Monday 14 October 2013

Re: [wanabidii] MWANAUME MMOJA AKUTWA AMEJINYONGA MOROGORO

Hawa askari wanapaswa kuhojiwa ili wasaidie upelelezi--huo usiku, na giza lote lile, walijuaje kwamba kuna mtu kajinyonga juu ya mti? Hapa kuna ajenda ya siri ambayo polisi wanaifahamu. Lazima wahojiwe watueleze vizuri kwani matukio ya polisi kuua raia yamekuwa mengi sana.

On Monday, October 14, 2013 10:26 PM, James Malima <james.malima@gmail.com> wrote:
Samahani Felix, unamaanisha nini kwamba wanaonekana kutokujali? Wao walimuona tangu saa kumi alfajiri. Halafu unajua matukio mengine kweli yanasikitisha lakini tunahitaji elimu na ushauri nasaha katika nyanja mbali mbali. Tunachukua solutions rahisi sana na matokeo yake yanakuwa si mazuri kabisa. Ninaamini, tukiifahamu sababu iliyosababisha mauti ya huyu ndugu yetu, tutaona kama angepata ushauri, hali hii ingeepukika kabisa.

Katika hilo, nahisi polisi hawana shida kabisa. Ndio sababu, kwa kujua ni jukumu lao, picha zingine zinaonekana wakipanda mtini kumshusha marehemu.

Maoni yangu tu binafsi, nahisi tukio hili limekugusa na kukusikitisha. Kweli inasikitisha sana.

Malima.

Sent from my iPhone

On 14 Okt 2013, at 15:45, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:

Hiyo picha ya kwanza imenisikitisha sana. Askari wawili wanaonekana kutokujali hali ya marehemu!

2013/10/14 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
Mtu  Ambaye jina lake halikufahamika mara moja ukining'inia juu ya mti mara Amekutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro.Chanzo cha mtu huyu kujinyonga hakijafahamika.Kwa mujibu wa askari aliyekuwepo eneo la tukio alidai kwamba askari wa doria waliokatiza  kwenye eneo hilo majira ya saa 10 usiku walishuhudia mwili wa mtu huyo ukining'inia juu ya mtu .

 Askari akipanda juu ya mti kwaajili ya kuushusha mwili wa marehemu.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment