasa sio sahihi, defendant anakuwa kwenye timu ya procecutors halafu utegemee positive results, its about time to change tht, ila sasa a million dollar question is... nani wa kumfunga paka kengele?

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>;
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: [wanabidii] POLISI KUHUSISHWA KWENYE TUME MBALIMBALI
Sent: Tue, Oct 15, 2013 8:06:13 AM

Ndugu zangu 

Mnaonaje hili suala la Wakuu wa jeshi la polisi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhusishwa katika tume zinazochunguza masuala mbalimbali kama ya uvunjaji wa haki za binadamu , uhalifu mbalimbali unaohusisha baadhi ya wafanyakazi wa sekta hizo , matukio ya ujangili  ETC .

Inaonyesha ni muda muafaka sasa kwa jeshi la polisi kuondolewa kwenye tume zinazoteuliwa kwa ajili ya kuchunguza matukio yanayowagusa wao moja kwa moja kwa sabababu wa wana maslahi na tume hizo hazijawahi kuja na majibu ya kuwajibisha wakuu hawa kutokana na kuingiliwa .

--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment