Friday 18 October 2013

Re: [wanabidii] Ndege ya fastjet yarudi Dar kwa kushindwa kutua Mwanza baada ya taa kuzimika

Uwanja hauna "generator" ? Yaani Tanzania tumebarikiwa kuwa na jua tunashindwa hata kuweka "solar cells" kwenye sehemu muhimu kama hizo? Je ingetokea dharura kwamba hiyo ndege ni lazima itue hapo muda huo hali ingekuwaje?
 
Saidia masikini huku tumekalia utajiri ambao unafanya zaidi ya asilimia 60 ya utajiri wa ulaya!

2013/10/18 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Habari zinadai kuwa kukosekana kwa umeme katika uwanja huo kulisababisha kutokuwapo kwa mawasiliano, hivyo kuzua tafrani kubwa kwa baadhi ya abiria.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment