Tuesday 8 October 2013

Re: [wanabidii] MBUNGE GODBLESS LEMA KATIKA KASHFA YA UBAKAJI

Pengine huyo dada ni mbaya kwa watu wanavyomuangalia au jinsi anavyojiweka kwenye mitandao. Hebu tuweke theory ya kjinga. Mkubwa kaenda kufungua tawi, akina dada waliopinda wanaokaa kiwanja (mtanisamehe wakubwa kwa hii lugha) ndo wako mstari wa mbele katika kuendeleza shamra shamra. 

Huyu dada vile alikwisha poteza mshipa wa fahamu full kujiachia na mkuu akakamatika kizembe akasema hii kitu lazima nitafune usiku huu. Sasa nyie mnafikiri mambo kibong bongo. Huyu mtu kama ni biahara yake atakuwa na apartment nzuri usafiri mzuri. Mkubwa kapelekwa hadi kwenye apartment ni jambo la kawaida ushakunywa lazima upunguze maji mwilini kaonyeshwa maliwato. Obvious uko peke yako na binti na akilini ulishamuona kakaa kichangu changu u go for it.

Contrary huyu dada labda ni mbaya kwa jinsi anavyojiweka kwenye mtandao tusisahau anaishi ughaibuni hayo tunayoyaona ya ajabu kwao ni ya kawaida. Atakuwa alimwambia stop mkuu akafikiri hii ndo hulka ya wanawake wetu akikataa we ukalazimisha dhambi zako mwenyewe ye hausiki akaendelea kudumisa mira yakatokea haya.

Sasa tunaweza seam imechukua muda mpaka kuja kuwekwa hazarani ila tusisahau shambulio la aibu kama lilivyo si rahisi mtu kutokea hadharani na kujitangaza si ajabua alianza counselling kwanza sasa yuko tayari kuja hadharani na nyie mumuite vyovyote changu, poa gold digger why not kama muheshimiwa anazo ila haki itendeke

2013/10/8 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
Mh! Kuna sehemu nimesoma jamaa ame "comment" eti huyo dada amevaa "pampers". Kuna watu wanautani :)

2013/10/8 MaryGlady Heri <mglady2@gmail.com>
Felix hapo ni malipo tu jamaa aliingia kwa gia kubwa kuwa yeye ni Hon MP tena jimbo kubwa,kwani kale kaubaridi ilibidi apate suluhisho ikaonekana alipwe dau sasa muda umepitiliza na tumeweka interest lakini jamaa alishamaliza muda wake,binti sasa anahitaji chake maana analipia kodi kule UK inabidi awasilishe kazi kweli kweli

2013/10/8 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
MaryGlad, kwa jinsi huyo dada alivyojiweka kwenye mtandao, kama ni kweli jamaa alibeba, basi watakuwa walishindwana bei. Ni sawasawa na mtu kushiriki BBA halafu ulalmike eti wamerusha picha zako za utupu!

2013/10/8 MaryGlady Heri <mglady2@gmail.com>
Basi hakubakwa walikubaliana na wakamalizana labda posho(sleeping allowance) haikumaliziwa

2013/10/8 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
Jovi, yote yanawezekana. hakuna mwenye ushahidi. Lakini kwahali ya kibinadamu hii hadhithi haiingii akilini. kwanza angalia "profile" ya anayedaiwa kubakwa! Kisha njoo tuzungumze!

2013/10/8 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>

Tusikimbie kumtoa kwenye ubakaji. Kama kuna mtu anajua maana ya ubakaji atueleweshe maana tukio hili kimefanyika nchi ya watu ambako vile vitabia vyetu vya kumshika shika mtu tu kule vinaweza kukupa kesi ya ubakaji.
Pengine ni kuonewa wivu lakini kwa kiongozi kuwa connected na tendo la aibu he better clean this mess up mapema la wanaompakazia kama wengi wenu mnavyojaribu kutuaminisha watakuwa wamefanikiwA.
Kuna comment imenitisha kidogo ati kiongozi alikuwa jambazi hivyo...

On Oct 5, 2013 2:38 AM, "Mwema Felix" <mwema.felix@gmail.com> wrote:
Ungekuwa wewe ni Jaji, halafu huyu dada anakuletea malalamiko kwamba amebakwa...ungetoa hukumu gani?
 
2013/9/24 Pauline Mengi <paulinemengi@gmail.com>
Ushahidi wa mbunge Godbless Lema kumbaka flora lyimo uingereza wazidi kubainika

Taarifa za kweli kuhusu mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kumbaka mwanadada Flora Lyimo tarehe 8.8.2012 nchini Uingereza wakati wa ufunguzi wa tawi la chadema nchini humo umezidi kubainika.

Tarehe 2 -3, january 2013 akiwa tanzania, Flora aliwasilisha barua ya polisi wa uingereza kwa polisi kituo cha Moshi mkoani kilimanjaro na kufunguliwa jalada no.MOS/RB/17127/12.
Aidha tarehe 13/12/2012 Afisa upelelezi DC William Hughes wa kitengo cha uhalifu jeshi la polisi la uingereza kituo cha 4-6 shepherdess walk N17LF alifika ubalozi wa Tanzania nchini uingereza ili kujua pamoja na mambo mengine, 
-Taarifa sahihi za GODBLESS LEMA 
-Anuani yake 
-Barua pepe 
Ushauri kutoka mamlaka za Tanzania juu ya mikakati mizuri ya kushughulikia kesi hiyo ambayo inamuhusisha kiongozi wa chama kikubwa cha siasa na 
-Wasifu wake. 
Mbali na tukio hilo kuripotiwa ubalozini, vyanzo mbalimbali vya habari ikiwa ni pamoja na Gazeti la changamoto la tanzania toleo namba 348 la tarehe 18- 24 desemba 2012 lilichapisha taarifa ya tukio hilo kwenye ukurasa wake wa mbele.kwa kichwa cha habari "POLISI UINGEREZA WAMSAKA LEMA", Pia blog ya global publishers ya nchini tanzania katika report zake za tarehe 14 mei 2013 iliandika habari hiyo kwa kichwa cha habari "MREMBO;MBUNGE AMENIBAKA" Ambapo mrembo huyo (flora) alieleza alivyochaniwa na kufanyiwa kitendo hicho. alieleza kuwa lema alikuwa amemsindikiza mpaka nyumbani na walipofika LEMA aliomba aonyeshwe sehemu ya kujisaidia haja ndogo ndipo alipomvamia Flora na kumchania nguo na kutekeleza azma yake hiyo ovu.
Flora amekuwa akionekana katika shughuli mbalimbali za kijamii lakini ana wasiwasi kuwa anaweza kufanyiwa unyama na LEMA wakati akiwa Tanzania kwa sababu anasema anamfahamu lema pia kuwa ana asili ya ujambazi.
kiambatisho ni barua ya polisi wa kimataifa interpol kumweleza kuwa uchunguzi wa kesi yake unaendelea.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment