Friday 25 October 2013

Re: [wanabidii] nimeipenda hii;Petro kalete jiwe!!

We usilete hadithi za vijiweni kwenye  Imani za watu,
Imeandikwa wapi na kwenye kitabu gani hii hadithi yako?
Kwa nini unazusha uongo? tubu wewe usilete uhuni hapa,
Haya mambo ya utani kwenye Imani si mazuri kabisa

2013/10/24 mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>

Siku moja Yesu alikuwa na wanafunzi wake nyikani,baada ya mafundisho marefu na jua kali wanafunzi wake walihisi njaa.Yesu alifahamu mawazo yao akasema,"Petro kalete jiwe",Petro alinyanyuka na baada ya muda alirudi akiwa na jiwe mkononi.Alipompa Yesu akalibariki likawa mkate,akawagawia wanafunzi wake wakala.Lakini hawakushiba,hivyo wakaanza kumlaumu Petro,.."mbona umeleta jiwe dogo?",Petro akawajibu,"me nilijua mwalimu anataka kukalia!".
Siku nyinine tena wakiwa nyikani,baada ya mafundisho marefu na jua kali,wanafunzi walihisi njaa.Yesu alifahamu mawazo yao,akasema "Petro kalete jiwe".Basi walinyanyuka wanafunzi kama 6 hivi,wakaleta jiwe kubwa huku wakilibiringisha.Walipolifikis ha Yesu alilikalia na kuanza kuwafundisha neno!!

source, jamii forums

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment