Friday 18 October 2013

Re: [wanabidii] Ndege ya fastjet yarudi Dar kwa kushindwa kutua Mwanza baada ya taa kuzimika

sola nani aweke watu wanahangaikia tu siasa za uongo na kutumaliza sisi wa down....haiwezekani hata wakose generator kubwa au sola ilhali tz ni jua throughout a year.....tz si maskini hata kidogo bali tuna ufinyu wa kuthink broadee and act fiecely......tchao

On Friday, October 18, 2013 12:12 PM, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:
----- Forwarded Message -----

Boxbe This message is eligible for Automatic Cleanup! (mwema.felix@gmail.com) Add cleanup rule | More info
Kama umeme haukuwepo ina maana hata mnara wa mawasiliano ulikuwa haufanyi kazi :)

2013/10/18 mngonge <mngonge@gmail.com>
Pamoja na kubalikiwa kuwa na Jua kwa ajili ya solar kama umeme wa dharura lakini pia tumebalikiwa uzembe wa kufikiri na kutenda ikiwemo kuongopeana kwa kila namna. Hii kashifa ni kubwa kama nchi yetu ingekuwa na utamaduni wa kuwawajibisha viongozi basi viongozi wa uwanja walistaili kuachia ngazi.

2013/10/18 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
Uwanja hauna "generator" ? Yaani Tanzania tumebarikiwa kuwa na jua tunashindwa hata kuweka "solar cells" kwenye sehemu muhimu kama hizo? Je ingetokea dharura kwamba hiyo ndege ni lazima itue hapo muda huo hali ingekuwaje?
 
Saidia masikini huku tumekalia utajiri ambao unafanya zaidi ya asilimia 60 ya utajiri wa ulaya!

2013/10/18 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Habari zinadai kuwa kukosekana kwa umeme katika uwanja huo kulisababisha kutokuwapo kwa mawasiliano, hivyo kuzua tafrani kubwa kwa baadhi ya abiria.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment