Sunday 13 October 2013

Re: [wanabidii] NAKIONA KIFO CHA WANABIDII, BURIANI WANABIDII

Kwa ukweli huu,Mtoi umeona mbali.Ila kwa uhakika wa mijadala na uzoefu katika watu kutoa michango inategemea MADA HUSIKA.Kama mada husika haina majibu halisi, watu huwa wanachangia kwani kila mwanajukwaa anaona ana uwezo wa kuchangia.Ila inapokuja mada"Intellectual demanding and fact backing" huwa naona anangia sana sana Matinyi na Rudovick,japo na wengine.
Mtoi,shida si kufungiwa shida ni uzembe wetu kusoma na kufanya analysis ya mada, na vitu ambavyo vyahitaji uelewa.
Leta mada ya UDAKU uone kama hata baadhi kule MABADILIKO hawaji.
Nachangia hapa si kwa kupendezwa na mijadala,bali kwa kuwa tu nimeona mada zinakufa na watu hawachangii.HEKO Matinyi, Rudovick na wote wachangiao.

On Saturday, October 12, 2013 1:55:31 PM UTC-5, kamala wrote:
najishangaa kuona mpaka leo bado niko wanabidii, nilirudishwa jukwaani
mimi na wadau wengine baada ya kufungiwa na sijui kwanini
nilirudishwa! nachangia hapa kwa sababu tu mtoi kaanzisha mada na
inahusu ufaji wa wanabidii

sinahamu na jukwaa hili la mtu kutofautiana na mkewe akaleta hasira
jukwaani. Balile yuko sahihi na labda huu ulikuwa sehemu ya
mkakati/malengo ya Wanabidii

zidumu fikra sahihi za Yona M

On 12/10/2013, JPM <jmata...@yahoo.com> wrote:
> unaingiaje mabadiliko?
>
> Sent from my iphone
>
>
>> On Oct 12, 2013, at 1:13 PM, Mohamedi Mtoi <moudd...@gmail.com> wrote:
>>
>> Niwashauri tu wale wanao penda  kuishi kwa kusoma hoja makini kuwa kwa
>> sasa hapa sio penyewe. Pana Luba hapa.
>>
>> Mabadiliko ndio kila kitu kwa sasa. Karibuni ambao hamjui kuwa kuna
>> Mabadiliko.
>>
>>> On Oct 12, 2013 8:52 PM, "Ipyana L" <ipyana...@gmail.com> wrote:
>>> Please wait....................................!!!!!
>>>
>>> --
>>> Ipyana Lwinga
>>> Email:    ipyana...@gmail.com
>>>
>>> "Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+...@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+...@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> --
>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+...@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+...@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+...@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>


--
kamala J Lutatinisibwa

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment